Mkoba wameanza wizi

Trubarg

JF-Expert Member
Jan 8, 2020
4,256
6,893
Jameni kwa wale wenye vikundi ndani ya vodacom @M-koba..hawa watu wameanza wizi wa kuzuia miamala ya watu..fedha hazitoki na wanachofanya wanaweka kanuni zao wenyewe za utoaji fedha badala ya kanuni za wenyw kikundi. Na hata ukipiga simu customer care hakuna jibu la maana zaidi ya longolongo.
Kwa we mnaofikiria kujiunga na hichi kitu kuweni waangalifu
vodafone
 
Basi kama hawajazipunguza fedha za wanachama watakuwa si wezi ila yawezekana kuna mkopaji kama yule aliyekopa kwenye mifuko ya kijamii kaingia mpaka huku. Hapa tunaweza kushuhudia sarakasi kama za fao la kujitoa.
 
Basi kama hawajazipunguza fedha za wanahama watakuwa si wezi ila yawezekana kuna mkopaji kama yule aliyenopa kwenye mifuko ya kijamii kaingia mpaka huku. Hapa tunaweza kushuhudia sarakasi kama za fao la kujitoa.
Yeah..coz haina maana kama fedha zipo lakini hazitoki
 
Back
Top Bottom