wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Mchengerwa, sisi walimu wa Wilaya ya Busega tunaomba msaada wako juu ya Mkurugenzi wa Wilaya

    Mheshimiwa Waziri, Sisi, walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, tunakuandikia kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu vitendo vya ukaidi na unyanyasaji tunavyopata kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Ndugu Marco Kachoma. Tangu mwezi wa Agosti 2024, tulipomuandikia barua...
  2. SEGUZO

    JamiiForums Tanzania Wasifu na Historia ya Mzee Stephen Wasira

    Historia yake Stephen Wasira alizaliwa mwaka 1945 katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara (ana miaka 70). Alisoma katika shule tatu tofauti, ya kwanza ni Shule ya Msingi Bariri 1956-1959, ya pili ni Shule ya Msingi Nyambitilwa 1960–1961 na kisha akamalizia Shule ya Msingi Kisangwa mwaka 1962 -...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mwalimu wa English language., Shule IPO wilaya ya chemba mkoa wa dodoma (Kijijini sana) ila umeme na maji vipo. ..Pia shule ni ya serikali

    Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo) Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na kukaa buree 0695252896
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Shule za Serikali Rombo zinatoza Tsh. 40,000 kusajili Wanafunzi wa Darasa la Kwanza

    Kero. Mimi ni mkazi wa Kijiji cha Mengwe, Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro ninawasilisha kero kwa niaba ya wakazi wenzangu wa Rombo. Muhula mpya wa Masomo umeanza Januari 13, 2025 lakini kinachoendelea huku Rombo ni wizi mkubwa tena wilaya ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Elimu, Prof. Adolf...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe, Esther Mahawe afariki Dunia

    Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe Esther Mahawe amefariki Dunia katika Hospitali ya KCMC Mkoani Kilimanjaro kwa mujibu ya taarifa za awali zilizotolewa na ndugu wake wa karibu. RAIS SAMIA ATOA POLE Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe, Bi...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Mrindoko: Ufyekaji wa Mahindi ya Wananchi wa Wilaya ya Tanganyika si maelekezo ya Serikali

    https://www.youtube.com/watch?v=gLonjJFJotY Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,amesema kitendo cha wakulima wa wilaya ya Tanganyika kufyekewa mahindi kwenye msimu huu wa kilimo sio maelekezo ya serikali na si haki kufanya hivyo. Mwishoni mwa mwezi Disemba,2024 baadhi ya wakulima wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo

    Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo Tangu Februari 2024, baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Luguruni tumekutana na tatizo la ukosefu wa huduma ya maji. Tumeshajaribu kuwasiliana na DAWASA ili kutafuta ufumbuzi, lakini hadi sasa hatujapata hatua za vitendo wala...
  8. SIPENDI SIASA

    JamiiForums Tanzania Mbunge au Diwani, akifa au kuhama chama, achaguliwe mwingine wa chama kile kile na kamati ya Wilaya au Mkoa. How does this sound?

    Eti wadau, hii itasaidia kupunguza matumizi kwa hizi third world countries kama Tanzania?? How does this sound.. Mfano: Kafa Magufuli, akaingia Philip Mpango bila gharama za uchaguzi.. ~ SIPENDI SIASA ~
  9. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mnaomtetea na kumsifia Rais Samia: Changamoto za wizi wa fedha za Miradi ya maendeleo Wilaya ya Chunya,Mkoa wa Mbeya!

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na mvutano mkubwa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na miradi mbalimbali aliyotekeleza na fedha alizozituma kwa halmashauri na mikoa. Ingawa kuna watu wanaompongeza kwa juhudi zake, wengine wanadai kuwa hakuna...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aweka jiwe la msingi ujenzi wa Mahakama ya wilaya ya Magharibi B

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amesema kuimarika kwa miundombinu ya Mahakama ni hatua muhimu itakayowawezesha wananchi kupata huduma katika mazingira mazuri, salama na rafiki. Ameyasema hayo leo Januari 1, 2025 wakati akiweka...
  11. galimoshi

    JamiiForums Tanzania songwe: vivutio vya utalii vinavyopatikana halmashauri ya wilaya ya Momba na sifa zake

    VIVUTIO VYA UTALII VINAVYOPATIKANA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA NA SIFA ZAKE MKOANI SONGWE. Momba ni kati ya wilaya Nne zinazo unda Mkoa wa Songwe, ambayo imebahatika kuwa na vivutio vingi vya utalii na vya kipekee hapa nchini Tanzania. Licha ya upekee wake, vivutio hivyo bado vinahitaji...
  12. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta mashirika yanayotoa msaada wa visima vifupi kwa wananchi mmoja mmoja Wilaya ya Mvomero

    Wilaya ya Mvomero ni Wilaya yenye mito mingi sana.Hata hivyo Wilaya hii bado imeendelea kuwa na changamoto kubwa ya maji.Wananchi waliio wengi bado wanatumia visima vya wazi na mabwawa ambayo si salama kwa Afya zao,kwa kuwa mara nyingi wanachangia na mifugo.Maji haya kwa hiyo si salama na ni...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Nkasi na Mfumo wa ESS

    Ndugu zangu hii naiona wilaya ya Nkasi iliyoko mkoani Rukwa , wilaya hii ni ngumu sana kupata uhamisho hasa kupitia mfumo wa Ess ambao uliletwa mbali na shughuli nyingine kumrahisishia mtumishi kufanya maombi ya uhamisho , Katika wilaya ya Nkasi maombi ya uhamisho tena yenye vigezo kabisa katika...
  14. Surya

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mbinu ya kuruka Mtego

    Iko hivi wadau, kuna Manzi mimi nilikua namuimba.. Karuka, na kudai tuwe marafiki. Nikaforce sana huo urafiki badae nikakata tamaa alikua anakwepa tusionane. Zilipopita kama week tatu, nikampandia hewani tena, kubembeleza, nikaona respond ipo kidogo Sasa Leo nimeenda kwake Manzi, na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa kuna mazingira tata, upandishwaji vyeo unafanyika kwa kujuana

    Mimi ni Mtumishi wa Serikali hapa Mpwapwa Mkoani Dodoma, kero moja kubwa ni kuwa kuna urasimu wa upandishwaji wa Madaraja ya Mishahara na pia baadhi ya wenzetu lugha mbaya wanapokuwa katika majukumu yao. Kinachouma zaidi ni kuwa kuna watushi wana miaka zaidi ya kumi hawajapandishwa licha ya...
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Karibuni Machame wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro tusherehekee ushindi wa kukomboa mali yetu

    Ndugu zangu, hapa nilipo nabubujikwa na machozi ya furaha baada ya mjomba wangu kufanikiwa kukomboa kikoba cha ukoo kilichokuwa kwenye hatihati. Wanachama wa kikoba tafadhali malizieni ada zenu za uanachama ili wajanja tuje kuzisasambua hapa machame. Christmass hii itakuwa bomba sana.
  17. C

    JamiiForums Tanzania KERO Kata ya Kibata wilaya ya Kilwa ina miundombinu ya barabara mibaya na kupelekea maisha kuwa magumu

    UGUMU WA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA NDANI KATA YA KIBATA WILAYA YA KILWA NI WA KUTISHA. Kibata ni miongoni mwa kata 23 ndani ya Wilaya ya Kilwa. Kata hii Ina vijiji vinne. Kata hii Ina jumla ya shule nane(msingi 7 na Sekondari 1). Vilevile ni kata yenye dispensary 4 sawa na vijiji...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika aonya viongozi wa Serikali Za Mitaa kutojihusisha na uuzaji wa ardhi

    Wakuu, Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Onesmo Buswelu amewataka viongozi wa Serikali za vijiji na vitongoji kutojihusisha na uuzaji wa ardhi katika maeneo yao. Hayo yamejiri katika kikao cha halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi (CCM) katika wilaya hiyo ambapo mbunge wa jimbo la...
  19. S

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa mawasiliano katika Kijiji cha Msamba kata ya Ninde wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa

    Tunaomba wizara ya mawasiliano itusaidie kutatua changamoto ya mawasiliano.tunateseka,
  20. kiss daniel

    JamiiForums Tanzania Ndugu kwa hapa dar es salaam GOMS ndo wapi? Iko maeneo gan? Ni wilaya au mtaa au Kijiji? Au ni behewa la TREN ?

    Leo nikiwa zangu nimesimama sanamu ya askari pale posta mtaa wa samora Kuna kijana mmoja alikuja akaniuliuza jina ambalo mimi sijawahi kulisikia kabisa Niko zangu nimesimama sijui hili wala hili mara nikasikia bro Mambo vip nami nikasema fresh ndugu yangu Mshikaji akaniuliuza bro magari ya...
Back
Top Bottom