Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia kuhusu ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Tanzania na Benki hiyo, kikao ambacho kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.
Katika kikao...
DODOMA; WIZARA ya Fedha imewasilisha mafungu nane ikiomba kuidhinishiwa kiasi cha Sh trilioni 20.19 kwa mwaka wa fedha 2025/26 kwa matumizi ya kawaida na maendeleo.
-
Akiwasilisha mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2024/25 na mapendekezo ya mpango na bajeti ya wizara hiyo kwa...
Prof. Sospeter Muhongo, LEO BUNGENI DODOMA (Bajeti ya Wizara ya Afya)
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ametoa mchango wake Bungeni akielezea mengi yakiwemo:
Musoma Vijijini wameamua kujenga zahanati moja kila kijiji. Jumla ya vijiji ni 68
Taifa lisomeshe vijana...
Kuna hizi taasisi zetu kubwa kama TANAPA/NCAA/WMA nk wameboresha mifumo yao na kuhusisha kukusanya taarifa binafsi za MTALII zilizopo kwenye Passport yake kabla hajafika Nchini.
Nafikiri ifike mahala hayo majukumu yaachiwe Idara husika ambayo ni ya mambo ya ndani kwani sioni kwa nini Kampuni...
Friends and our Enemies,
Huyo anaejiita Askofu,kukimbilia kwake kwenye ulingo wa kisiasa kulitokana na kauli ya mwendazake kipindi kile ambacho alimtaka yeye BINAFSI kwa maslahi yake na hesabu zake.
Kwa kauli ya MWENYEKITI WA CCM Jana,ni wazi kuwa huyo siyo miongoni mwa zao la mfumo wao,kwa...
Friends and Our Enemies,
GWAJIMA,ni mtu mwenye akili fyatu,na ni mtu ambae kwa mustakabali wa maslahi yake atafanya chochote ili mradi afanikishe malengo yake.
Tumeona hapo nyuma namna ambavyo amekuwa anaitumia platform ya kanisa lake kukashifu viongozi na kulumbana na watu wa aina mbali...
Nimeshangazwa kama sio kusikitishwa na andiko la Naibu Waziri
Kilocho nishangaza Naibu Waziri anashangaa na maamuzi ya mwamuzi , lakini katika Ligi yake ya ndani maamuzi kama hayo yamekuwa yakifanyika na Simba amekuwa amekuwa kimyaaaaa
, Mechi ya mashujaa inatosha kabisa kuonesha kuwa huyu...
Wasaalam.
Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka wa fedha wa 2025/26 itasomwa tarehe 27 Mei, 2025.
Karibuni kwa ufuatiliaji.
Ahsanteni sana.
CONDESTER SICHALWE APONGEZA ONGEZEKO LA BAJETI WIZARA YA KILIMO
Mbunge wa jimbo la Momba Condester Michael Sichalwe ameitazama bajeti ya wizara ya kilimo kama mkombozi kwa wakulima wa mahindi na mpunga kwa kuwa itasaidia kupata Masoko ya nje ambapo pia imeitaka serikali kuhakikisha inatokomeza...
LEO BUNGENI DODOMA - Bajeti ya Wizara ya Kilimo
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameelezea umuhimu wa uanzishwaji wa Mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema la Jimboni mwao.
Mbunge huyo ameeleza mengi, yakiwemo yafuatayo:
(i) Mhe Rais Dkt Samia...
Wakuu,
Hii ishu ya kushikiliwa kwa Boniface Mwangi tunaweza kudhani ni kitu cha kawaida lakini naona kitaenda kuwa na implications kubwa
=============================
Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Masuala ya Diaspora imetoa ikilalamikia kukosekana kwa mawasiliano ya...
boniface mwangi
kenya
kidiplomasia
mambo
mambo ya
mambo ya nje
nje
raia
tamko
tanzania
utekaji
wake
wanaharakati kenya
wao
wizarawizara ya mambo nje ya kenya
NDAISABA RUHORO AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI KUU YA SERIKALI YA WIZARA YA KILIMO, BUNGENI JIJINI DODOMA
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro tarehe 21 Mei, 20245 amechangia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali ya Wizara ya Kilimo ambapo amempongeza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Wizara ya Maliasili na Utalii imetaja vipaumbele 10 itakavyovitekeleza katika bajeti ya 2025/2026 ikiwemo kuendelea kujitangaza kupitia ligi mbalimbali duniani zenye kuangaliwa na watu wengi.
Vipaumbele hivyo vimetajwa leo bungeni Mei 19,2025 na Waziri wa Wizara hiyo Dk Pindi Chana wakati...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, akimbusu mke wake Mariamu, wakiagana naye kabla ya kuingia bungeni kuwasilisha hotuba ya taarifa ya makadirio, mapato na matumizi ya wizara hiyo, jijini Dodoma, leo Mei 16, 2025.
Haya mambo ya kuingiza siasa mchezoni NGUMU sanasana
Hivi majuzi tu tuliona viongozi WA WIZARA ya MICHEZO wakinukuliwa final UTACHEZWA kwa mkapa na wakasisitixa wananchi mnunue.tkt.kwa wingi
Sasa tumesikia haya ya kuprlekana ZNZ
Wapendwa sasa zile semi za tutachezea kwa mkapa ziko wapi...
Habari wana Jamvi
Leo nilipata wasaa wa kusikiliza Hoja ya Mh Selemani Jafo(Mb) Waziri wa Viwanda na Biashara ambapo Bunge limeidhinisha maombi ya shilingi Bilioni 135 kwa mwaka wa Fedha 2025/2026
Lakini kuna jambo limenishangaza sana
Kwanza Mh alikuwa anachapia karibu Hotuba nzima yaani...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, ameibua taharuki bungeni leo Mei 14, 2025, baada ya kumvaa vikali Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, wakati wa mjadala wa bajeti ya wizara hiyo.
Mpina amesema wizara hiyo imekuwa ikishindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo, hususan katika...
Wizara ya Viwanda na Biashara imepata mafanikio makubwa katika maeneo mbalimbali yakiwemo uendelezaji wa miradi ya kielezo na kimkakati; upanuzi na ujenzi wa viwanda; uendelezaji wa teknolojia mbalimbali; atamizi na ubunifu; utafutaji wa masoko ya bidhaa za Tanzania ndani na nje ya nchi; ubora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.