Ricky Blair JF-Expert Member Joined Mar 13, 2023 Posts 562 Reaction score 1,148 Jul 28, 2025 #1 Je Watu Weusi Tunahitaji Sunscreen??? Discuss🤣🤣🤣
Barakoa 001 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 5,438 Reaction score 14,921 Jul 28, 2025 #2 Ricky Blair said: Discuss🤣🤣🤣 Click to expand... Ukizaliwa mweusi unakua na melanin tosha
05CUBA JF-Expert Member Joined Apr 12, 2025 Posts 1,106 Reaction score 1,650 Jul 28, 2025 #3 Watu weusi wa kike au kiume ? Kwa wanaume inaweza ikawa ni upinde kufanya hivyo. Kwa mwanamke kuna aina ya vipodozi kwa ajili ya weusi na wale maji ya kunde na weupe kabisa.
Watu weusi wa kike au kiume ? Kwa wanaume inaweza ikawa ni upinde kufanya hivyo. Kwa mwanamke kuna aina ya vipodozi kwa ajili ya weusi na wale maji ya kunde na weupe kabisa.
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 2,890 Reaction score 9,508 Jul 29, 2025 #4 Kwanin sisi hatuungui na jua Mimi natembea nayo mda wote Attachments IMG-20250726-WA0007.jpg 22.5 KB · Views: 43
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,566 Reaction score 72,550 Aug 6, 2025 #5 Ndo habari ya mujini kwa sasa watu wanapiga helaa... Otherwise kunywa maji ya kutosha mwili uwe hydrated
Ndo habari ya mujini kwa sasa watu wanapiga helaa... Otherwise kunywa maji ya kutosha mwili uwe hydrated