wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Haijalishi katumika au katembea na wangapi kama sasa anakupenda wewe nini kingine unataka?

    Wewe sio wakwanza wala wa mwisho kukupenda au wapekee kwake. Alishawai kupenda kabla pia anaweza kupenda tena. Lakini kama sasa hivi anakupenda wewe nini kingine unachotaka? Yeye sio mkamilifu wewe pia. Nyie wote wawili hamuwezi kuwa wakamilifu. Alikuwa na nani hapo zamani au atakuwa na nani...
  2. JamiiForums Tanzania Wewe unatumia pombe zipi??? A. Pombe za Asili B. Pombe za Kiwandani

    ๐Ÿ“Œ Kwenye jamii ya Sasa Kuna wimbi kubwa la ulevi wa tofauti tofauti... Kuna ulevi wa pombe, uvutaji wa Bangi, sigara na madawa ya kulevya pia. Ukiachana na vilevi hvyo vingine kwenye kilevi Cha pombe wewe unatumia pombe zipi?? Za kiasili au za viwandani??
  3. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni ajenti wa shetani usisome mada hii, utalia.

    Narudia tena: kama wewe ni ajenti wa shetani usisome mada hii, utalia. Umenielewa? Nasema hivi: kama wewe ni mtumishi wa ibilisi, ukisoma mada hii, utatoa machozi kwa sababu mada hii inafunua ukweli utakaopenya hadi kwenye mifupa. Mada hii itakutikisa, itakutetemesha na kukufanya uache ushirika...
  4. JamiiForums Tanzania Katika utendaji wako wa kazi, wewe ndio unayetafuta au wewe ndio unayetafutwa?

    Unaweza kujipima thamani ya utendaji kazi wako kwa jamii; wengi tunaamini kama wewe ndiye unayetafutwa ili kutatua jukumu fulani, inaonyesha wewe ni mbobezi na unakubalika katika eneo hilo. Usipokuwa eneo la kazi, unapigiwa simu nyingi na mabosi zako; hiyo inaonyesha uwezo ulionao katika...
  5. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni makini?

    Andika sababu ya umaskini wako na njia za utatuzi๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
  6. JamiiForums Tanzania Na wewe unamfuatilia RECHO (Rachel) wa TIKTOK?

    Kuna dada anajiita "Rachel" anadai anaishi Japan watanzania wengi inasemekana wanamfuatilia huko TikTok kwa kunyatia...๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜„ Na wewe unamfuatilia yule Recho wa TikTok?
  7. JamiiForums Tanzania Haki kwa wapanda Mlima Kilimanjaro, kama wewe ni mdau soma na ushiriki

    We are going to lose the rights of mountaineers and the entire tourism industry in general. We are the Mountain Workers Advocacy Union (MWAU) โ€” a powerful collective voice for porters, guides, and cooks on Mt. Kilimanjaro. We stand for dignity, justice, fair contracts, and safe working...
  8. JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa mtu halali kuidhinisha kitu halali ilhali wewe mwenye 'sihalali' Yani hujapatikana Kwa haki

    Nafikiri shida ndo ipo hapa. Na uhuni huu tukienda nao miaka mitano ijayo. Taifa lote linaenda kuwa la si kuhalali na hakuna haki itatamalaki nchini Kwa sababu tutakuwa na reference ya number 1 kama mtu hakupita kwa haki. HATUA STAHIKI ZIFANYIKE SASA.KAMA TAIFA. NI MUDA WA KUWEKA MASLAHI...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Wewe unayenihoji mie sikusema wakati wa awamu ya 5, wewe ulisema awamu ipi?

    Balozi Humphrey Polepole awacharukia wanaohoji kwanini anayoyasema sasa ikiwemo masuala ya utekaji hakuyasema awamu ya tano, Je wao wamewahi kusema kwenye awamu ipi? Ametolea mifano kadhaa ambayo chama cha mapinduzi kipindi cha John Magufuli walikemea utekaji na mauwaji ikiwemo yaliyotokea...
  10. JamiiForums Tanzania Angetulia, nahisi angekumbukwa na wengi kwa kutuletea Katiba Mpya na zile 4R zake (kama angetimiza)

    Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana. Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza. Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Hatutapiga magoti kwa mtu yeyote, kama wewe ni kiongozi wa umma lazima ukubali ukosolewe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakiogopi vitisho, ukandamizaji wala hila dhidi ya wapinzani, na kitaendelea kusimama kidete kutetea haki, uhuru na maisha ya Watanzania wote Akizungumza Julai 23, 2025, wakati wa kutoa...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Je, Simu Yako Inakupeleleza Bila Wewe Kujua? Hizi Ndizo Settings Hatari Unazopaswa Kuzima MARA MOJA!

    Je, Simu Yako Inakupeleleza Bila Wewe Kujua? Hizi Ndizo Settings Hatari Unazopaswa Kuzima MARA MOJA! Katika zama hizi za kidijitali, kila swipe, kila app unayofungua, na kila sekunde unayotumia kwenye simu yako inaweza kurekodiwa โ€” si kwa nia mbaya kila wakati, bali kwa ajili ya uchambuzi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Wewe Hafrey wewe

    Ndio nini sasa umefanya mpaka tunakimbia viota vyetu na kuahirisha ratiba zetu nyingi? Sasa unadhani tutachaguanaje kwa huu upuupu ulioumwaga? Sasa kila mtu anawashwa.. Nyumbani hapakaliki kijiweni hapatoshi Na ulivyo mbaya umekaa kimya tuli unatuchora tu na popcorn zako Kama hii ndio single...
  14. JamiiForums Tanzania Tuchanane: Mambo ambayo akifanya mtu aibu unaona wewe!

    Binadam alivyo leo kitabia na mwenendo ni zao la mambo 3. 1. Jenetiki alizorithi 2. Mazingira aliyokulia 3. Mazingira aliyomo. Tunakutana ukubwan, si vibaya tuambizane mambo yanayotia kinyaa kwenye jamii.(general bad manners). Haijalishi kwa makusudi au bahati mbaya. 1. Kuongea na simu sauti ya...
  15. JamiiForums Tanzania Wewe dada tambua sisi sio milima

    Dah! Sina mengi ya kusema ila wewe dada tambua sisi sio milima ipo siku tutaonana tena. Mimi sio wa kunilia hela yangu ya nauli au kwa kua nilijiongeza nikakutumi kibunda, mbaya zaidi unazima simu huku status umepost wimbo wa Diamond eti aibu yahani haya naona mimi tumekutana leo eti kaniamini...
  16. JamiiForums Tanzania Et Muliro anasema "MTU aliyejitambulisha kua ni Polepole wewe Muliro Wewe, Mpe Heshima yake !!.

    Akiongea na vyombo vya habari kuhusu Sakata La Dada wa Aliyekua Balozi Cuba, Katibu mwenezi CCM , Mh Polepole, Leo Afande Muliro anamuita "Et MTU aliyejitambulisha ' Wewe Muliro Wewe utadhan unafanya kazi ya kutukuka wakati Mzee Kibao aliuliwa na Watu wenye Bunduki walomshusha Ndani ya Bus...
  17. JamiiForums Tanzania Ghafla kila mtu arudi mkoa aliozaliwa wewe utarudi mkoa gani ?

    Ghafla kila mtu arudi mkoa aliozaliwa wewe utarudi mkoa gani ?? Kwangu mimi nitarudi kigoma ndio nilipo zaliwa Sijui wewe ?.....
  18. JamiiForums Tanzania Pengine huu ni uzi wa mwisho kuandikwa na mimi kukuhusu wewe kipenzi changu Marry

    Tangu tumekubaliana kuhusu ndoa sikuoni ukilifurahia hili jukwaa kama zamani, nadhani huu ni utii kwangu mume wako mtarajiwa na utii kwa ajili ya ndoa pia. Nilitegemea mwezi huu nikipokea rejesho ndiyo niibuke huko jijini daresalama lakini mipango sio matumizi mambo hayakwenda sawa. Niseme tu...
  19. JamiiForums Tanzania Aviola part ii inaendelea hukoo USA TRUMP MGENI RASMI WEWE PATAMU

    Chelsea nipeehaha nipeee rahaha bababaaaaa
  20. JamiiForums Tanzania Gambo , usijisikie vibaya , mwambie mke wako apige chaki na wewe uendelee na kilimo.

    Pole Sana Gambo. Najua mke wako sasa anarudi kupiga chaki. Ila usivunjike moyo karibu katika kilimo cha mananasi ,papii , oliento sasa mlemavu ududu yaani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ