Ukitembea na pisi kali warembo wengine watakuwa wanajitongozesha wao wenyewe.
Jumamosi iliyopita, nilipata mwaliko kutoka kwa mpenzi wangu (mchepuko) tukutane katika kiwanja fulani, angalau tuweze kubadilishana mawazo.
Ilipofika saa nne usiku, ikabidi nifike eneo husika na bahati nzuri nayeye...