Hii familia mpaka leo nikiitafakari huwa sipati jibu,
Kwanza ni familia ya kiungwana sana wako very very humble ni wacha Mungu, na kanisani hawakosekani na ni watu wenye kusaidia wengine kwa moyo bila kujisifu,
Ni familia ya kipato cha kati si matajiri wala si masikini wako OK,(Juuuuust right)...