wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naombeni tafsiri ya huu wimbo

    Unaitwa "Tizita" na ameimba mwanamama anaitwa Aster Aweke. Naupenda sana kwenye melody yake na unanipaisha sana. Sasa usijekuta anazungumzia kilimo au baa la njaa huko kwao nami naweka fantasy zangu. Tizita
  2. JamiiForums Tanzania Shakira avunja rekodi Youtube kwa wimbo aliomchana Ex wake (Gerard Pique)

    Wimbo wa Shakira kuhusu mpenzi wake wa zamani Gerard Pique kwa kumdanganya umevunja rekodi ya kutazamwa zaidi kupitia YouTube. Video ya Out of Your League imetazamwa zaidi ya mara milioni 63 ndani ya saa 24, na kuifanya kuwa wimbo wa Kilatini uliotazamwa zaidi katika kipindi hicho. Shakira...
  3. JamiiForums Tanzania Jamaa kutoka kahama katisha Sana na huu wimbo

    Jamaa ana ujumbe mzuri sana, Japo kachanganya na kilugha huu wimbo ni elimu tosha. Sema tu binadamu wagumu. Kuelewa.
  4. JamiiForums Tanzania Naomba ule Wimbo wa Zablon Singers wa Umetutoa mbali uwaendee waliochukizwa na Ushindi wangu

    Naomba mkiwa mnausikiliza huku mkiwa mmenuna mjipige Makofi Makali.ya Usoni mjiongezee Maumivu sawa?
  5. JamiiForums Tanzania Utaje ni wimbo kutoka kwa members wa JF ambao unafunga mwaka 2022 -2023

    Ni wimbo gani unahisi unafunga mwaka 2022 vizuri.. Majukwaa yote Matusi au kejeri au dhihaka haziruhusiwi twendeeeeeee ENTERTAINMENT mshindi ni comment ya mwisho au itakayokuwa na maombi mengi zaidi yatayotakayopatikana au itakayogota saa 00.00(saa 6 kamili usiku) tar 01 /01/2023 zawadi...
  6. JamiiForums Tanzania Nani kaimba huu wimbo?

    Kwenye hii clip kuna wimbo unapigwa hapo anayefahamu msanii na jina la wimbo atusaidie tafadhali.
  7. JamiiForums Tanzania Wimbo bora kwa mwaka 2022

    kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mwaka ndiyo unamalizika naamini kila mmoja kuna wimbo ambao ni bora kwake kutokana labda na verse fulani inamgusa. Kwa upande wangu ni "Champion" by Kontawa, verse: "Mlo mmoja na bado tulibeba nondo na maisha bado yakasonga." #uziuendelee
  8. JamiiForums Tanzania Anayefahamu jina la huu wimbo naomba anijuze

    Natanguliza shukrani
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kiukweli hiki ndiyo kimefanya Ney wa Mitego na Harmonize waonekane wameuharibu wimbo wa Kontawa "Champion"

    Wimbo wa champion at first time niliuona kwenye status ya rafiki yangu, maneno yake yalinivutia hasa pale anaposema "tumeishi na watu wanaoamini kuwa bahati bahati zote alipangiwa Bukuku" enewei kila neno aliloimba Kontawa linavutia. Wengi waliskiliza kipande cha Kontawa ila walipofika sehemu...
  10. JamiiForums Tanzania Nimetoa wimbo wangu, naomba support yako

    Nimetoa wimbo, naomba u subscribe na u like. Naomba support yako mwana JamiiForums mwenzangu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Swali: Ni timu ya nchi gani inayoimba wimbo wao wa Taifa kwa HAMASA kubwa? Na ipi haiimbi kwa hamasa?

    Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uzalendo na hamasa ya kuimba wimbo wa Taifa, na kati ya kujiamini na kuimba wimbo wa Taifa. Je ni timu ipi inaimba wimbo wake wa Taifa kwa hamasa kubwa? Nadhani huiyo inaweza kuwasaidia kubeba kombe la dunia! Kwa maoni yangu Ureno ina hamasa kubwa sana katika...
  12. JamiiForums Tanzania Huu wimbo umetulea miaka ya 90

    Kuna nyimbo hazitakuja kupotea vizazi mpaka vizazi kwa sababu maDJ wanarithishana kadri miaka inavyokwenda mbele. Kuna nyimbo moja ya sebene au rumba ya congo nimeisahau inaitwaje lakini itakuwa imepigwa kqmq sio Wenge Musica/BCBG basi ni Extra Musica. Kuna mahali jamaa anasema "Ayaya msingwemba...
  13. JamiiForums Tanzania Soma mashairi ya Wimbo wa Jumuiya Afrika Mashariki (Jumuiya Yetu)

    Haya usipate tena aibu ukienda kwenye vikao vya maana kwa kushindwa kuimba wimbo wa Afrika mashariki. Kariri Mashairi haya ukienda sehemu kwenye hiyo kitu unaimba. Ubeti ya kwanza Ee Mungu twaomba uilinde Jumuiya Afrika Mashariki Tuwezeshe kuishi kwa amani Tutimize na malengo yetu. Kiitikio...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nani aliiga wimbo wa mwenzake, kati ya Kilwa Jazz na Franco Luambo Makiadi?

    ..Nyimbo zenyewe ni hizi hapa chini. Cc Mohamed Said, Kichuguu
  15. JamiiForums Tanzania Hivi ilikuwaje Pepe Kale akaimba ule wimbo wa "Yanga Africa?".

    Anayejua hebu atujulishe kama je Pepe kale alifuatwa na Wadau akapewa dili?. Viongozi/kiongozi mmoja alimpa dili akamlipa?. au ni mapenzi yake binafsi kwa timu ya Yanga?
  16. JamiiForums Tanzania Ni wajibu wa msanii kuwasilisha wimbo wake Basata kabla hajautoa au sheria inasemaje?

    Hili limekuwa linanitatiza sana je utaratibu unasemaje Kuhusu hili? Je msanii anaweza kutunga tu wimbo wake na akaurusha tu bila kuruhusiwa na mamlaka hii? (BASATA) na endapo msanii atafanya hivyo kiholela ni adhabu gani anaweza kukumbana nazo.
  17. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Marioo na Barnaba classic, 'Marry me' ni mzuri

    Habari wakuu, mimi ni mpenzi wa nyimbo zote nzuri. Mwezi Septemba Barnaba na Marioo walitoa wimbo wao unaitwa "Marry Me". Kwakweli ni wimbo mzuri sana. Unaweza kuusikiliza ukiwa sehemu yoyote na watu wa aina yoyote bila shaka. Nimekaa nausikiliza peke yangu, nikaona siyo mbaya kushirikisha na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amjibu Biswalo Mganga kuhusu madai yake kuwa ni kosa la jinai kuongeza maneno kwenye Wimbo wa Taifa

    Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote. Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume cha Katiba na kosa la jinai kuongeza maneno 'Mungu ibariki CHADEMA' kwenye Wimbo huo? Chanzo...
  19. JamiiForums Tanzania Nipo nasikiliza kipindi cha watoto, kuna mtoto kaimba wimbo wa Fire wa Zuchu

    Ni hizi redio za mikoani kwenye kipindi cha watoto, leo kwenye kipengele cha vipaji kuna katoto kameimba huu wimbo, kamekariri vizuri kabisa.
  20. JamiiForums Tanzania Leo huu msemo na wimbo utatawala sana kichwani mwangu mpaka saa 12 jioni

    Msemo..... "Mtoto akililia wembe mpe umkate vizuri ili akome na siku zingine awe na adabu" Wimbo..... "Usimchezee chatu ooooh chatu weeeee.... Usimchezee chatu ooooh chatu weeeee...." Na hasa hasa kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12 kamili jioni ndiyo GENTAMYCINE nitakuwa makini kuusema huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…