wiki

A wiki ( (listen) WIK-ee) is a hypertext publication collaboratively edited and managed by its own audience directly using a web browser. A typical wiki contains multiple pages for the subjects or scope of the project and could be either open to the public or limited to use within an organization for maintaining its internal knowledge base.
Wikis are enabled by wiki software, otherwise known as wiki engines. A wiki engine, being a form of a content management system, differs from other web-based systems such as blog software, in that the content is created without any defined owner or leader, and wikis have little inherent structure, allowing structure to emerge according to the needs of the users. Wiki engines usually allow content to be written using a simplified markup language and sometimes edited with the help of a rich-text editor. There are dozens of different wiki engines in use, both standalone and part of other software, such as bug tracking systems. Some wiki engines are open source, whereas others are proprietary. Some permit control over different functions (levels of access); for example, editing rights may permit changing, adding, or removing material. Others may permit access without enforcing access control. Other rules may be imposed to organize content.
The online encyclopedia project, Wikipedia, is the most popular wiki-based website, and is one of the most widely viewed sites in the world, having been ranked in the top twenty since 2007. Wikipedia is not a single wiki but rather a collection of hundreds of wikis, with each one pertaining to a specific language. In addition to Wikipedia, there are hundreds of thousands of other wikis in use, both public and private, including wikis functioning as knowledge management resources, notetaking tools, community websites, and intranets. The English-language Wikipedia has the largest collection of articles: as of February 2020, it has over 6 million articles. Ward Cunningham, the developer of the first wiki software, WikiWikiWeb, originally described wiki as "the simplest online database that could possibly work." "Wiki" (pronounced [wiki]) is a Hawaiian word meaning "quick."

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania RC Makalla atoa Wiki moja kukomeshwa biashara ya ngono, awataka Polisi kuvaa kiraia na kujifanya wateja

    Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Mdogo wa Zacharia Hans Pope afariki dunia, ikiwa ni ndani ya wiki ya maombolezo ya kakake

    Mdogowa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe, (pichani kushoto) amefariki dunia juzi Jumamosi, septemba 18, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. Msiba huo umetokea ikiwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Serikali imeahidi shirika la Fedha Duniani, IMF kwamba itaanza kutoa takwimu za wagonjwa wa covid na vifo kila wiki kuanzia mwishoni mwa Septemba

    Serikali ya Tanzania imeahidi shirika la fedha Duniani la IMF kwamba itaanza kutoa takwimu za vifo na maambukizi mapya ya ugonjwa wa covid 19 kila wiki kuanzia mwishoni mwa mwezi Septemba 2021 kama masharti mojawapo ya kupewa mkopo. Serikali iliomba mkopo wa zaidi ya Dollar Milioni 500 za...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali kuandaa wiki ya uchanjaji

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali inaandaa utaratibu wa wiki ya uchanjaji ambayo inatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi Septemba au mwanzoni mwa mwezi Oktoba. Msigwa ameyasema hayo Jumapili Septemba 12, 2021 jijini Dodoma wakati akitoa taarifa ya wiki. ''Serikali moja ya...
  5. JamiiForums Tanzania Tigray: Chakula cha Misaada kuisha wiki hii

    Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) limeonya hatari ya kuisha kwa chakula cha misaada kuanzia wiki hii katika eneo la mapigano la Tigray nchini Ethiopia. Zaidi ya watu 900,000 wapo katika hatari ya kukabiliwa na baa la njaa ikiwa ni kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tunapopoteza Matajiri 5 ndani ya wiki 1

    Ndani ya siku 7 vibopa hawa wa ukweli hatuko nao: 1. Hamoud Mohammed Sumry (aliyekuwa na mabasi ya Sumry) 2. Tonil Somaiya (Shivacom) 3. John Lamba (mwenye Traventine Hotel Dar es Salaam) 4. Mathias Manga (mwenye Gold Crest Hotel) 5. Mzee Asas (Mwenyekiti ASAS group) Kina yakhe wangapi...
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo nyota au? Ni wiki sasa Jealous ya Alikiba haijashika namba 1 trending licha ya views nyingi

    Mmakonde kaamua kumkata matumaini kabisa Binafsi nashangaa kuona hii ni video ya pili mfululizo ya kiba haijafika kilele cha trending, Nahisi ni sababu Ali kiba kaanza kulipia matangazo ya kulipia fb na insta ya sponsored (kama la kwenye picha ya chini), haya matangazo unaweza kuchagya...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini redio Ebony Fm ya Iringa inaomboleza wiki sasa, kulikoni?

    Kwanini redio Ebony FM inayosikika Iringa, Dar , Njombe, Mbeya imekuwa ikipiga nyimbo za maombolezoo tangu mwezi uliopitaa mpaka mwezi huu bado tu wanaomboleza, hakuna kipindi chochote tofauti na nyimbo za dini na misiba
  9. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone X ina wiki 2 tu inauzwa bei ya haraka nina shida na pesa

    Nina shida ya pesa Iphone X Ina wiki 2 tu. Gb 64. B.Health 100%. Face id. Truetone. Nina shida na pesa. Box lipo. Charger na earphones zipo. Kiufupi mzigo ni mpya. Bei maelewano. Number. 0683011003
  10. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara nakuonya mapema usifanye hiyo Press Conference yako ya Kuwachafua Waandamizi wa Simba SC wiki ijayo

    Nasikia unapanga kufanya Press Conference yako ya Kutapika Nyongo yako dhidi ya Simba SC hasa Watendaji wake kati ya Jumatatu au Jumanne ijayo. Nami pia nakuonya mapema sana just ya hili kwani ukitekeleza hii adhma yako utakuwa umekaribisha Mashambulizi hatari ya Kiyahudi dhidi yako. Wakati...
  11. JamiiForums Tanzania Wachaga wakwe zangu poleni, ilikuwa wiki yenu kwa vituko!

    Leo nalazimisha kuwatania wakwe zangu, wachaga! (sisemi nimeoa mchaga yupi) Mimii nimeoa huko kwa hiyo msifure kwa hasira na mkani RIP mie chasaka!! Wiki ilianza na mangi Wilfred Massawe, mambo ya viti moto yamekuwa magumu kwa hiyo kaanza utapeli. Akajiita Katibu uenezi wa chama Tawala na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Ndani ya wiki mbili zijazo Corona itatupiga sana Tanzania

    17 July 2021 Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI azungumzia hali ya tishio kwa afya-ya-umma (public health ), umasikini na ukosefu wa ajira kwa vijana Tanzania Mwenyekiti wa chama cha NCCR - MAGEUZI Mh. James Mbatia kwa kina atoa angalizo juu ya gonjwa kubwa lililo janga la kidunia la corona covid-19...
  13. JamiiForums Tanzania Bango la wiki

    Sisi wa mtandaoni na tutoe picha za roll royce kwenye status zetu, tuende na hili bango
  14. JamiiForums Tanzania Kama kawaida yetu tutalalamika tu kwa wiki mbili hizi mfululizo, ila tutazoea kwa miaka mingi ijayo

    Ifike tu wakati sasa tukubalini kuwa 'tumesharogwa' na Moshi (Mvuke) wa Mwenge ndiyo maana tunapelekwa na kufanyiwa watakavyo na tunaenda nao hivyo hivyo tu. Si muda mwingi tulikuwa tunamjadili sijui Sadala baadae akaja Mzee Mpili kabla ya akina Msukuma na Muhongo kutuchanganya zaidi na Zawadi...
  15. JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (GESECO) imefungwa kwa muda wa wiki mbili baada ya kuungua mara 3 ndani ya siku 7

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule ameifunga Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (GESECO) kwa muda wa wiki mbili baada ya moto kuwaka katika bweni la wavulana usiku wa kuamkia leo Julai 14, 2021. Kutokana na uamuzi huo, wanafunzi wote wametakiwa kurudi majumbani, na wanafunzi wanaosoma...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameongeza wiki mbili nyingine za “lockdown”

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameongeza wiki mbili nyingine za “lockdown” kama njia mojawapo ya kupunguza maambukizi ya Covid- 19 nchini humo. Hatua hiyo imekuja kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu waliopata maambukizi ya ugonjwa wa Corona nchini Afrika ya Kusini. Ramaphosa alisema...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Yanga na Simba acheni kuvaa fulana za timu zetu wiki nzima

    Wapenzi wa Yanga na Simba, Jezi zenu huwa zinavaliwa angalau siku moja kabla ya mechi,hadi siku ya mechi na baada ya mechi unaweza ukavaa kwa nusu siku hata kama umeshinda au umefungwa.Ushamba wenyewe unakuwa hivi aliyeshinda anavaa jezi wiki nzima asubuhi hadi wengine wanalala nazo,wakati...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kesi ya mauaji ya Sharon Otieno dhidi ya Gavana Okoth Obado kusikilizwa wiki ijayo

    Kesi ya mauaji ya Sharon Otieno aliyekuwa mjamzito ambayo Gavana wa Migori Okoth Obado ni mshukiwa mkuu Mahakama ya Nairobi imeamua kuisikiliza wiki ijayo. Katika kusikiliza kesi hiyo Jaji Cecilia Githua aliamuru upande wa mashtaka kuleta mashahidi wawili. Kesi hii iliyopaswa isikilizwe...
  19. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuanza kazi; ma-DC, ma-DAS na ma-DED wapigwe msasa

    Wengi ni wageni kabisa. Hawajawahi kabisa kufanya utumishi wa umma wala ABC za kuongoza wilaya. Ni vema wapigwe klash program Ili wafanye kazi yao kwa weledi. Tunahitaji viongozi ambao maendeleo ndiyo kitakuwa kipaumbele chao, viongozi wabunifu. Ikiwezekana wapewe na malengo na wapimwe kwa hayo.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Canter ya kubebea mizigo yangu kwa wiki Tsh. 200,000 Arusha

    Natafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu. Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…