wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanzania hii ya leo kama hauna pesa wewe si lolote si chochote

    Kwa muda mrefu habari hizi za kutafuta hela tunazisikia kila siku imefika wakati maana hasa ya maneno haya inapotea. Ni mpaka hapo utakapokua na kupitia experience fulani ndiyo utaelewa uzito na ukweli wa maneno haya. Tanzania hii ya leo watu tunadharauliana sana. Sisemi kama zamani mitazamo...
  2. Ishara zinazoonyesha wewe sio mtu wa kukata tamaa

    • Unacheka unapoanguka au unaposhidwa jambo • Hushindani na mtu lakini unajishindania mwenyewe na malengo yako. • Ni mtu unayeamini kwamba hali ngumu unayopitia ni shule. Magumu hayadumu ni swala la muda tu. • Upo tayari kwa mabadiliko yoyote. • Unafahamu vipaumbele vyako hukurupukii kila...
  3. UpWork Freelancing: Kama wewe ni kijana ambae huna kazi pita hapa

    Habari wana JamiiForums, kwa bahati mbaya au nzuri, mambo mengi ambayo naandika au natamani kushare humu yashaongelewa tayari , na hata hii kitu ambayo naandika saa hivi. Freelancing. Though, approach nlioona inatumika na wengi ni tofauti kabisa na ile ambayo nimekuwa nikitumia hivyo naona ni...
  4. Mwanamke akijua wewe ndiyo wake wa maisha, hakupi papuchi. Mwenye hela barafu ya shida za moto

    Habari, Mwanake anayekupenda, si rahisi kukupa mali yake uichakate. Anakuweka bench, sababu anajua utamchakata maisha yake yote. Ukikata tamaa utamkosa. Anakuweka kwenye vipimo vya kila aina hadi kubusiana na wanaume wenzako mbele yake. Ukikata tamaa ndo basi. Unashangaa anakuja jamaa na hela...
  5. N

    Jinsi ya kujibu swali la wewe ninani kwenye usaili

    Kama ni mtafuta ajira ambaye umewahi kupata bahati ya kuitwa kwenye usaili, bila shaka swali hili sio geni. Ni swali la “wewe ni nani” ambalo mwajiri anauliza ili kufahamu taaluma, ujuzi na uzoefu wako. Amini ninapokuambia kuwa, wala hahitaji kujua kabila na mkoa uliozaliwa. Anahitaji madini ya...
  6. Unafikiri ni nani anayekusababishia wewe kuendelea kuwa masikini?

    Inawezekana una ndoto nyingi sana, za kumiliki makampuni, viwanda, au biashara mbalimbali n.k. Lakini unajitahidi kupambana kila siku ili uweze kutimiza ndoto zako, lakini mambo yanakwama na kugonga ukuta. Wapo wanaosema kufanya kazi kwa bidii, kunaweza kukusababishia kutimiza ndoto zako. Na...
  7. N

    Kinana please ongelea suala la bando, wewe pekeee ndiye unayesikilizwa nchi hii kwa sasa

    Kwa kuwa wewe ndiye ukiongea kitu kesho yake kinafanyiwa kazi tusaidie hili la wizi wa makampuni ya simu kuibia watu data/bundle wanapandisha na hata ukikubali kulipia kiasi wanachotaka mb zinafyekwa kibabe Kwa kifupi ni wezi ,malalamiko yakitolewa waziri husika Nape nnauye kazi yake ni...
  8. G

    Mama mkwe, kumpenda kijana wako, isiwe fimbo ya kunichapia

    Hivi kwani Kuna mashindano?? Mbona kama mama zetu hawajihanini kabisaa, napenda kujua labda Mimi ndio mgeni katika Haya mambo kwani Kuna Siri gani kati ya mama mkwe na kijana wake??? Hapo mwanzo nasikia alikua anakataa Kila Binti aliekua akipendwa na mwanae, yaani Sababu haziishi, ooh huyu...
  9. SoC02 Sababu 5 za wewe kuwepo ulipo sasa

    Wengi tunaamini kwamba kila kitu kilichopo hapa duniani kina sababu ya hicho kitu kuwepo. Na hii Ikanipelekea kutafiti sababu zinazotufanya tuwepo katika hali tulionayo kwa sasa. ZIFAHAMU SABABU (5)ZA WEWE KUWEPO ULIPO SASA. 01. UFAHAMU NA TAARIFA TULIZONAZO JUU YA MALENGO YAKO. Ufahamu ni...
  10. Hassan Bumbuli, hebu tembeza fitna Haji Manara atoke kabisa Yanga, wewe unatosha

    Namshauri Hassan Bumbuli asimuonee huruma huyo Haji Manara, amuombee njaa afukuzwe kabisa katika tasnia ya mpira. Aina ya utendaji wa Bumbuli ni wa kitaalamu kabisa, hana mambo ya kihunihuni. Hii ni fursa kwa Bumbuli kumuondoa kabisa Haji Manara, na sio kumsaidia
  11. Mimi napenda nyama wewe unapenda nini?

    Aiseeeh mimi ugonjwa wangu kwa hawa wanawake ni nyama, yaani nikiuona tu mzigo mimi hoi.
  12. Makamo wa Rais Dkt. Mpango huyu Tajiri Muha Muyama ni nani Kwako? Kwanini ana Kiburi na Kaibuka Wewe ulipokuwa tu Makamu wa Rais?

    Halafu wakati ukijiandaa ( ukiniandalia ) Majibu yangu kwa Maswali niliyokuuliza nina Swali lingine Kwako, kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na JWTZ kwa Kawe Lugalo. Makamu wa Rais na hao Watendaji wote niliowataja hapo juu pamoja na wa JWTZ ni kwanini hilo Ghorofa...
  13. Rais Samia fuatilia reaction ya watumishi wa umma kwà nyongeza yao ili 2025 usiibe kura, wewe ni muislam safi!

    Kwakuwa Serikali ya CCM inabebwa na public servants ila kwà niliyoyasikia jana CCM msije mkaiba kura, mama ni mwanamke wa kiislam msimchonganishe na MUNGU wake!
  14. K

    Utamjibu vipi Ex wako anayetaka mrudiane baada ya wewe kuyapatia maisha?

    Utakuta mdada ulikuwa ukimpenda sana na kumtimizia mahitaji yake kadri ya uwezo wako lakini ghafla huyo keshakugaya anakwenda kujishikiza kwa kamsela kimbaumbau kisa kanamiliki visilver vya kubadilishia mboga. Eti leo maisha yameninyookea uanze kunitumia vitext vya kuomba turudiane, nitakujibu...
  15. A

    Wewe ni mtu muhimu sana kwangu ndio maana nimetenga muda wangu kuongea na wewe

    Ewe mwanadamu uliyepata nafasi ya kusoma huu ujumbe.Jua ya kwamba mimi nakutakia mema.Hunijui sikujui ila nacho jua ya kwamba wote tuna Baba mmoja Adam na Mama Mmoja Hawa.Tunaishi kwenye Dunia hii Tukiwa na Lengo la kuishi MAISHA MAZURI NA BORA kwenye ulimwengu huu wa sasa na Maisha bora zaidi...
  16. Ulitumia njia gani kumkwepa mtu aliyetaka kuzidisha mazoea na wewe?

    Hatimae nimepambana nimefanikiwa kupata buku la bando ili tu nilete huu uzi, Kwanza habari za humu wanaJF wenzangu. Natumai mko poa kabisa. Mada yangu kama inavyosema hapo juu, Mimi nakumbuka kuna mdada kipindi nimeajiriwa kazi ya duka, Alinikuta siku moja nakula nikamkaribisha tukala siku...
  17. Je, wewe upo hatua ipi? Hatua za Ukuaji na maendeleo katika Saiko-jamii

    JE, WEWE UPO KATIKA HATUA IPI? HATUA ZA UKUAJI NA MAENDELEO KATIKA SAIKO-JAMII? Anaandika, Robert Heriel NOTE: Andiko hili ni Kwa ajili ya watu wote! Andiko hili lafaa Kwa watu wazima kujitambua na kujua namna ya kukabiliana na Mabadiliko ya ukuaji wetu WA kiakili, kimwili na kitabia Kwa...
  18. Ulichokipata wewe kwa gharama wengine walikipata Kkwa bei sawa na bure

    Kwema Wakuu! Wakati wewe ulitumia mamilioni ya pesa kufaulu Kidato cha nne, kuna wajuba gharama zao Kwa ujumla tangu Kidato cha Kwanza mpaka cha sita hawafikishi hiyo milioni Moja. Hivyo usiringe Sana Utaonekana mshamba tuu! Wakati wewe ulitumia mamilioni ya Pesa kupata Pisikali Fulani, kuna...
  19. Serikali haileti vichwa vya Treni unavyovifikiria wewe

    TUTAPOTEZA TUKISUBIRI VICHWA VIPYA VYA TRENI 2023. Tarehe 04/07/2022 Ikulu Jijini Dar Es Salaam wakati wa Hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) sehemu ya Tabora hadi Isaka, Km 165 njia Kuu na Km 35 njia za kupishana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alieleza nia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…