Vijana na watu wazima walishirikiana katika mchezo wa kamari (kwesa nsimbi). Mchezo huu pia ulitegemea ruhusa ya mtemi, maana mara kwa mara yaliweza kutokea matata ya kuuana wao kwa wao.
Kwa kuwa fedha haikuwapo wakati huo walitumia majembe na kauri, pembe za tembo na watu, yaani watumwa. Kila...