wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Hata kama ungekua wewe ni Sabaya lazima ungejitetea alivyojitetea leo

    Ni wazi kabisa kwa mtililiko ule wa ushahidi uliotolewa na mashahidi wa upande wa mashtaka, ile kesi ilimlemea sabaya, kwa vyovyote vile mawakili wa Sabaya waliona hawachomoki hapo ndipo wakaamua kumshauri aongee alichozungumza leo, kwa namna nyingine Sabaya amekiri kwamba matukio yale...
  2. JamiiForums Tanzania Wewe huwa unajiunga kifurushi cha muda gani kwenye simu yako?

    Habarini za wakati? Hivi wewe huwa una mazoea ya kujiunga kifurushi cha muda gani nimeconsider time interval in term of Daily bundle, Is it weekly, or monthly bundle. Watanzania wengi najua tunaishi kwa mazoea ya aina fulani, we're very lating in exposure and exploits whatever around us. Najua...
  3. JamiiForums Tanzania Katika ulimwengu wa kishirikina, nguo yako ni wewe

    Habari zenu wakuu natumahi mu wazima wa afya. Leo nimekuja na hili baada ya kuona matukio yakufanana yahusishayo Nguo. TUKIO LA KWANZA (1): Kuna jamaa yangu tulifahamiana nae yeye ni ndugu yake na binamu yangu. Yeye ni Upanga Boy (Mzaliwa wa kata ya Upanga wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni Wakili muhimu kwenye kesi inayomkabili Mbowe, unapaswa kuja nchini bila kujali mazingira

    Wsalaam wanajamvi, Case ya Mbowe kuhusu ugaidi imekuwa na mvuto wa ina yake kabisa na wengi wamekuwa wakiitazama kwenye jicho la siasa kuliko kisheria pamoja iko mahakamani. Kwenye hili nami na kubaliana na wao wanao itazama kwa jicho la kisiasa hata kama imekwenda mahakamani na ni wazi kabisa...
  5. JamiiForums Tanzania Tuache upotoshaji kutumia dini kupinga chanjo ya COVID-19

    Soma hii kwa kumaanisha Tanzania tunachanjo 15 ikiwemo hii tunayoikimbia zote ni za mabeberu,Wameshindwa kukuua kirahisi ukiwa Mchanga leo umepata akili ndio unamkimbia nyoka uliyelalanae mpaka unataka kuvunja mguu,Acha ushamba Wahi chanjo ziko chache usisahau maisha ni yako. Corona sio...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kama Wewe ni Mwana-CHADEMA, chama kinakuhitaji kuliko wakati wowote

    Sidhani kuwa kuna wakati wowote ambapo chama kiliwahi kukuhitaji kama ilivyo kwa wakati huu. Pengine utakuwa na sababu zako maalum zilizokufanya uwe mwanachama wa chama hicho, lakini hata kama sababu mojawapo si kwa sababu ya chama chako kusimamia HAKI, UHURU na DEMOKRASIA, bila shaka wajibu...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ulijijuaje kuwa wewe ni mrembo sana?

    1. Ulikuwa na umri gani na ni nini kilisababisha kujua kuwa wewe ni mrembo? 2. Baada ya kujua wewe ni mrembo ulichukua uamuzi gani? 3. Je, unadhani urembo wako umekupa faida gani ya msingi ukilinganisha na wale ambao si warembo?
  8. P

    JamiiForums Tanzania Upandaji wa Mlima Kilimanjaro uboreshwe ili walemavu, wazee na wenye uzito kubwa waweze kufika kileleni

    MLIMA KILIMANJARO Mlima kilimanjaro ni fursa ya utalii inayoingiza kipato kwa Serikali na watu binafsi, lakini pia ni sehemu ya kuimarisha afya kwa mtalii kupitia kutembea, lakini mlima Kilimanjaro bado upo katika Hali ya kubagua wapandaji/watalii sababu mlemavu, wazee na watoto, hawapati fursa...
  9. JamiiForums Tanzania Ludovic Uttoh: Ukipata Uteuzi wa nafasi yoyote uliyechaguliwa ni wewe, sio wewe na Familia yako

    Nchi nyingi za Kiafrika ukichaguliwa kazi yoyote au hata Rais uliyechaguliwa ni wewe sio wewe na familia yako. Matatizo ya utawala yanakuja mtu anapochukulia kila kitu family affairs lazima utashindwa. Nchi nyingi za Kiafrika ukichaguliwa kazi yoyote au hata Rais uliyechaguliwa ni wewe sio wewe...
  10. JamiiForums Tanzania Kama hiki kikosi unakijua, wahi chanjo ya Corona

    Kama hii timu unaijua yote basi ushakuwa mtu mzima sana na hivyo nguvu za mwili za kupambana na corona zimepungua Nitakushangaa ukiendelea kudanganywa na vitoto vya mwaka 2000 hebu kimbia wahi chanjo acha ujinga. Mzungu angekuwa na nia mbaya na wewe basi angekuulia kwenye njia nyingine kama...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, wewe unakula posho Ulaya unataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya

    Mpumbavu ni nani? Ni Mtanzania anayeshangilia Tundu Lissu aliyepo nje ya nchi anakula posho wazungu Ulaya halafu huyo anataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya. Anaomba Jumuiya ya Kimataifa na nchi wafadhili waiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi na kuzuia misaada. Lissu angekuwa wa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ningetaka kuishi kwenye aina hii ya mtaa na ya nyumba hizo. Na wewe weka hapa picha ya aina ya mtaa ungetaka kuishi

    Habari wana JF, Ninatumai habari njema. Nilikuwa ninafikiri kujenga nyumba lakini ukitaka kujenga nyumba ya kuishi lazima ufikiri hata surrounding yako (mazingira yanayokuzunguka) kwa mfano majirani, usafi wa mtaa Hyvio nilitaka kuweka hapa baadhi ya picha ya neighborhood popote niliona...
  13. JamiiForums Tanzania Je uzuri wa ku download na ule wa natural upi unapenda wewe?

    Miaka ya karibuni kumezuka hombwe la kufata mkumbo kutoka magharibi (utandawazi) ktk nyanja nyingi. Leo hii nitazungumzia nyanja moja tu ya urembo. Utaona wadada wetu wanajiremba na kujirembua kwa kasi ikiwemo kubadilisha maumbile yao kama MAKALIO.MATITI.NYWELE .MAKUCHA NK. na hata rangi zaoza...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia hivi CCM hawajakuelewa au hukueleweka suala la mikutano ya kisiasa?

    Ni wiki sasa tukianzia kule Zanzibar tumeona kamati ya Uongozi ya CCM ikifanya mikutano ya kisiasa , lakini pia nimeona trend ya Chadema wakiendelea na oparesheni haki kwenye mikoa mbalimbali hapa nchini japo nadhani wao wanafanyia ndani (sina uhakika). Lakini Mh Rais alikuwa ametoa kauli kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wewe ni wa thamani. Je, watembea katika uthamani wako?

    Nianze na hadithi fupi itakayoambatana na swali mwishoni mwake “Robin ni farasi wa thamani sana aliyeshinda mashindano mbalimbali ya kidunia na amekuwa akipata medali kadhaa na pia anasifika kuwa na umbo bora kabisa la kiushindani ambalo limekuwa likimsaidia kushinda mbio mbalimbali za farasi ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…