Kumbuka hili kuhusu mwanamke uliyenaye akipoteza hisia na wewe

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Jan 23, 2023
382
661
Utaona mwanamke haeleweki endapo hakupendi tena.

Kumbuka tena, ukiona mwanamke haeleweki kwako ujue anapoteza hisia na wewe.

Leo atakuonesha furaha kesho atakununia/ anakua kama hajawahi kukujua.

Atakuambia hili saivi alafu baadae atabadilisha.

Atakuwekea ugumu kukutana naye. Au kulala naye.

Mnaweza kuchati/ mkaongea vizuri lakini hilo halibadilishi uhalisia kwamba hamna ukaribu wa kimwili.

Atakua hajali kuhusu uwepo wako sana.

Atakua anakukosea kosea sana, au anakuudhi mno.

Ukiona hivyo ujue hana hisia na wewe tena.

Vyote ivo ni visababu tu mana hata ye hajui kwanini amepoteza hisia nawe.

Ndo mana inabidi uwe kiongozi wake ujue kwanini.

Epuka
  • Usimng’ang’anie zaidi ili akupende.
  • Usimgande ili awe na hisia nawe tena.
  • Usianze kumuhonga ili akupende tena.

Na zaidi usimuambie kuwa hana hisia na wewe tena, au kwanini hisia zake hazipo tena, au umuulize umfanyie nini ili hisia zake zirudi tena.

Kiujumla usimuulize kuhusu kwanini skuizi yupo hivyo.

Usimwambie skuizi sikuelewi.

Hayo yanakua kama petroli kwenye moto.

Yatachochea hisia zake kuondoka kwako haraka zaidi.


Ila utambue kuwa umejishusha thamani mbele yake.

Hivyo, irudishe na hisia zake zitarudi kwa nguvu zaidi.

Nikutakie Mwanzo Mwema wa Wiki.
 
Hapana pesa si kila kitu. Nishatumia sana hizo mbinu kumwaga pesa day in day out, mwisho wa siku una m force muhisika ku pretend. Na sio kukupenda
Kila uamuzi anaofanya mwanamke anakuwa anajua nature ya mtu anayemfanyia mwanamke anaweza akachelewa kurudi kwake makusudi sababu anajua mme wake ni mtu wa maneno tu na hana uwezo wa kumfukuza the same ukiona anakusumbua anajua huwezi muacha
 
Mwanaume unateswa na mwnake kwa sababu huna options. Huna options kwa sababu huna pesa.
Pesa=more options=no kusubuliwaring na mwanamke

Options comes from kujiamini, confidence in yourself, not from pesa. Ukiweza kujenga mentality ya kujiamini bila pesa nothing kitakuybisha. Let pesa iwe kichocheo but not sababu ili siku ukiikosa you remain real to yourself Unaweza ukawa na pesa na ukawa na worst choices.
 
Kuna watu wapo kimkakati zaidi na kusema eti anakupenda ni kujiaminisha tu.. Mikakati yake ikitimia au kufeli ujue mambo kama hayo ni kawaida.
 
Options comes from kujiamini, confidence in yourself, not from pesa. Ukiweza kujenga mentality ya kujiamini bila pesa nothing kitakuybisha. Let pesa iwe kichocheo but not sababu ili siku ukiikosa you remain real to yourself Unaweza ukawa na pesa na ukawa na worst choices.
Alikudanganya nani wewe bwana ukiwa na pesa kwanza full confidence and women can spot it from a mile away.
Sasa huna hela pisi kali anataka kunywa moet wee unaleta confidence ya mapumbuz tena 🤣🤣🤣🤣
Kwanza unajua ukiwa na hela ata mbususu unaona takataka tuu maana zinajileta zenyewe so wewe unakuwa busy na mambo ya msingi ya kuvumbua vitu
 
Back
Top Bottom