wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Usimsamehe mtu yeyote ambaye mwanzo akitaka kukuua, au kukutengenezea Mazingira ya wewe kutofanikiwa

    Usije ukathubutu Kusamehe MTU aliyetaka kukuua, au alijaribu kutengeneza mazigira ya wewe usifanikiwe . Jambo la kujua ni kuwa watu huwa hawabidiliki Kama ni mbaya ni mbaya na Kama ni mzuri mzuri . Kwahiyo haiwezekani mtu yule yule aliyekukataa kipindi Fulani Leo aje akukubali kisa tu Una...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini likitokea tukio ambalo serikali imefanya CCTV za jirani zinachukuliwa kwa nguvu na wewe unaunganishwa kwenye kesi

    Matukio Tanzania yanatisha sana. Sehemu ambayo iliona tukio la wavaa soski na bunduki tena ni serikali wakijua kuwa umeonesha walichokifanya basi umekwenda na maji. Kwa sasa kabla ya kwenda kuteka watu wanachunguza nyumba za majirani kama zina CCTV na wakijua na wewe unakuwa mmoja wa kesi zao.
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wewe kijana mjinga, tazama hii video huenda ujinga utakutoka

    Badala ya kuwatafutia kazi US hata za kulea wazee yeye anawatafutia vurugu.
  4. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji: Mitandao ya kijamii inapaswa kukutumikia wewe si kukuteka wewe

    Anaandika tajiri Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa (X). Nchi nyingi — kuanzia Australia hadi Denmark — sasa zinaweka mipaka ya matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto walio chini ya miaka 16.Kwa vijana wa Tanzania na Africa: lindeni akili zenu, muda wenu, na ndoto zenu.Mitandao ya...
  5. Trainee

    JamiiForums Tanzania Narudia tena; ukifa kwenye kuandamana wewe ni motoni na ukiua wanaoandamana pia wewe ni motoni!!!

    Najua hiyo ni ngumu kumeza lakini hakuna namna isukumieni hivyo hivyo hata na maji Angalizo: Hiyo ni kwa sheria ya uislamu ukipinga lete ushahidi
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu na jambo na wewe kuhusu uwaziri wa fedha ulipomalizia

    Moderator kama itakupendeza unaweza kumtag kabisa maana nchi ni yetu sote. Waziri mkuu mwigulu nakupa ongera sana kupata uwaziri maana ni nafasi kubwa inayosimamia wizara zote. Kutokana na mlichokifanya na kufikia hapo kuwa waziri mkuu mpaka yametokea yote watu kufa maana wewe unaeleza mali tu...
  7. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere: Mwanaume anayesema 9 Disemba hatuandamani, Sisi tutaandamana labda wewe utabakia nyumbani na wanawake wenzako

    Huyu mzee bhana ananifurahisha na kauli zake! Yani uzee wake ni kama Gen Z ============ Hakuna mwanaume atakae andanamana tarehe 9, jibu Sisi tutaandamana labda wewe utabakia nyumbani na wanawake wenzako" Mtoto wa kwanza wa mwalimu Nyerere 😃
  8. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hata waliokufa leo walikiona kifo kana kwamba kiko mbaali sana, kisa wewe ni kiongozi unakuwa na Kiburi?

    Kiburi cha wanadamu chatoka wapi? Kwa sababu wewe una cheo fulani na vile unapojiangalia unaona umezungukwa na ulinzi mkali, umezungukwa na kila aina ya silaha ndio sababu ya kuwadhihaki waliokufa leo na wewe kujiona u salama kushinda wao? Unaowadhihaki hao, nao walikiona kifo ni kana kwamba...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Dalili za kukatiliwa kuwa wewe sio kiongozi zimenikumbusha syria

    Mabavu yana mwisho ila kuna mda mabavu yako na utawala wako unaweza kuona wewe farao. kipindi cha raisi wa syria kabla ya kupinduliwa ilifikia hatua haya tunayopitia tanzania kwake yalikuwa ni kama mazoea kila siku. siku moja watoto wadogo walichoka wakaandika kuwa awamtaki raisi kwenye ukuta...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kwenye mikusanyiko ya familia, wewe huwa unajukumu gani?

    Tunajua kipindi cha Desemba ndo kipindi cha kukusanyika na familia na kufurahi kwa pamoja kipindi hiki cha likizo. Lakini niwe mkweli natamani sana mwaka huu nisherekee mwenyewe au tutoke out na marafiki. Kwa sababu kila nikienda mimi ndo nakuwa mpishi wa familia, jiko naachiwa mwenyewe...
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Sitaandamana D9. Wewe je?

    Sitaandamana D9. Napenda uhai. Asanteni
  12. T

    JamiiForums Tanzania Samia hataki maridhiano

    Siamini nachoona na kusikia Huyu anataka maridhiano kweli ?
  13. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Dalili saba kwamba wewe ni mtu wa hadhi ya juu/Mtu wa thamani

    1. Unaelewa kuwa inawezekana kutokubaliana bila kukosa heshima au kuinua sauti. 2. Unaheshimu ahadi zako kwa kuwa mwenye kutunza muda, jambo linalokupa sifa ya kuaminika. 3. Unaacha kuwahukumu watu kwa mwonekano wao au maoni yao, na unakwepa mazungumzo ya umbea. 4. Unatambua kuwa...
  14. Nzi Chuma

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mwajiri, tangaza ajira yako nasi hapa BURE

    Kama wewe ni mwajiri na unatamani kuajiri kisasa kabisa, tembelea website yetu www.kazilink.co.tz na utangaze kazi yako.. Platform hii pia itakusaidia kuweza kuona walioomba kazi kupitia account yako ya mwajiri na kuwaita kwenye interview moja kwa moja kwenye mfumo. Jisajili as employer na...
  15. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Video: As the man of the house, what’s your next move?

    As the man of the house, what’s your next move?
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari. Ni hatari sana kubaki nyumbani siku ya 9D. Wauaji wataanza na wewe

    Ewe mtanzania mwenzangu hakikisha siku ya 9D unatoka na kuungana na wenzako kuidai haki kwenye maandamano ambayo yatakuwa makubwa sana siku hiyo Kusalia nyumbani siyo salama kwako. Kwani wale walenga shabaha watakuangamiza wewe pamoja na familia yako yote. Alionae tangazo hili amtaarifu na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mambo yanayofurahisha, Wewe unajuana na nani?

    Katika pitapita za mtu mweusi, tunakubali uongozi ni kipawa kwa maana usmart na kushawishi watu Lakini kweli kwa namna hii mawe yanahitaji kugeuzwa
  18. Criss

    JamiiForums Tanzania Gwajima usiingie mkenge jua target ni wewe

    Leo wazuri mkuu wa Mtandao Mwigulu Nchemba ametoa amri kwa waziri wa mambo ya ndani akayafungulie makanisa ya Ufufuo na uzima sambamba na kuziputia upya sheria za umiliki wa nyumba za ibada . Agizo hilo limetolewa kwa maelekezo kwamba kufunguliwa kwao siyo kunetokana na msamaha wa kudumu ,no...
  19. Think2

    JamiiForums Tanzania Hili jeshi ndo mlikuwa mnategemea lichukue nchi??

    Leo ndo nimeamini hakuna jeshi bali ni kikundi cha wanasiasa Jeshi gan uchwara kama hili? Wanapongezana kwa mauaji kwa kupandishana vyeo Gen Z, taifa halitokombolewa kwa kuwategemea JW bali ni wananchi pekee wanaweza kufanya hivyo
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yaani uonewe na Al Jazeera, BBC, France 24 na CNN? Wewe nani kwa mfano?

    Unajua hata kwenye kupima mizani kuna mambo hayaaingii akilini. Machawa na Wajinga wanaotumwa na Samia kujaribu kutuliza upepo wanaleta propaganda mfu eti Wanaonewa na CNN Wanasahau jambo lililosemwa na CNN kitaalam zaidi lilishasemwa na vyombo vinavyoaminika vya kimataifa vya habari wakiwemo...
Back
Top Bottom