who

  1. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Secretary Pompeo: Marekani haitarudi nyuma juu ya uamuzi wa kuiondolea ufadhili WHO

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bwana Pompeo amesema Marekani inaweza sisirudi nyuma juu ya uamuzi wake wa kuiondolea ufadhili WHO. Pompeo anasema haoni sababu ya kutumia pesa za umma kufadhili WHO, shirika ambalo limeshindwa kuzuia usambaaji wa virus vya corona na shirika ambalo limekua...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania WHO Wanasema corona waliujua ni ugonjwa X tangu 2018

    Virusi vya corona: WHO ilijua kuhusu virusi vya corona miaka miwili iliopita Ugonjwa uliopewa jina X ulisemekana kuwa na hatari na huenda ungelisababisha janga la kimataifa Mnamo mwezi februari 2018, kundi la wataalam wa shirika la Afya duniani WHO lilichapisha orodha ya magonjwa ambayo...
  3. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kumtaka Tedros ajiuzulu ni hila za kuizima sauti ya Afrika WHO

    Azimio la Rais Donard Trump la kumtaka Tedros ajiuzulu limechukua sura mpya ambapo chama cha Republican kinataka kuweka mazingira ya kumtaka Tedros ajiuzulu kwa sababu ya kushindwa kudhibiti HIV na sasa COVID-19. Sababu hizi zinaweza kutumika kama silaha kuu ya kuhakikisha Kiongozi mwingine...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Virusi ya corona: Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa corona - yaonya WHO

    Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa virusi vya corona, Shirika la Afya duniani WHO limeonya. Kumekuwa na ongezeko kubwa la visa vya ugonjwa huo wiki iliopita. Kumekuwa na zaidi ya visa 1000 na zaidi ya maambukizi 18,000 kote barani Afrika kufikia sasa , ijapokuwa viwango hivyo viko...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Please l beg you ,Dont leave a woman who has these 7 Qualities ...1 and 3 are most lmportant of all...

    If you as a man has a woman who have these 7 qualities, never let her Go. Men are amazing and the fact is that a good man must always want the right women. Because they love Good things... Everything Good Good Good. The fact is that if you are a man, you will just always want the right woman...
  6. Richard

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kwa Mwafrika Dr Tedros Ghebreyesus kuendelea kuongoza WHO, Marekani yaondoa fedha za mchango nyuma ya pazia, yashinikiza Tedros aondolewe

    Dr Tedros alianza kuonekana kwenye televisheni duniani akitoa maelezo mbalimbali kuhusiana na ugonjwa wa COVID-19. Pia aliweza kuonekana akijibu masuali mbalimbali ya waandishi wa habari juu ya maendeleo ya ugonjwa huo na taarifa zingine nyingi tu kupitia mitandao kama ya twitter na kadhalika...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Trump amefungulia milipuko mikubwa ya magonjwa yaliyowahi kudhibitiwa na WHO.

    Maamuzi ya Bw. Trump, [the disgraced president of the United States of America.,] kuzuia kutoa ada na mchango wake kwenye shirika la afya duniani ni ya kusikitisha mno. Madhara yake ni makubwa mno. Na ni wazi kuwa yatasababisha milipuko na kushindikana kuyazuia maradhi mengine mfano polio...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania China yaiomba Marekani kutimiza wajibu wake kwa WHO

    China imeiomba Marekani hii leo kutimiza wajibu wake kwa shirika la afya ulimwenguni, WHO baada ya Rais Donald Trump kusimamisha ufadhili kwa shirika hilo akilituhumu kushindwa kulishughulikia ipasavyo janga la virusi vya corona. Waziri wa mambo ya kigeni wa China Zhao Lijian amewaambia...
  9. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Marekani inataka kujiondoa kuwa Mwanachama kuficha idadi ya wagonjwa wa Corona na vifo kusitisha mchango wake WHO ni mwanzo wa Safari

    Kwa mnaofuatilia siasa za Marekani huwa hayuko tayari. Kukubali kushindwa anapopata aibu hutafuta wa kumsingizia ili yy aendelee kuilinda heshima take kwa propaganda Mmarekani amesema atafikia kilele cha maambukizi wiki hii huku akijua wazi mdudu huyu haonekani na hatabiriki kwa hiyo mmarekanii...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wampinga Trump kutaka kusitisha ufadhili kwa Shirika la Afya ulimwenguni kufuatia kuwapo kwa janga la Covid-19

    US President Donald Trump said on Tuesday that he had instructed his administration to suspend funding to the World Health Organization (WHO) over its handling of the coronavirus pandemic, in a move that drew immediate condemnation. Trump, at a White House news conference, claimed the WHO had...
  11. Kaduguda

    JamiiForums Tanzania Rais Trump asitisha ufadhili wa Marekani kwa Shirika la Afya Duniani (WHO)

    Rais wa Marekani Donald Trump amesitisha mchango wa kifedha ambao Marekani imekuwa ikiutoa kwa Shirika la Afya Duniani WHO kufuatia namna walivyolichukulia suala la COVID-19. Pia WHO wanalaumiwa kwa kuchelewa kutoa taarifa za mlipuko wa ugonjwa huo kwa mataifa mengine kwa wakati. Amewaambia...
  12. carcinoma

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Director General wa WHO kuhusu lockdown kwa nchi masikini kama Tanzania

    Habari za mida hii wakuu. Kufuatana na janga hili la ugonjwa wa COVID 19 unaosababishwa na kirusi cha corona, Kumekuwa na mjadala kuhusu lockdown ya nchi nzima ambapo baadhi ya watu wanamtaka Rais wa nchi aidhinishe total lockdown. Na wengine wakitaka hali iwe hivi hivi ilivyo. Ninadeclear...
  13. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan who spent 11 days in the ICU and recovered speaks on his experience

  14. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Barua ya US Congress kwenda WHO wakiituhumu kushirikiana na China kusambaza virusi vya corona

    Baraza la Congress la Marekani limemwandikia barua Tedros Adhamon ambaye ni DG wa WHO likimtuhumu kuisaidia China kwenye mpango wake wa siri kueneza COVID19 duniani kwa Makusudi. Jisomee mwenyewe hapa👇: April 9, 2020 Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesus Director-General World Health Organization 20...
  15. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania WHO Director: We want to see things turns to normal and Government must stop anxious restrictions

    The World Health Organization is urging caution from nations anxious to lift restrictions imposed on their citizens to fight the spread of the COVID-19 virus. Speaking at the organization’s regular news briefing from Geneva on Friday, WHO Director-General Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesus said...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa WHO aliyepondwa na Trump kuwatetea wachina aitwa Nyani na wachina wenyewe

    Inasikitisha sana jinsi wachina sasa hivi wanavyotunyanyasa eti watu weusi tunasambaza maambukizi ya Corona. Licha ya yote Inahuzunisha zaidi hadi kumuita nyani na kumdhiahaki kwa rangi yake mkuu wa WHO raia wa Ethiopia Tedro Adhanon Gebreyesus licha ya kuitetea serikali ya China kwenye...
  17. M

    JamiiForums Tanzania See The most expensive Car in the World USD 19 Million and the person Who own it

    What you are about seeing and reading about is the Costliest Car in the World, The Buggati Lat Voit Nor, it's Value, it's Features and the Only human being walking the earth that owns it. It was unveiled in 2019 and it costs a whooping sum of 19 million Dollars which is 6.9 Billion Naira in...
  18. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Angalia huyu mwanamke

    Wanawake wengi wanataka wanaume ambao tayari wana kila kitu ili waweze kuingia ndani na kuwa na maisha rahisi, lakini angalia huyu mwanamke.
  19. babu M

    JamiiForums Tanzania Chancellor Angela Merkel in quarantine after contact with doctor who tested positive for coronavirus

    German Chancellor Angela Merkel is in quarantine at home after coming into contact with a doctor who tested positive for coronavirus, her spokesman said Sunday. Source: Bloomberg
  20. M

    JamiiForums Tanzania Meet Mohammad Saad Al Beshi who Behead a Nigerian Woman

    Saudi Arabia’s head cutting specialist has revealed the chilling details of how he beheads Nigerians and other people sentenced to death for drug trafficking and other offences. Muhammad Saad al-Beshi, a black man, stated this in a rare interview with Arab News, a Saudi Arabian newspaper...
Back
Top Bottom