wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi za msingi zilizosababisha Wakuu wa Wilaya wengi kiasi hiki kuhamishwa vituo vyao vya kazi?

    Nimestushwa Sana na taarifa iliyotolewa Ikulu, ikionyesha kuwa wakuu wa wilaya 48, wamehamishwa vituo vyao vya kazi. Hivi Rais anawezaje kuwahamisha wakuu wa wilaya 48, Ili waende kwenye vituo vyao vipya vya kazi? Pia nimuulize Rais, je alipokuwa anafanya uteuzi huo, hakujua mapungufu ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakuu wa Wilaya wengi vijana wameshindwa kuuweka ujana wao kwenye matendo?

    Tulitegemea uteuzi wa vijana uwe chachu ya mabadiliko lakini imekuwa kinyume chake; most of them it's like wakishateuliwa wakaingia ofisini wanaanza kujiandaa kutumbuliwa au kustaafu. Hatuoni kasi ya viongozi vijana kwenye maeneo yao ya utawala. Leo Rais amewatumbua baadhi nakuweka sura mpya...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa wilaya wanalipwa Tsh ngapi?

    Habarini. Naomba kufahamu mtu mwenye cheo cha mkuu wa wilaya analipwa pesa ngapi kwa mwezi. natanguliza shukrani?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wakuu wapya wa Wilaya

    Ndugu zangu watanzania, Kwanza niwapongeze Sana kwa dhati ya moyo wangu wakuu wote wa wilaya walioteuliwa na mh Rais wetu mpendwa mzalendo wa kweli Jasiri shupavu na madhubuti Mama Samia Suluhu Hassan,Ni heshima kubwa Sana na Imani kubwa Sana mliyopewa na mh Rais, mmepata heshima hiyo Kati ya...
  5. Victoire

    JamiiForums Tanzania Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

    1) Basila Mwanukuzi 2) Jerry Muro 3)Siriel Mchembe. 4)Gabriel Zachariah. 5)Jasinta Mboneko. 6)Mathayo Masele. 7)Zainabu Kawawa. 8)Tano Mwera. 9)Abbas Kayanda. 10)Festo Kiswaga. 11)Wilson Shimo.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi ukiwa Mtangazaji wa TBC 1 jua una 99% za muda wowote kuwa Mkuu wa Wilaya

    Hii inaonyesha kuwa huenda katika Media zingine (ukiachana na TBC) huwezi kumpata Kiongozi mahiri au hawajaiva Kimaadili hivyo hawastahili kuteuliwa kuwa Wakuu wa Wilaya.
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Katwale Ukuu wa Wilaya Chato: Kalemani kaoneshwa njia ya kuondoka? Aligombea ubunge Chato, akapachikwa Kesi za Uhujumu Uchumi

    Sijafahamu lengo la SSH kumpeleka Katwale kuwa mkuu wa wilaya ya Chato. Huyu ndugu ni mtaratibu, mpole, na aliwahi kufanya kazi NEMC kama mwanasheria, akajijenga kisiasa, akakubalika kweli kweli, ila Jiwe akawa anamtaka Kalemani ambaye alikuwa dhaifu kisiasa. Ikasukwa zengwe, akapita Kalemani...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao. Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100 ambao ni kama ifuatavyo: A)...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RC Singida azindua kampeni ya upandaji miti milioni 1.5 wilaya ya Ikungi

    RC SINGIDA AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI MILIONI MOJA NA NUSU WILAYA YA IKUNGI Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba amezindua kampeni ya upandaji miti Milioni moja na nusu (1,500,000) katika Wilaya ya Ikungi. Katika uzinduzi wa kupanda miti Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Hakimu wa Mahakama ya Wilaya auawa kwa kipigo kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali

    Nimekutana na hili andiko kwenye mitandao yetu hii, naamini mamlaka zitatuambia ukweli wa hii kitu.... Anaandika Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mh. Siriel Mchembe👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 Niimepokea taarifa kutoka kwa DC Rungwe Dkt. Vincent Anney kwamba alfajiri ya leo, Hakimu Joakim Mwakyolo wa Mahakama ya...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nicholaus Ngassa apongezwa na CCM wilaya ya Igunga kwa mchango wake ndani ya Chama Cha Mapinduzi

    📍 Igunga, Tabora Habari Picha: Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Igunga Ndg. Mafunda Temanywa kwa ajili ya kutambua mchango...
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tusipojidhatiti mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Moshi vijijini, Marangu kutakuwa kitovu cha ushoga

    Sidhani kama nitaeleweka ila naomba ikae hivyo. Ni juzi tu vijana wa kiume wa umri wa zaidi ya miaka 30 madereva bodaboda na mwingine kinyozi walikutwa wanalawitiwa, walivamiwa na kupigwa. Kama haitoshi huwezi amini siku 35 zilizopita watoto kumi na mbili walibainika kuwa wanaingiliana wenyewe...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wodi ya wagonjwa mahututi (ICU) iliyojengwa wilaya ya Igunga - jimbo la Igunga

    WODI YA WAGONJWA MAHUTUTI (ICU) ILIYOJENGWA WILAYA YA IGUNGA - JIMBO LA IGUNGA Wodi ya Wagonjwa Mahututi (ICU) iliyojengwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Hospitali ya Wilaya ya Igunga. Ujenzi umekamilika...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kahama anatishia usalama wa waandishi wa habari, zikiripotiwa stori za wanafunzi kusomea chini anakasirika

    Waandishi wa habari Mkoani Shinyanga wameomba mamlaka zinazohusika kuingilia kati vitisho vinavyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga. Malalamiko ya waandishi wa habari ni juu ya hali ya ulinzi na usalama wao katika shughuli zao pindi wanapoandika habari za changamoto zilizopo...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya na Katibu Tawala wafikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewafikisha Mahakamani Mkuu wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Ruben Mfune na Katibu Tawala Msaidizi wa Fedha mkoani Kilimanjaro, Juma Masatu kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh51 milioni. Wawili hao walidaiwa...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Lindi: Watumishi wa Halmashauri washtakiwa kwa Uhujumu Uchumi

    Januari 11, 2023 imefunguliwa Kesi ya Uhujumu Uchumi namba ECO.NO. 1/2023 Katika Mahakama ya Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Mhe. Mariam Mchomba. Washitakiwa ni Bw. REUBEN NDIZA MFUNE, ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Mbarali na Bw. JUMA MASATU...
  17. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania TTCL imezindua Minara sita ya Mawasiliano katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi

    TTCL imezindua Minara sita ya Mawasiliano katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi ili kuimarisha huduma ya upatikanaji wa Mawasiliano kwa Wananchi. Uzinduzi huo umefanywa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye (Mb) ambaye pamoja na mambo mengine amesema Serikali...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Madarasa ya Rais Samia, Jimbo la Namtumbo

    MADARASA YA RAIS SAMIA- JIMBO LA NAMTUMBO Tunaishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutatua changamoto ya miundombinu ya Elimu yaani madarasa 102. Wanafunzi Wameripoti...
  19. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Nadhani wakuu wa mikoa na wilaya wa awamu ya tano walikuwa na kazi zaidi ya kazi zao

    Iweje wengi wahusishwe na uporaji, unyanyasaji, upokaji ardhi, mali, magari na mengi mabaya kinyume na katiba yetu? Kwa haya inanishawishi kuona ya kwamba viongozi hawa huenda walikuwa chini ya agenda maalumu na mkakati madhubuti wa sirini including illegal cash collections na kadhalika.
  20. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Wilaya na mikoa inayoongoza matokeo ya mitihani

    Tujue wakulungwa. Hii ya Mwaka 2021
Back
Top Bottom