wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Kati ya Ilala dar es salaam na nyamagana mwanza . Wilaya ipi imeendelea?

    Habari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
  2. VINICIOUS JR

    HIVI INTERVIEW ITAFANYIKA MAKAO MAKUU YA HUKO MIKOANI AU ZOEZI LITAENDELEA KWENYE WILAYA ZOTE NDANI YA MKOA.

    Nawasilisha.
  3. Beira Boy

    Majaliwa wa Magufuli alistahili kuwa waziri Mkuu, Majaliwa wa Samia hafai hata Ukuu wa Wilaya

    Amani iwe nanyi wapendwa wezangu Nimekubali kweli kuwa ukali mbwa hutegemea anayemiliki Kuna mbwa kama pambo na kuna mbwa muwindaji Naona sura mbili za Kassim Majaliwa enzi za Magu na enzi za Mama yetu kipenzi. LONDON BOY
  4. Thesis

    Natafuta Data Collectors Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida

    Habari, Nina kazi ya kukusanya data kwa wakulima wa alizeti katika Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida. Natafuta jumla ya vijana sita waliomaliza degree lkn hawana ajira kwaajili ya kukusanya data katika maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo. NOTE: MUHUSIKA AWE ANAPATIKANA WILAYA YA IRAMBA Malipo...
  5. S

    KERO TANESCO wilaya ya Arumeru Kikatiti kwanini mnatunyanyasa? Hatuna umeme tangu asubuhi

    Kikatiti wilaya ya Arumeru leo tumekuwa tukikatiwa umeme tangia asubuhi kuna nini? Sahivi tuko gizani, what's going on? Tunaomba umeme vinginevyo tupeni taarifa kuna nini. Soma Pia: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati hii katika katika ya umeme wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ni ya nini?
  6. L

    Kesho Nitawaleteeni Andiko zito sana kama Kimondo cha Ndolezi Mbozi kuwausia Wakuu wa wilaya na Mikoa

    Ndugu zangu Watanzania, Siku ya Kesho panapo Majaliwa ya Mwenyezi Mungu nimepanga kuleta andiko zito sana kama Kimondo cha Ndolezi Mbozi Mkoani Songwe kuwausia wakuu wa Wilaya na Mikoa. Ni andiko la kuwakumbusha mambo mbalimbali, kuwakumbusha dhamana kubwa waliyoibeba ,kuwakumbusha wajibu wao...
  7. W

    CCM yawavua Uongozi Wanachama wawili kutokana na kukiuka maadili ya uongozi

    Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 1, 2024 Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla ametangaza uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwafuta uongozi wanachama wawili wa chama hicho. Kamati kuu ya CCM imewaondoa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Lindi...
  8. B

    VIDEO:AJARI MBAYA YA KUTISHA:IMETOKEA MBANDE WILAYA YA KONGWA LEO 1/9/2024

    Ajari mbaya imetokea leo asubuhi njiani kuelekea Dodoma mjini Majeruhi ni wengi idadi ya vifo bado hijajulikana. Ni kati ya coaster na kimbinyiko MUNGU awape nafuu wote walio umia
  9. K

    Wakurugenzi wa Wilaya watoke maeneo husika

    Wakuu napendekeza wakurugenzi wateuliwe kutoka kwenye maeneo husika ili kuwa na uchungu wa pesa za miradi zinazotolewa kwenye maeneo husika. Hii ya kuletewa mkurugenzi asiye mwenyeji wa eneo husika inachochea ubadhirifu wa pesa za maendeleo.
  10. Tawire

    Wilaya ya Kigamboni Imetengwa?

    Ni miaka minne sasa wilaya hii mpya (Km chache kutoka Ikulu ya Magogoni)haijajengwa hata KM 1 ya lami!!!Hayo Maendeleo yanafanyika wapi katika nchi hii?Kwa muhusika yeyoye atakayebisha juu ya habari hii aje na takwimu zake hapa.
  11. Sir John Deere

    Mkuu wa Wilaya agoma kuingia kikaoni baada ya Wimbo wa Taifa kuanza akiwa nje

    Hii imetokea huko Mbulu mkoani Manyara hii leo baada ya mkuu wa Wilaya hiyo kugoma kuingia kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani kwa sababu Madiwani wameimba Wimbo wa Taifa kabla hajaingia. Kazi kwelikweli nchi hii mambo ni mengi. Hapo tayari ni mgogoro wa DC na DED na madiwani wake. Kisa ni...
  12. Roving Journalist

    Mkuu wa Wilaya Busega atoa pole kwa familia iliyompoteza kijana wao katika maandamano

    Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim ameta pole kwa familia ya Mzee Daudi ambayo imempoteza mtoto wao, Meshaki Daudi aliyefariki kwa kupigwa risasi wakati wa Maadamano yalitotokea maeneo ya Lamadi, Agosti 21, 2024 Mkoani Simiyu.
  13. C

    Nipo tayari kulitumikia Taifa langu kama Kiongozi katika ngazi ya Wilaya au Mkoa

    Wasalaam! Katika kipindi hiki cha mabadiliko na changamoto mbalimbali zinazoikabili Tanzania, kuna hitaji kubwa la viongozi wenye maono, dhamira, na ujasiri wa kuleta maendeleo chanya. Mimi, kama mwana-Tanzania mwenye ardhi ya mzizi na dhamira ya dhati, nipo tayari kuchukua jukumu hilo kama...
  14. BLACK MOVEMENT

    Wazo la Mwanzo ilikuwa wamasai wa Ngorongoro wapelekwe Wilaya ya Longido, kwa nini ilibadilishwa na kupelekwa Handeni?

    Kwanza ijulikane wazo la kuwapunguza wamasai wa Tafara ya Ngorongoro na kuwapelekea nje ya Ngorongoro lipo kitambo tangua enzi za JK, Ila hakikuwa na nguvu na msukumo, wakati huo wazo lilio kuwepo ni wapelekwe Longido kwa wamasai wenzao. Eneo lilikuwa lisha patikana. Ila enzi zile ilikuwa...
  15. K

    TAARIFA KWA TARURA WILAYA YA NYAMAGANA- MWANZA

    Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa ujenzi unaoendelea ya barabara ya lami hapa Mtaa wa Mwananchi Kata ya Mahina. Mkandarasi JASCO anatakiwa kujenga madaraja madogo yanayoingia kwenye makazi ya wenye nyumba kando kando ya barabara hiyo. Baadhi ya madaraja hayo amekwishayakamilisha na...
  16. tufahamishane

    DOKEZO Serikali chunguzeni kinachoendelea Baraza la Ardhi na nyumba Wilaya Nyamagana Mwanza

    Muda si mrefu nitaweka vielelezo halisi vya ukiukaji mkubwa wa sheria
  17. Roving Journalist

    Simiyu: Mkuu wa Wilaya ya Busega: Nimepigwa mawe wakati wa Maandamano, tumewakamata Watu 108

    Akizungumzia maandamano yaliyotokea Lamadi, Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim amesema athari zilizotokea baadhi ya Viongozi kushambuliwa kwa kupigwa mawe akiwemo yeye (Faiza). Amesema kwa muda wa miezi minne aliyokuwa katika nafasi hiyo hajapata taarifa ya Watoto kupotea...
  18. BLACK MOVEMENT

    Wilaya ya Hai kijiji cha Tindigani ndicho chote kapewa Mjomba wa Omani? Hii sio sawa

    Ukiangalia wilaya ya hai kijiji kizima na vitonoji vyake kakabishiwa Mjomba wa Oman. Huu uwekezaji wa kufuta vijijiipo siku watafuta mkoa mzima na kuwakabidhi wajomba, tuendelee kusapoti ujinga na kuona hayatuhusu haya. Kasi ya kufuta vijiji na kuwakabidhi maeneo wawekezaji ni kubwa sana, na...
  19. chiembe

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda huwa anatembelea Wilaya za Mkoa wake?

    Mkoa wa Mwanza ni Mkoa wa Kimkakati, ila naona kama Mtanda "anaupoza" sana, anafanya ukuu wa mkoa wa kimangimeza, nilitarajia awe anakula "Misele" Ukerewe, Kwimba, Misungwi, Magu, nilimuona mara moja tu Sengerema akisema yule mama aliyedhulumiwa ardhi na Halmashauri wakaweka makaburi sijui...
  20. mdukuzi

    Ofisi za mkuu wa wilaya ya Chalinze ziko wapi?

    Naomba nielekezwe ofisi za mkuu wa wilaya ya chalinze Sio za HalmashaurI ya wilaya,bali mkuu wa wilaya
Back
Top Bottom