Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.
KUNIZUNGUSHA SANA SIO KAMA NDIO NITAKUONA WEWE SIO MALAYA AU SIO RAHISI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya mambo ambayo yananifanya nimshushe mwanamke nyota zake hasa za kiutambuzi na kumwona ni wale wanawake wa standard za kawaida ni kuwa na mtazamo usemao kuwa kumzungusha mwanaume au...
WATU HUJA NA KUONDOKA, UTABAKI WEWE NA FAMILIA YAKO. HATA MTI HUCHIPUSHA nà KUPUKUTIAHA MAJANI. USING'ANG'ANIE WATU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya kosa ambalo utalifanya ni kutokutambua kuwa watu ulionao sasa hivi wapo lakini hautakuwa nao siku zote. Watu huja na kuondoka.
Kanuni...
Wewe sio wakwanza wala wa mwisho kukupenda au wapekee kwake. Alishawai kupenda kabla pia anaweza kupenda tena. Lakini kama sasa hivi anakupenda wewe nini kingine unachotaka?
Yeye sio mkamilifu wewe pia. Nyie wote wawili hamuwezi kuwa wakamilifu.
Alikuwa na nani hapo zamani au atakuwa na nani...
📌 Kwenye jamii ya Sasa Kuna wimbi kubwa la ulevi wa tofauti tofauti... Kuna ulevi wa pombe, uvutaji wa Bangi, sigara na madawa ya kulevya pia.
Ukiachana na vilevi hvyo vingine kwenye kilevi Cha pombe wewe unatumia pombe zipi?? Za kiasili au za viwandani??
Narudia tena: kama wewe ni ajenti wa shetani usisome mada hii, utalia. Umenielewa? Nasema hivi: kama wewe ni mtumishi wa ibilisi, ukisoma mada hii, utatoa machozi kwa sababu mada hii inafunua ukweli utakaopenya hadi kwenye mifupa. Mada hii itakutikisa, itakutetemesha na kukufanya uache ushirika...
Unaweza kujipima thamani ya utendaji kazi wako kwa jamii; wengi tunaamini kama wewe ndiye unayetafutwa ili kutatua jukumu fulani, inaonyesha wewe ni mbobezi na unakubalika katika eneo hilo.
Usipokuwa eneo la kazi, unapigiwa simu nyingi na mabosi zako; hiyo inaonyesha uwezo ulionao katika...
Kuna dada anajiita "Rachel" anadai anaishi Japan watanzania wengi inasemekana wanamfuatilia huko TikTok kwa kunyatia...😀😃😆😄
Na wewe unamfuatilia yule Recho wa TikTok?
We are going to lose the rights of mountaineers and the entire tourism industry in general.
We are the Mountain Workers Advocacy Union (MWAU) — a powerful collective voice for porters, guides, and cooks on Mt. Kilimanjaro.
We stand for dignity, justice, fair contracts, and safe working...
Nafikiri shida ndo ipo hapa. Na uhuni huu tukienda nao miaka mitano ijayo. Taifa lote linaenda kuwa la si kuhalali na hakuna haki itatamalaki nchini Kwa sababu tutakuwa na reference ya number 1 kama mtu hakupita kwa haki.
HATUA STAHIKI ZIFANYIKE SASA.KAMA TAIFA. NI MUDA WA KUWEKA MASLAHI...
Balozi Humphrey Polepole awacharukia wanaohoji kwanini anayoyasema sasa ikiwemo masuala ya utekaji hakuyasema awamu ya tano, Je wao wamewahi kusema kwenye awamu ipi?
Ametolea mifano kadhaa ambayo chama cha mapinduzi kipindi cha John Magufuli walikemea utekaji na mauwaji ikiwemo yaliyotokea...
Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana.
Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza.
Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakiogopi vitisho, ukandamizaji wala hila dhidi ya wapinzani, na kitaendelea kusimama kidete kutetea haki, uhuru na maisha ya Watanzania wote
Akizungumza Julai 23, 2025, wakati wa kutoa...
Je, Simu Yako Inakupeleleza Bila Wewe Kujua? Hizi Ndizo Settings Hatari Unazopaswa Kuzima MARA MOJA!
Katika zama hizi za kidijitali, kila swipe, kila app unayofungua, na kila sekunde unayotumia kwenye simu yako inaweza kurekodiwa — si kwa nia mbaya kila wakati, bali kwa ajili ya uchambuzi wa...
Ndio nini sasa umefanya mpaka tunakimbia viota vyetu na kuahirisha ratiba zetu nyingi?
Sasa unadhani tutachaguanaje kwa huu upuupu ulioumwaga?
Sasa kila mtu anawashwa.. Nyumbani hapakaliki kijiweni hapatoshi
Na ulivyo mbaya umekaa kimya tuli unatuchora tu na popcorn zako
Kama hii ndio single...
Binadam alivyo leo kitabia na mwenendo ni zao la mambo 3.
1. Jenetiki alizorithi
2. Mazingira aliyokulia
3. Mazingira aliyomo.
Tunakutana ukubwan, si vibaya tuambizane mambo yanayotia kinyaa kwenye jamii.(general bad manners).
Haijalishi kwa makusudi au bahati mbaya.
1. Kuongea na simu sauti ya...
Dah! Sina mengi ya kusema ila wewe dada tambua sisi sio milima ipo siku tutaonana tena.
Mimi sio wa kunilia hela yangu ya nauli au kwa kua nilijiongeza nikakutumi kibunda, mbaya zaidi unazima simu huku status umepost wimbo wa Diamond eti
aibu yahani haya naona mimi tumekutana leo eti kaniamini...
Akiongea na vyombo vya habari kuhusu Sakata La Dada wa Aliyekua Balozi Cuba, Katibu mwenezi CCM , Mh Polepole, Leo Afande Muliro anamuita "Et MTU aliyejitambulisha '
Wewe Muliro Wewe utadhan unafanya kazi ya kutukuka wakati Mzee Kibao aliuliwa na Watu wenye Bunduki walomshusha Ndani ya Bus...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.