Baada ya miaka 12 ya kutafuta bila mafanikio, hatimaye James Howells ameamua kuachana rasmi na jitihada zake za kuipata diski kuu (hard drive) aliyotupa kwa bahati mbaya mwaka 2013. Ndani ya diski hiyo kulikuwa na takribani Bitcoin 8,000, ambazo kwa sasa zina thamani ya takribani dola milioni...