who

  1. evangelical

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kigamboni lipo wazi, hongera Ndugulile

    Baada ya Dr. Faustine Engelbert Ndugulile kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Dunia (WHO) hapo jana jimbo la Kigamboni ambalo alikuwa anahudumu yeye kama mbunge lipo wazi kwani kwa kuchaguliwa katika nafasi hiyo hastahili kuendelea na majukuhu hayo ya kisiasa. Pia soma: Dkt...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?

    Ndugu zangu Watanzania, Ni swali tu nauliza kuwa baada ya Mheshimiwa Faustine Ndugulile kuchaguliwa kuwa mkurungenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika,naamini kuwa itambidi Mheshimiwa mbunge atumie busara ya kuachia nafasi ya Ubunge ili atimize vyema majukumu yake ya ukurugenzi wa WHO kanda ya Afrika...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania Washiriki 'Walk the Talk' Jijini Brazzaville

    Ujumbe wa Tanzania washiriki Mazoezi ya ‘Walk the Talk’ Brazzaville, Congo 25 Agosti 2024 Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, wameungana na mgombea wa Tanzania kwa nafasi ya Mkurugenzi wa...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Hon. Twaha Mpembenwe (MP for Kibiti Constituency): Dr. Ndugulile a Booked WHO AFRO Director Nominee!

    Hon. Twaha Mpembenwe (MP for Kibiti Constituency): Dr. Ndugulile a Booked WHO AFRO Director Nominee! I’m so thrilled and pleased to confidently finger-point Dr. Faustine Engelbert Ndugulile a Tanzanian former deputy health minister, and previous minister for Communication and ICT contending for...
  5. W

    JamiiForums Tanzania WHO: Mlipuko wa Ugonjwa wa Mpox ni janga la Kiafya la Kimataifa

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani la Umoja wa Mataifa (WHO),Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kuwa Mlipuko wa Mpox si janga la Afrika pekee bali ni la kimataifa katika mkutano wa kamati ya dharura ya shirika hilo Agosti 14, 2024. Kwa mara ya pili tangu mwaka 2022, ugonjwa umetangazwa...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania WHO yaitisha kikao cha dharura kujadili kasi ya kuenea kwa Homa ya Nyani Afrika na kwingineko

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitisha Mkutano wa Dharura kujadili hali ya usambaaji wa Homa ya Nyani (Mpox) ambapo Takwimu kutoka kwa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Afrika (CDC) zinaonesha ongezeko la 160% Homa hiyo ikilinganishwa na 2023. Takwimu zimeonesha tangu Januari 2024 hadi Julai...
  7. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Proxy wars will determine who wins WW3 and gets to shape the new world order

    I believe proxy wars will determine who wins WW3 and gets to shape the new world order. There are numerous ongoing proxy wars at the moment. However, the ones I believe will prove decisive will be in Taiwan, Ukraine, and the Middle East. The others are peripheral in comparison. I think it’s...
  8. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania WHO: Kuna ongezeko la Maambukizi mapya ya COVID-19 dunia nzima, nchi zijiandae

    GENEVA: Shirika la Afya Duniani (WHO), limetoa tahadhari ya kuwepo kwa ongezeko la Maambukizi ya Virusi vya #COVID19 duniani huku utoaji Chanjo ukipungua. Taarifa ya WHO imesema "Takwimu za mfumo wetu wa ufuatiliaji katika nchi 84 zinaripoti kwamba asilimia ya vipimo vya SARS-CoV-2 vimekuwa...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania WHO yazindua chanjo mpya dhidi ya Malaria, Ivory Coast

    Utafiti unaonyesha kuwa chanjo mpya ina ufanisi zaidi ya 75% katika kuzuia magonjwa na vifo vikali katika mwaka wa kwanza na kwamba kinga huongezwa kwa angalau mwaka mmoja zaidi kwa kupata chanjo ya ziada yaani booster. Zaidi ya 94% ya takribani visa milioni 249 vya malaria duniani na vifo...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania WHO: DRC ina idadi ya Watu wengi wanaohitaji Msaada wa Kibinadamu Duniani

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 25.4 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na Mgogoro wa Kiafya na Kibinadamu kutokana na kuongezeka kwa mzozo na vurugu, hasa katika marneo ya Mashariki ya nchi Shirika hilo lilisema kuongezeka kwa vurugu za makundi ya...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dr. Faustine Ndugulile Ideal Candidate to a Position of WHO AFRO Director

    Dr. Faustine Ndugulile Ideal Candidate to a position of WHO AFRO Director I'm so thrilled presenting Dr. Faustine Ndugulile a Tanzanian former deputy health minister who was recently approved to contend for a position of Africa Regional Director of the World Health Organization (WHO)! Dr...
  12. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Lesson 2: How to Choose Clients Who Value You (Chagua Wateja Wanaokuthamini)

    Habari wanaJF, Ni mimi tena. Nimekaa nje siku nyingi sijapost, lakini nimerudi tena mchezoni. Changamoto za hapa na pale, lakini nothing that I couldn't handle, by God's grace (hakuna kisichoshindikana kwa Mungu). Nimekuwa na threads kadhaa kuhusu Upwork hapo nyuma. Kwa imani kuwa platform ina...
  13. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Programme Management Specialist (Roster), P4, Multiple duty stations at WHO June, 2024

    Organization AF/DPM Director, Programme Management Schedule Full-time IMPORTANT NOTICE: Please note that the deadline for receipt of applications indicated above reflects your personal device’s system settings. PURPOSE OF THE POST To ensure overall efficiency and effectiveness of programme...
  14. tamsana

    JamiiForums Tanzania Video: Sikiliza jinsi Shirika la Afya la Dunia (WHO) linavyojipanga kukabili population Afrika

    Salam wana jukwaa. Kwenye video ni Dr. Wahome kutoka Kenya mbele ya Mhe. Museven, Rais wa Uganda akimwelezea jinsi WHO inavyojipanga kupitisha sheria au protocol ambayo itaipa nguvu katika kufanya maamuzi kuhusu masuala mbalimbali ya afya. Swali la kujiuliza ni je, wataalam wetu wamejipanga vipi...
  15. FK21

    JamiiForums Tanzania Who is your best ACTOR?

    Ndugu zangu naomba tuchangamshe genge kidogo Kati ya waigizaji hawa wawili Nani unamkubali zaidi 1. Cillian Murphy a.k.a jina maarufu wengi wanamjua kama TOMY SHELBY kwenye peak blinders . 2. Wentworth Miller aka MICHAEL SCORFIED kwenye prison break Wa juuu anajulikana kwa unababe katika...
  16. FK21

    JamiiForums Tanzania Who is your best Actor?

    Ndugu zangu naomba tuchangamshe genge kidogo Kati ya waigizaji hawa wawili Nani unamkubari zaidi 1. Cillian Murphy a.k.a jina maarufu wengi wanamjua kama TOMY SHELBY kwenye peak blinders . 2.Wentworth Miller aka MICHAEL SCORFIED kwenye prison break Wa juuu anajulikana kwa unababe katika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Meet the South African bosses who earn up to R685,000 a day

    BUSINESS Meet the South African bosses who earn up to R685,000 a day Staff Writer ·20 May 2024 Remuneration reports from South Africa’s top 5 biggest mining companies revealed their CEOs’ massive salaries in 2023, with some earning triple that of the best-paid banking CEOs. According to...
  18. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu tunapenda kuamini vitu tusivyovijua?

    Sema kweli mimi huwa nashindwa kuelewa watu, nashindwa kabisa sometimes hata kuchangamana na aina flani ya watu kwasababu najua tu hawana manufaa. Sipendi kuongelea watu na kujudge wafanyacho, ila percent kubwa ya watu wanizungukao huishi hivyo Hii hunipelekea kuwa mpweke mda mwingi ila...
  19. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania James Mungai: The Man Who Slapped Vice President Moi Twice

    In the sunset years of Mzee Jomo Kenyatta’s presidency,James Erastus Mungai was the all-powerful Police Commandant in charge of the Rift Valley Province Not only was he from the then president’s tribe but he was also rumoured to be related to Mzee Kenyatta. The story of Mungai was not just that...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania's Faustine Ndugulile secures important endorsement for the WHO Regional Director for Africa position

    Tanzania has nominated Dr. Faustine Ndugulile as its candidate for the Regional Director for Africa position at the World Health Organization (WHO). The country has received an endorsement for Ndugulile from 16 countries in the Southern African Development Community (SADC) and seven others...
Back
Top Bottom