Yusufu R H Sabura
JF-Expert Member
- Jun 26, 2020
- 777
- 898
Hodi jukwaa la malavidavi.
Nipo zangu kijiwe na mwanangu mmoja hivi ghafla anapigiwa simu na jamaa yake,
Mazungumzo yao ni kwamba, mke wa bakabaka amekubali ofa ya kwenda out kwenye makulakula na manyamanyama, akisisitiza kuwa bakabaka amesafiri kwenda Dodoma na anarudigi mwisho wa wiki.
Sasa najiuliza , ikiwa bakabaka wanachapiwa, je sisi makuli ? hahahahahaahhahahahaha