wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nashauri serikali ianzishe wizara ya mafuta na gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi

    Nashauri serikali ianzishe wizara ya mafuta na gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania. Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji...
  2. Aajira za Wizara ya Afya zilizotangazwa leo

  3. Suluhisho la matatizo ya bandarini: Iundwe Wizara itakayodeal na masuala ya Bandari tu

    Nimewaza hapa na kujiuliza , je, ningekuwa kiongozi ningetatua vipi kadhia za Bandari ya Dar es Salaam na Bandari zingine kwa manufaa ya taifa? Suluhisho nambari moja ni kuunda wizara maalumu itakayodeal na masuala ya Bandari tu. Bandari ya Dar es Salaam pekee inaingiza fedha nyingi zaidi ya...
  4. Kwa uwajibikaji huu wa Wizara ya Michezo, hakika Dkt. Magufuli tutakukumbuka mzee wa msimamo

    Yaani wizara ya michezo chini ya waziri Bashungwa inakuja na tamko jepesi kuhusu kuwarudishia mashabiki pesa zao za viingilio kutokana na kuhahiriswa kwa mechi ya simba na yanga bila kuwajibika kwa aliyesabisha tatizo hilo. Bila kifikiria adha na usumbufu watu walioacha shughuli zao huko...
  5. M

    Je, Deep Poll kabla haijasajiliwa Wizara ya Ardhi inakubalika?

    Naomba kuuliza kwa wanaofahamu. Je kabla deed poll haijasajiliwa wizara ya ardhi je inakubalika kuitumia? Nauliza kwa sababu inabidi niitumie kwenye application ya kazi na kule ardhi wanasema itachjkua siku 7 za kazi ili mchakato wa kuisajili ukamilike. Hapo muda wa applicationutakuwa umepita...
  6. M

    Wanasheria nauliza; Hivi Deed Poll kabla yakuisajili wizara ya ardhi inaweza kutumika?

    Naomba ushauri wa haraka kuhusu hili. Vyeti vyangu vyote mpaka chuo kikuu nina majina mawili. Kitambulisho cha Taifa kina majina matatu. Jina la kwanza na la mwisho kwenye NIDA ndio majjna yangu kwenye vyeti. Nina-apply kazi na inabidi niambatanishe hiyo Deed poll. Kule ardhi usajili...
  7. B

    Wizara gani unadhani Waziri wake Ni Mzigo?

    Tunalojukumu lakumsaidia Rais kuboresha utendaji. Lakini pia tunalo jukumu lakubainisha Mawazi na Manaibu Waziri wasio faa ili kuwafanya wakaze buti au kumfanya anayeteua kumtambua nakumweka kando. Kwa kuanza natamani Waziri wa Sheria Kabudi abadilike nakufanya kazi kitaalamu kuliko...
  8. Wizara ya habari, TFF na Bodi ya ligi Mpira wanatakiwa kujipima kama bado wanastahili kuwepo kwahili la Game ya Simba vs Yanga

    Wizara ya habari na utamaduni kwa kushirikiana na TFF kupitia Bodi ya ligi Tanzania wanatakiwa kujipima kwamba bado wanastahili kusimamia michezo hasa Mpira kwa kipindi hiki na kuendelea? Weledi wao umeonekana bado haukidhi mahitaji ya kuendeleza michezo hasa soka kwa kutokuwa na Nia njema...
  9. Mbunge Bernadeta Mushashu aitaka Wizara ya Elimu ikubali mfumo una tatizo

    Mbunge Bernadeta Mushashu ameitaka Wizara ya Elimu pamoja na wadau wengine wa sekta hiyo kukubali kuna tatizo katika mfumo wa Elimu wa hapa Nchini. Amesema hayo leo Bungeni Dodoma. Ameeleza, "Wafungue mjadala mpana tukae tujadili tuangalie Mfumo wetu ni wapi kuna tatizo, kitu gani kinakosekana...
  10. Nafasi za mafunzo ya Ualimu ngazi ya Astashahada ya ualimu elimu ya Awali, Msingi na Stashahada ya Ualimu Elimu Sekondari mwaka wa masomo 2021/2022

    KUMBUKA KUZINGATIA UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI KAMA IFUATAVYO Wahitimu wa kidato cha nne waliohitimu kuanzia mwaka 2015 hadi 2019 wanaruhusiwa kutuma maombi. Waombaji wa Mafunzo ya Ualimu katika vyuo vya Ualimu vya Serikali wanatakiwa kujisajili na kufanya maombi kielektroniki kupitia tovuti...
  11. Zanzibar: Rais Afanya Teuzi za Wakurugenzi wa Wizara ya Uchumi

    Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amefanya teuzi za wakurugenzi katika Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi pamoja na Taasisi zilizo chini yake Amemteua Dkt. Salum S. Hamed kuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uvuvi, Dkt. Makame O. Makame kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uhifadhi wa Maeneo Baharini na...
  12. Wizara husika ya Habari na MCT je, Kichwa cha Habari hiki cha 'Kihuni' katika Gazeti la Yanga SC toleo la leo Jumamosi mmekibariki?

    Kichwa cha Habari ni hiki.... YANGA YAMBAKA MUME WA SIMBA Najua Simba na Yanga ni Watani wa Jadi ila sidhani kama katika Tasnia ya Habari Lugha hii ya 'Kihuni' na 'Udhalilishaji' inakubalika. Na kama GENTAMYCINE nitajibiwa kuwa ni Lugha njema tu hiyo basi nitaiomba Wizara husika na MCT...
  13. L

    Niko TAYARI kuairisha masomo yangu ya Elimu ya juu nikipata mchongo wa ajira wizara la ulinzi iwe polisi, migration, JWTZ

    Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu Mimi napenda sana mawala ya ulinzi lakini nilivo jiunga kwa mujibu wa sheria mwaka2019 sikubahatika kupata nafasi ya kuendelea na mswala ya kijeshi na baadae kujiunga chuo kikuu Fulani hapa bongo lakini Bado napenda sana maswala ya ulinzi mwenye...
  14. Dkt. Hassan Abbas: Serikali ipo tayari kufanya mabadiliko yoyote kwenye kanuni au sera ya habari

    Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imesema ipo tayari kubadili sera na sheria ya vyombo vya habari kulingana na maoni ya wadau wa tasnia ya habari nchini. Hayo yameelezwa na katibu mkuu wa wizara hiyo, Dk Hassan Abbas leo Jumatano Aprili 28, 2021 wakati akifungua kongamano la wadau...
  15. Spika Ndugai ahoji kwanini pesa zinakwama Wizara ya Fedha. Amtaka Waziri kujiandaa akisema "Siku ya Wizara yake nitakamata shilingi mwenyewe"

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai leo amehoji kwanini Fedha zinakwama Wizara ya Fedha akimtaka Waziri kujiandaa akisema, "Siku ya Wizara yake nitakamata Shilingi mimi mwenyewe" Ndugai ametoa kauli hiyo Bungeni Dodoma wakati Bunge likijadili Hotuba ya Wizara ya Nchi - Ofisi ya Makamu wa...
  16. Z

    TRA na Wizara ya Biashara tumieni njia hizi kukusanya kodi. Kila mwananchi lazime atalipa kodi na nchi itapaa kiuchumi

    Heri ya sikukuu ya Muungano, Nimewaza namna ya kila mwananchi kulipa kodi bila shurti. Yani ni hivi.Ondoa cash mitaani then kila mwananchi alipie bidhaa kwa mitandao ya simu ( M pesa,halopesa,Tigo pesa,aitel money, ttcl pesa,nk) na mitandao ya bank ( simbaking). I tell this is the only...
  17. J

    Unafuu wa watumishi wa Umma kujulikana pindi Bajeti ya Wizara hiyo ukisoma Bungeni

    Watumishi wa umma kesho wanasubiri kwa hamu kusomwa kwa bajeti ya Wizara yao Chini ya Rais wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan. Maswali ya kujiuguza je Kilio cha muda mrefu cha Watumishi wa Umma juu ya kupandishwa kwa madaraja, Kulipwa malimbikizio ya madai yao ya nyuma yatapata ufumbuzi...
  18. Z

    Waziri Aweso ameigiza kuwasimamisha watendaji wa wizara yake walioko Morogoro

    Kwa uchunguzi wangu nimestukia maamuzi haya kwa sababu kama ni ubadhirifu ulianza zamani wakati Aweso akiwa Naibu waziri, kwa nini hakuona tangu zamani? Umbea wangu hatimaye umeangukia pazuri. Waziri Aweso anaigiza na huenda alikuwa ni sehemu ya ufisadi huu. Hii ni kutokana na urafiki wake wa...
  19. D

    Kwanini wizara ya ardhi DSM iliamua kupima mbuga na mabonde yote ya kulima mpunga kuwa sehemu ya makazi?

    Ukizunguka mkoa wa Dar es salam! Maeneo yote yenye chemchem za maji ndiyo yaliyopimwa viwanja rasmi kwa ajili ya makazi ya binadam! Je; ni kwanini wizara iliacha kupima maeneo salama ikakimbilia kupima mashamba ya mpunga kuwa makazi? Mbezi beach yote, kunduchi, ununio na mbweni kote huku...
  20. Vigogo wa Gazeti la Tanzania Daima wafika ofisi za Wizara ya Habari na Michezo kwa Majadiliano kuhusu hatima ya gazeti hilo

    Baada ya Rais mpya kuamuru vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki na husda vifunguliwe , baadhi ya vyombo hivyo vimaeanza kufika wizarani ili kufahamu hatma zao . Leo ilikuwa zamu ya Tanzania Daima kuonana na Waziri Bashungwa ili kutatua utata kuhusiana na Gazeti hilo kufutiwa leseni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…