wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara zipimwe kwa mambo mawili ya ziada kuongeza mapato ya serikali na kuongeza ajira

    Pamoja na majukumu ya kawaida ya wizara lakini kila wizara upimwe inaongezaje mapato ya serikali na inaongezaje ajira
  2. Taarifa ya majina 300 waliopata ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka 2020/2021

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anawatangazia watumishi walioomba ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuwa zoezi la uchaguzi limekamilika. Jumla ya watumishi 300 wamechaguliwa kupata ufadhili kwa mwaka 2020/2021, ufadhili huu...
  3. T

    Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

    Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa? Kairuki ndani ya miaka 3: Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Octoba 2017- Waziri wa Madini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…