wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Anayedaiwa kuwa Katibu Wa UVCCM wilaya ya Chemba Dodoma acharangwa mapanga na Mchepuko wake

    KATIBU wa {UVCCM} wa Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma,Ramadhani Kiula amejeruhiwa vibaya kichwani kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali na Mwenyekiti wa UWT ,Fatuma Ramadhani anayedaiwa ni mchepuko baada ya kumkuta na mchepuo mwingine aitwaye, Hamida Kondo akilishwa chakula. Kama habari...
  2. I

    Ziwa Basotu, wilaya ya Hanang, mkoa wa Manyara lilishafanyiwa maboresho?

    Mnamo mwaka 2020 kuelekea mpaka 2021, ziwa Basotu, wilaya ya Hanang, mkoani Manyara lilikuwa linaleta madhara makubwa kwa wananchi kwa maji yake kujaa, kusambaa kwenye makazi ya watu na kusababisha mafuriko. Nakumbuka vyombo vya habari vilitoa takwimu mwaka 2021 kuwa watu zaidi ya 90 walikosa...
  3. B

    Internship bila malipo kwa wakazi wa Arusha wilaya meru

    Wana jamvi, aliye somea COMMUNITY DEVELOPMENT (Maendeleo ya Jamii), HUMAN RESOURCES MANAGEMENT, mnakaribishwa kuomba Internship kwa wale mnaotaka kujifunza kazi hapa ndio pahala penu. Internship haina incentives au malipo yoyote ni kazi ya kujitolea kwa wanaotaka kujifunza kazi. tumeni c.v...
  4. KERO: Stand ya Nzega ni chafu imejaa takataka za vifungashio vya vyakula na plastic

    Ni aibu kubwa kwa uongozi wa Nzega na wana Nzega wenyewe..ukiingia ktk kile kituo cha mabadi kwa mujibu wa wao wenyewe wanavyo kiita. Yaani ni takataka zimezagaa maeneo yote vifungashio vya kuwekea vyakula tu aibu gani hiyo na viongozi mpo mmekaa tu maofisini mnashindwa kuweka hata dustbins ...
  5. Rais Samia naomba usimsahau Elia Wilinasi hata kwenye ukuu wa wilaya

    Kwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Natumai umzima wa afya njema na unaendelea na shughuli zako za kiofisi. Mama, ndugu yetu Elia Wilinasi ni kijana safi mwenye weledi na mzalendo anayetamani kukitumikia chama cha mapinduzi katika ngazi za juu na taifa kwa ujumla...
  6. Rais Samia: Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Wakuu wa wilaya nchini wameacha kufanya kazi kwa hofu ya kuondolewa au kuhamishwa vituo vya kazi. “Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka. Sikusema nitawabadilisha leo au kesho, kwahiyo kama hamfanyi kazi hao ndiyo...
  7. Salamu za pongezi kwa washindi na washiriki katika uchaguzi ngazi ya UVCCM wilaya

    PONGEZI UVCCM WILAYA - SALAMU ZA PONGEZI KWA WASHINDI NA WASHIRIKI WOTE KATIKA UCHAGUZI NGAZI YA UVCCM WILAYA Na Komredi, Ndugu Victoria Charles Mwanziva: Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi, Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Uongozi ni dhamana ambayo mtu hukabidhiwa na...
  8. Ruvuma: Wazee wadai kunyimwa dawa Hospitali ya Wilaya

    Umoja wa wazee Wilaya ya Mbinga Mkoa wa Ruvuma, umewasilisha malalamiko yao kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Laban Thomas wakiwatuhumu wahudumu wa Hospitali ya Wilaya hiyo kwa kuwanyima dawa, licha ya kutengewa dirisha lao katika hospitali hiyo. Mkuu wa Mkoa Laban Thomas ametoa agizo kwa Mkuu wa...
  9. Kulikoni Halmashauri ya Wilaya ya Hai?

    Utaratibu wa Walimu kuhama toka chama kimoja cha wafanyakazi kwenda chama kingine ni sawa kwa Tanzania nzima. Kwa nini Halmashauri ya Wilaya ya Hai walimu wake washindwe kuhama wakati Utaratibu wamefuata kama walimu wa halmashauri nyingine? Walimu Wameichoka CWT, ni Wizi ni Rushwa kila kukicha...
  10. Tanga: Afisa Upelelezi ashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amesema Afisa Upelelezi Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga anashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokamatwa na mali za magendo zenye thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 1.2. RC Mgumba amesema September 09,2022 akiwa na...
  11. DOKEZO Hapa wilaya ya Ngara umeme ni bidhaa ya anasa yapata miezi sasa

    Wilaya ya Ngara mkoani Kagera na viunga vyake hakika umeme umekuwa ni bidhaa ya anasa na aghari mno kuipata! Kuanzia Benaco, Ngara yenyewe hadi Rusumo umeme umekuwa ukiwaka kwa masaa yasiyozidi manne tena usiku tu na kosa kuche wenye umeme wao huuchukua. Mfano muda huu Benaco na Ngara yote...
  12. Waziri wa Ulinzi Dkt. Stergomena ashiriki Kikao Cha Kamati ya Siasa Wilaya, leo 11-09-2022

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ni miongoni mwa viongozi walioshiriki Kikao cha Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Magu. Kikao hicho ngazi ya Wilaya kimefanyika leo tarehe 11 Septemba, 2022 katika Ofisi ya CCM Wilaya. Viongozi...
  13. N

    Aibu! John Heche adai mkuu wa wilaya Nyamagana anachangisha 10k kila mzazi kujenga madarasa

    Kupitia account yake ya Twitter, Heche anasema mkuu wa wilaya ya Nyamgana, Mwanza kaamrisha wazazi wenye watoto shule za Mongela na mlimani kulipa tshs 10,000 kila mmoja kwa ajili ya ujenzi wa madarasa. Tuseme tu ukweli kama nchi tushafeli ni propaganda kutwa na kufanyana wajinga tu. Haya huyo...
  14. NIDA; urasimu wa upatikanaji wa NIN number online, umegeuka fursa(dili) kwenye ofisi za wilaya. Kupata NIN yako bila kutoa chochote, sahau!

    Mamlaka ya vitambulisho vya taifa tanzania ( NIDA) sidhani kama walikuwa na lengo la kukamilisha mradi huu kwa wakati, Nahisi kuna watu ndani ama nje ya idara hii kwa makusudi na kwa malengo yao binafsi wanayoyajua wao wanaosababisha kadhia hii iendelee kwa makusudi kabisa. Urasimu huu unakuja...
  15. M

    Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Bwana Abui, unachochea udini ndani CCM

    Mwenyekiti CCM wilaya Shinyanga Mjini, Bwana Abui, unamchafua na unatumia jina la Mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano vibaya kwa maslahi ya nani? unaeneza siasa za udini kwamba Mwk wa CCM taifa anataka waisilam wachaguliwe kwa asilimia kubwa ili wampitishe 2025 kwa kura nginyi...
  16. M

    Wakuu wa Wilaya mpo tayari?

    Mnaosali anzeni kusali sana, mnaoroga rogeni mno na wale mnaoabudu mizimu kama mimi tafadhali iombeni zaidi kwani yajayo yanaweza yakafurahisha na hata yakaumiza pia.
  17. B

    Rais Samia aendelea kufanya makubwa wilaya ya Ludewa, amwaga mabilioni

    RAIS SAMIA AENDELEA KUFANYA MAKUBWA WILAYA YA LUDEWA, AMWANGA MABILIONI. Rais Samia Suluhu Hassan amepania kupeleka maendeleo makubwa Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kama ambavyo amekuwa akifanya kwa Nchi nzima kwa ujumla. Rais Samia kupitia TARURA amefanikiwa kufungua Barabara ya Lifuma-...
  18. S

    DOKEZO TAMISEMI imulike wilaya ya Songwe

    Tamisemi iimulike wilaya Songwe kwani wilaya hii inajiongoza kama taasisi yenye kujitegemea. (independet Ogani).Imetuhumiwa katika mambo mengi ya ovyo ovyo. Haya yafuatayo: 1. Haifuati miongozo kutoka serikalini wala ya wizara ambayo iko chini yake. Imeweka miongozo yake na sheria zake...
  19. T

    Afisa Utumishi Wilaya Songwe ni jipu

    Afisa utumishi ana nyodo vibaya na kujiona vibaya hivi serikali inawatoaga wapi hawa? 1. Kazi ya kufanya siku 2 au tatu yeye anafanya mwezi mzima. 2. Kuna wafanyakazi hawakuandishwa madaraja kwa sababu ya uzembe wake. 3. Ni mtu ambaye hajali watumishi ana wahudumi anao wajua tu. 4. Kuna...
  20. Mkeka wa DAS wa wilaya na wakurugenzi bado??

    Kama umepita basi ni kwa sababu ya mambo ya usiku usiku
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…