wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Serikali wekeni watu sahihi kwenye Wizara

    Engineer waziri mdogo wa Finance hataweza kujibu maswali! Mwingine PHD fake!
  2. Ushauri kwa Wizara ya Kilimo-Fursa zinazotakiwa kufunguliwa ni za mazao ya biashara sio chakula

    Salamu! Mada inajieleza, Fursa zinazotakiwa kufunguliwa na ambazo nitaziona kama kipimo cha wizara ni zile za mazao ya biashara mfano pamba,kahawa,mwani na mazao ya wanyama kama ngozi ,pembe na kwato. Nadhani nimeeleweka!
  3. Wizara ya ujenzi na uchukuzi, RC Mwanza na mamlaka ya bandari TPA wadai kutiwa mfukoni

    Kwa hiki kinachoendelea katika kupisha mradi wa Reli ya kisasa SGR kufika Bandarini ya Mwanza kinasikitisha sana Mmiliki wa Kivuko cha Kamanga Ferry kujinasibu kuwa serikali imewekwa mfukoni mwake na hatapisha mradi bali Mradi wa Reli Umpishe yeye Swali sisi wananchi tuliondolewa ,Shule...
  4. Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Abbas anazungumza leo Septemba 16, 2022

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na MIchezo Dkt. Abbas anafunga kikao cha maudhui ya ndani leo Septemba 16, 2022 wakati wa Warsha ya Kuhamasisha Uandaaji, na Uzalishaji wa Maudhui ya Ndani iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambapo Waziri wa Habari na Mawasiliano...
  5. AFYA: Wizara ya Afya inasemaje kuhusu utafiti huu?

    Kuna tafiti imechapishwa katika tovuti ya https://www.mdpi.com/2079-6382/11/9/1222?type=check_update&version=2 unaohusu upatikanaji wa mabaki ya dawa katika nyama za kuku tunazokula hususani wale wa broiler. Utafiti umefanyika Ilala na Kinondoni mkoani Dar es Salaam. Utafiti huo umebeba...
  6. B

    Kwenu Wizara ya Elimu na Tamisemi

    Lengo la Serikali ni kusaidia wananchi wake kwa makundi mbalimbali na serikali yenyewe ndo nyinyi katika idara za Elimu. Naomba mlitupie macho swala la uhamisho wa mwanafunzi wa sekondari na yeye aweze kuwa huru kwenye kuhama shule kutoka shule ya private na kuingia shule ya serikalini. Kama...
  7. Wachezaji wenye majina makubwa kung'olewa Taifa Stars

    Hii ndio kauli mpya kutoka kwa Serikali ya Tanzania aliyoitoa Waziri wa Michezo Mh Mchengerwa , akiongea na wanahabari amesema kwamba wachezaji wenye majina makubwa (Hakuwataja majina) hawajitumi kwa ajili ya Nchi yao , hivyo hawapaswi kuwemo kwenye Timu ya Taifa. Bali amesema kwamba tayari...
  8. Ndugu Victoria Mwanziva: Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa afuatilia maelekezo ya Mhe. Rais kwenye Wizara ya Mifugo na Uvuvi

    Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Cde. Victoria Mwanziva amefika Wizara ya Mifugo na Uvuvi na kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Mashimba Ndaki (Mb). Ndugu Victoria Mwanziva amefika Wizarani akiwa na lengo...
  9. Waziri wa Ardhi aagiza kuondolewa kwa Mkurugenzi wa TEHAMA wa Wizara hiyo

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula ameagiza kuondolewa kwa Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) wa wizara hiyo, Venance Mwolo akisema hatoshi katika majukumu hayo. Waziri Mabula ametoa maelekezo hayo kwa Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk Allan...
  10. N

    Mambo 10 yaliyofanyika katika Wizara ya Elimu ndani ya muda mfupi

    Tangu alipoingia madarakani juhudi za Rais Samia Suluhu katika kuboresha huduma kama vile Elimu, Afya na upatikanaji wa Maji safi na salama ni vipaumbele vilivyo wazi. Baadhi ya jitihada muhimu zilizofanyika ndani ya muda mfupi katika sekta ya Elimu ni pamoja na; 1. Ujenzi wa Shule mpya za...
  11. Makali ya tozo yalianzia hapa

    Wakati Serikali ikikiri kupokea maoni mbalimbali kuhusu tozo za miamala ya simu na kuahidi kuyafanyia kazi ndani ya kipindi kifupi, wadau wamelinyooshea kidole Bunge kwa kupitisha sheria ya fedha yenye marekebisho ya kodi na tozo, ambazo sasa zimezua malalamiko kwa wananchi. Kwa takribani wiki...
  12. K

    Nashauri elimu na afya ziingizwe kwenye Wizara za Muungano

    Katibu inaweza kubadilishwa kwa manufaa ya taifa. Ushauri wangu, Zanzibar hainufaiki kwa elimu na afya kwasababu ya udogo wake. Tanzania bara tuna nufaika na kutumia mbinu zinazofanana kuanzia kujenga shule, maabara, hospitali na vyuo vya afya. Wenzetu wa Zanzibar wanapata shida maana hizi...
  13. Baina ya hawa ni yupi mtu sahihi apewe wizara ya Nishati kuihudumu?

    A) Biteko, B) Mbawala, C) Kalemani?
  14. E

    Chimbuko la vitambi linatoka wizara ya elimu na afya, siyo jeshi la polisi

    Jeshi la Polisi wamekuwa wakinyooshewa vidole juu ya vitambi. Lakini shida inatoka wizara ya elimu na afya. Shida ya vitambi na msururu wa magonjwa yasiyoambukizwa chimbuko lake ni wizara ya elimu kutoa elimu mbovu kwa watu kwenye chakula na wizara ya afya kutotoa mwongozo sahihi. Tulitegemea...
  15. S

    Utabiri: Ni suala la muda tu kabla Mwigulu hajaondolewa katika nafasi yake kwa kubadilishwa wizara au kuondolewa kabisa katika Baraza la Mawaziri

    Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri. Kwa maneno mengine, yeye...
  16. Waziri Juma Aweso, sifa zake zinatoka wapi? Mbona matatizo ya maji ni mengi mno

    Kiukweli sijajua wanaomsifia huyu mtu wanatumia vigezo gani; 1. Baada ya kulipa bili ya kuonganishiwa maji itachukua hata nusu mwaka kuungishiwa bomba mpaka mitaro inajifukia(mabomba wanasema hamna na hapa rushwa na watu wa stoo ndio kwao kama TANESCO). 2. Wananchi kujichangisha mamilioni ili...
  17. Marekani: Wizara ya Sheria yathibitisha Donald Trump aliondoka na Nyaraka za Siri za White House

    Kupitia nyaraka 184 zilizowekwa wazi mbele ya Mahakama inayosikiliza kesi dhidi ya Rais huyo wa zamani, Wziara hiyo imethibitisha kuwa Trump aliondoka Ikulu akiwa na nyaraka za siri ikiwemo za Idara za Usalama wa Taifa. Katika Hati hiyo ya Kiapo, Afisa wa siri wa FBI amesema walipitia na...
  18. SoC02 Wizara ya Maliasili na Utalii iliangalie hili katika kuchochea utalii wa ndani nchini

    Utangulizi: Awali ya yote napenda kutumia fursa hii kumpongeza "Mh: samia suluhu hassan, raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania" kwa kuonyesha upendo na mahaba makubwa kwenye sekta ya utalli nchini, kwa kuamua kwa dhati kucheza filamu ya "The Royal Tour" kwa lengo la kuhamasisha watalii waje...
  19. E

    Rais Samia anawekeza sana kwenye kilimo lakini "strategy" Wizara ya Kilimo ni sifuri

    Kiukweli wizara ya kilimo haina strategy yeyote inayoweza kukomboa kilimo chetu. Watu wengi unasikia kila mahali wakimsifu waziri bashe, ila ukiwauliza mnamsifu kwa lipi hasa alilolifanya? Hawana majibu. Mimi namshauri Bashe afanye yafuatayo: 1. Kwa soko la ndani Tanzania kwa sasa...
  20. Rais Samia "muondoe "Mwigulu wizara ya fedha..

    Kwanza kabisa masuala ya uchumi WA nchi hayapaswi kuwa chini ya mtu mmoja....zamani tulikuwa na Tume ya mipango ambayo waziri alikuwa sehemu ya tume hiyo...jopo la tume hiyo ndo lilikuwa linaendesha uchumi... Mwigulu ana weakness ya kuongea Kwa kukera watu na ana history ya kutokuwa team...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…