Transport Operators Suspend Nationwide Strike for 7 Days to Allow Talks With Serikali

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
417
Reaction score
260
Baada ya mazungumzo yaliyofanyika Harambee House, transport operators wamekubali kusimamisha nationwide strike kwa muda wa siku saba ili kuipa serikali nafasi ya kufanya consultations zaidi kuhusu fuel prices na changamoto zinazokumba sekta ya usafiri.
Meeting hiyo iliongozwa na Interior CS Kipchumba Murkomen pamoja na Energy CS Opiyo Wandayi baada ya strike kuanza kuathiri usafiri katika maeneo mbalimbali nchini.
Operators walikuwa wakipinga kupanda kwa bei ya diesel na petrol wakisema imeongeza gharama za biashara na kuumiza commuters. Kwa sasa, huduma za usafiri zinatarajiwa kurejea kawaida huku talks zikiendelea kwa siku saba zijazo.
Wananchi wengi sasa wanasubiri kuona kama discussions hizo zitaleta afueni kwa fuel prices na matatu fares ambazo zimekuwa mzigo mkubwa kwa common mwananchi.
 
Kwanini hao maderva wa Kenya wasipinge kwanza kupanda kwa gharama za uzalishaji na usafirishaji kuanzia kule yanapozalishwa?

Kwani hawajui sababu za changamoto ya nishati ya mafuta ni ya kote ulimwenguni?

Kufikiria eti serikali ya Kenya inaweza kufanya muujiza kwenye gharama za mafuta ni kujidanganya 🐒
 
Back
Top Bottom