wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Wewe ulikuwa unaimbaje?

  2. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kama timu yako haipo hapa wewe bado mdogo soka la Afrika

    RATIBA YA HATUA YA PILI YA MASHINDANO MAKUBWA AFRIKA (CAFCL) CBE FC 🇧🇴 x 🇹🇿Yanga SC Dekedda SC 🇬🇼x 🇭🇰Esperance Gor Mahia FC 🇰🇪 x 🇪🇬Al Ahly SC APR FC 🇷🇼 x 🇪🇬Pyramids FC Mbabane 🇬🇼 x 🇿🇦Mamelodi AS Maniema 🇨🇩 x 🇦🇴 Petro Atletico Red Arrows 🇿🇲x 🇨🇩 TP Mazembe Jwaneng Galaxy 🇧🇼 x 🇿🇦 Orlando Enugu...
  3. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mwanaume jipe kipaumbele wewe mwenyewe

    Jipende mwenyewe, usimpe mwanamke upendo ambao haujajipa wewe mwenyewe. Wanaume wengi wanaweka pembeni mipango, furaha na amani yao kwa lengo la kumridhisha mwanamke. Ngoja nikwambie ukweli kuhusu mwanamke. Mwanamke haridhiki, hakuna ambacho utamfanyia kikamtosheleza kiasi cha kutohitaji tena...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

    "Aliona Ndoa kama biashara, tulifunga ndoa kwa miaka michache, akatalikiana na kuchukua 50% ya akiba yangu ya maisha. Pesa na mali zake zote hazikuwa katika jina lake" –Tyrese Gibson Hayo ni maneno ya kujutia ya mwigizaji wa Marekani Tyrese Gibson baada ya ex wife wake Samantha Lee ambaye pia...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Tulia wewe ni Spika wa Bunge au ni Spika wa Serikali?

    Leo ni mara ya pili unazuia wabunge kujadili hali hii mbaya ya utekaji na mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani na wananchi wa kawaida wakiwemo watoto! Mbaya zaidi unaisemea serikali kuliko Waziri Mkuu na mawaziri wengine. Hivi unajua wajibu wako unapokuwa hapo kwenye kiti cha Spika? Wadhifa...
  6. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Unakataa Watu wasioe single mother Wakati wewe uliyenaye hukumkuta Bikra, chongo na kengeza hawachekani

    Mughonile Kûna Vijamaa humu vinachekeshaga Sana, unakuta vimekaza mishipa kîla Siku kuponda single mother alafu vyenyewe vipo na Wanawake àmbao hawakuwakuta na Bikila. Chongo hamacheki mwenye kengeza. Demu asiye na bikra na singe mother wàpo kundi Moja. Hamuwezi kuchekana kivile. Wôte mmeuziwa...
  7. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kuna vile unavyojiona ulivyo wewe mwenyewe na vile wengine wanavyokuona : Uzuri ni kuwa wewe ndiye unayechagua cha kuonesha.

    Hakuna msimamizi wa maisha yako isipokuwa ni wewe mwenyewe. Unachokionesha Kwa kujua au kutojua ndicho watu wanachokiona. Siyo lazima watu wakuone kama unavyojiona ila ni lazima watu wakuone sawa na wanavyoona wao kulingana na wanachokiona. Mtu mwenye macho yenye hitilafu siyo lazima aone kama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Anakupenda wewe au anakupendea uongo wako?

    ANAKUPENDA WEWE AU ANAPENDA UONGO WAKO? SWALI MUHIMU KUJIULIZA 😊 Yawezekana yupo kwako kwa kuvutiwa na majigambo yako uliyojivika na kuonekana mtu mwingine ila siku ukirudi uhalisia unakuwa sio yule anayemuhitaji 😔 Katika kutafuta kukubalika kuna watu hudanganya ili tu wawe kwenye hadhi ya...
  9. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kwa sifa hizi, hata ingekuwa wewe….

    Hata ingekuwa ni wewe, uwezekano wa kuanza kujiona wewe ni mungu, ni mkubwa sana. Unaweza hata kujiona huna kasoro yoyote ile. Unaweza ukajiona wewe si binadamu wa kawaida:-….yaani wewe damu yako ni tofauti kabisa na damu za watu wengine. Labda una damu ya rangi ya njano. Unaweza ukajiona...
  10. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

    Mwenzenu nina ""aleji"" ya kuombwa hela 1. Ukiniomba hela basi ujue sura yako inabadilika kutoka Kuwa Beyonce kwenda Masudi sura mbaya..!!!! 2. Ukiniomba hela basi ujue hilo tako lako loteee linayeyuka, nakua silioni tenaaa ....!!!! Dear baby, ukiniomba hela hiyo meseji sijibu ng'ooooooo...
  11. Cymon Taylor

    JamiiForums Tanzania Wewe ndiye dereva wa maisha yako mwenyewe, don't expect to be adjusted!

    Wakuu kwema? Habari za weekend. Najua wengi wameshaongea ila me nakumbushia tu kuhusu hili jambo. Wengi wetu huwa tuna matarajio makubwa sana hasa pale inapoonekana kuna tagi inabidi likufikie kutoka kwa mtu yeyote awe ndugu au rafiki. Lakini huwa tunavunjika moyo na kuwaona watu wabaya...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wewe ni Amiri Jeshi mkuu, usibadili maamuzi kwasababu ya upepo wa kisiasa. Wamasai watimuliwe Ngorongoro

    Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi? Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio...
  13. Lanlady

    JamiiForums Tanzania MwanaFA nakubaliana na wewe; ila hapo mwishoni inategemea ni ndege wa aina gani na ana dhamira gani

    Kwanza natamani kujua mwana FA alimaanisha ndege gani? Ndege kiumbe au ndege usafiri? Kama ni ndege kiumbe basi tujue tu kwamba wapo aina za ndege ambao ni waharibifu na wana madhara kwa viumbe wengine. Hivyo ni wazi kabisa mbwa mkali yoyote atambwekea tu ndege huyo. Mbwa hawezi kunyamaza...
  14. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Mabeyo wewe ni Mtanganyika kabla kuwa Mtanzania

    Loliondo FM Loliondo FM Habari za Jumla Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi 7 May 2024, 11:17 am Mwenyekiti wa bodi yawakurugenzi NCAA katikati jenerali Venance Mabeyo wakati wa ukagunzi wa ujenzi wa jingo la NCAA Karatu, picha...
  15. hmaloh

    JamiiForums Tanzania Hivi huwa mnafanyaje kumkataa rafiki ambaye wewe huna faida naye ila yeye ndio anafaida na wewe?

    Ndugu zangu naombeni msaada wakiushauri kwa maana nahisi kuelemewa.
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Valentino Mashaka na Che Malone wamerudisha huu ushangiliaji classic

    Unajigamba wewe ni shabiki kindakindaki wa soka ila nikikuuliza origin ya ushangiliaji huu hata haujui. Kongore kwa Valentino Mashaka na Che Malone kwa kurudisha ushangiliaji huu classic uliosahaulika kwa miaka mingi siyo sijui Suu wengine wakifunga wanatembea tu, kwamba washajiona wakuuubwa...
  17. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Kama TBC wameshatoa tamko wewe ni nani ubishe!?

  18. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Viashiria 7 kuwa wewe ni mtu wa thamani kubwa

    1.Unatambua kuwa unaweza kutofautiana na watu wengine bila kuwakosea heshima. Unatambua kuwa unaweza kutofautiana na watu wengine bila kuwapandishia sauti. 2. Unaanza kujitokeza na kuondoka katika muda ulioupanga. Watu wanakufahamu kwa umakini wako wa muda. 3. Unaacha kuwahukumu watu kutokana...
  19. X

    JamiiForums Tanzania Jipe kipaumbele wewe kwanza

    Sikuzote kumbuka Jipende wewe Watoto Mke It should always be in this order Watoto wako wanaweza kukua bila kuthamini sacrifices you made for them kwa sababu mama yao aliongea uongo dhidi yako. Ukiacha hilo mitoto ya siku hizi mingine haijali na wala hawana shukrani kwa wazazi wao hasa baba...
  20. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ms. Leeyjay Tupo na Wewe

    Wakuu nawasalimia wote, Jana jioni rafiki yetu Ms Leejay49 alitusambazia upendo na watu wengi tulifurahi pamoja na wengine wenye roho zao nyeusi wakaanza kuanzisha nyuzi za mafumbo kupinga kile kinachofanywa na hawa Dada na rafiki zetu Bantu Lady na Ms Leejay49 . Kipindi cha Nyuma nilishawahi...
Back
Top Bottom