wepesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Tusiwe wepesi wa kusahau, utekaji aliuanzisha Magufuli kwa kumteka Ben SaaNane. He is the one to blame na Mungu amhukumu kwa hilo

    Aliyàhalalisha na yakashika mizizi mpaka leo. Kwangu mimi hilo linatosha kumtupa kapuni! Kwanini? It is because it involves merciless killing of human life .na mengine yaliyofuata!
  2. PostGE2025 Joh Makini: Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu

    Msanii wa muziki nchini Joh Makini ameungana na watanzania katika kipindi hiki kigumu "Pole yetu sote Watanzania lakini zaidi kwa ndugu jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu".
  3. Kumbe Jeshi la Polisi Tanzania ni wepesi kiasi hiki!🤣🤣

    Sikutegemea kwamba chini ya Uongozi wa Afande Mliro, kuna kamanda atakosa msaada wa wenzake na kuamua kutelekeza kituo, Silaha, nna kuvua sale ya dola kuanzia buti Suruali na Mkanda n kutokkomea kusipo julikana. Nilitegemea Polisi akizidiwa ataita wenzie waje na yale magari mapya waliyopewa...
  4. F

    Watanzania wepesi wa kusahau. Kuna ile kashfa ya Kikwete kununuliwa suti za jamaa wa Dubai, ile scandal iliisha kimya kimya. Mjueni Kikwete vizuri.

    Wakati wa hafla iliyofanyika Kempinski wakati wa utawala wa Kikwete, kuna mwekezaji mmoja kutoka Dubai alitamka kuwa wanamvisha Kikwete na walimpa zawadi ya suti ambazo zilimbamba vizuri. Habari ilipokuwa si siri tena, Kikwete kama kawaida akajitokeza na kudai anasingiziwa na magazeti...
  5. K

    Kama mwana yanga nawashauri Yanga wacheze dabi na Simba iwe jua iwe mvua Simba haiwezi kuifunga Yanga kwa sasa

    Kwanza mpaka sasa Yanga ndo wanaongoza ligi. Wasiwasi wa nini?. Kwa timu ya Yanga ilivyo sasa hivi kamwe hawawezi kufungwa na Simba iwe jua au mvua. Ninajua Bodi ya Ligi mpaka sasa hawajatoa sababu ya kuhairishwa kwa Dabi ya tarehe 8.3.2025. Naomba tuwasamehe. Yanga ni timu kubwa kamwe kwa...
  6. Theists wa kibongo hawana pointi halafu ni wepesi mno kupanic

    Majuzi kati nikiwa kijiweni ulitokea ubishani mkali sana juu ya uwepo wa Mungu, mimi nikiwa nahitaji kuthibitishwa uwepo wake. Tuliongea mengi sana ila itoshe tu kusema hawa watu hawana facts kabisa, imagine mtu anakuambia kama sio Mungu ningekua sioni. Nikauliza vipofu wao hawaamini uwepo...
  7. Watanzania huwa wepesi kuamini uzushi

    Mimi ni Mtanzania nalifahamu vizuri Taifa langu na haiba ya watu wake, moja ya tatizo kubwa la raia wa Kitanzania huwa ni wepesi sana Kuamini uzushi, jambo likisemwa wao hua wanalipokea kama lilivyo bila kulifanyia tafiti au kusikiliza upande mwengine unasemaje. Wanasiasa wanaocheza siasa za...
  8. Watanzania ni kwanini wepesi kwa kuchangia pesa katika jambo je ni huruma yetu au

    Watanzania ni wepesi sana kutoa mchango au kuchangia pesa jambo kwenye shida yoyote au furaha pia je ni utamaduni wetu au Mila yetu au huruma yetu yaaani unaweza zua ata kitu cha uongo ukahitaji pesa na watu bila kuhoji kutaka kujua hela inaenda tumikaje basi waanachanga bila tatizo lolote Au...
  9. Wana Simba msiwe wepesi wa kusahau

    Kuna video inayo tembea mitandaoni ikimuonyesha msemaji wa Simba akihojiwa na wanahabari. Akiwa anajibu maswali juu ya malalamiko katika michezo iliyopita ya Simba dhidi ya Azam na Dodoma JiJi juu ya uamuzi mbovu wa marefa uliopelekea wao Simba kunufaika alisema Pale Tff Kuna Sanduku la maoni...
  10. Makundi ya mkuu wa mkoa au wilaya kujikita katika kupambana na ukahaba.

    Kama mkuu wa mkoa au wilaya anataka kuwakamata makahaba na kuweza kuwapeleka mahakamani haya makundi inaweza kuwa rahisi zaidi kwake na akaeleweka angalau kidogo. 1. Makahaba waliopewa na kutoa kazi baada ya ngono. Ukahaba wa aina hii ni rahisi zaidi kwa sababu anaweza kupata uthbitisho wa...
  11. Tusiwe wepesi kulaumu na kujaji

    Hellow wana JF. Leo nimeamua kushusha ki uzi hiki ili tuweze kukumbuka kwamba tunatofautiana katika upeo/maarifa au uelewa wa mambo. Na hii inajidhihirisha katika maelezi na makuzi tunayoyapata kutoka kwa wazazi ama walezi wetu. Katika dunia ya leo watu, tumekuwa wepesi sana kukimbilia kujaji...
  12. Hakika CCM haina watu tena, Wote walioteuliwa leo hawana Jipya ni wepesi kuliko pamba

    Kwanza kabisa ni kwamba mipango yote ya ccm inapangwa na watu walewale na kiukweli ccm haiwezi kutunza siri , taarifa ya Jokate, Mongella na Makalla nimevujishiwa jana saa 5 usiku, nilinyamaza tu kwa vile niliona labda kila mtu anajua kwahiyo haitakuwa habari, Kitendo cha Chama hiki...
  13. PreGE2025 Polisi watoa kibali cha maandamano kwa CHADEMA. Wawasisitiza viongozi kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani

    SIASA: Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limetoa kibali kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya Maandamano yaliyotangazwa kufanyika Januari 24, 2024 katika baadhi ya Mitaa ya Jiji la Dar Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Kariakoo, Jeshi la...
  14. Nimefikia conclusiion kwamba wanawake wengi ni wepesi sana kudanganywa kwenye imani, 90% ya waumini wa makanisa ya mazingaombwe ni wanawake.

    Makanisa ya mazingaombwe kipaumbele huwa ni kufanya mazingaombwe ambayo watu wengi wenye imani nyepesi huona ni miujiza, neno lina nafasi ndogo sana. Wachungaji wa hayo makanisa wamegeuza imani nyepesi za waumini kujikusanyia utajiri wa kutisha, Mafuta ya kuitwa ya upako yanatengenezwa hapa...
  15. W

    Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

    Umuofia kwenu!! Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake; 1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na...
  16. Sifa ya wanawake kuwa wepesi kutoa penzi siyo kwa kabila zima bali ni tabia ya mtu binafsi, Tuache kujumuisha tabia hii ionekane ni ya wote

    Huwa nashangaa sana watu wenye akili finyu wana mawazo ya kizamani kwamba mabinti wote wanaotokea makabila yenye asili ya uenyeji kwenye mikoa ya Singida, kondoa na Bukoba kwamba wote wana tabia ya kuwa wepesi sana na kugawa kirahisi. Tabia ya mtu binafsi ni yake haiwezi kufanywa kuwa ya...
  17. Kwanini 'Mahausigeli' wengi ni wepesi Kushika Mimba tofauti Wanawake Wengine?

    Ushauri wangu kama uko Nyumbani na una Housigeli ambaye ama Wewe Baba Unambandua au Mwanao Anambandua au Nduguyo hapo Kwako na hata Shemeji yako Anambandua tafadhali tumia Condom au Waambie Wavae mpira kwani Mtafiti Huru GENTAMYCINE nimegundua Mahausigeli wanaongoza kwa Kushika Mimba kwa haraka...
  18. Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

    Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote. Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko. Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo...
  19. G

    Hofu ya kuongezewa mke mwenza, wepesi wa kutoa talaka na kuachana bila kugawana mali inachangia wanawake waislam kuwa na adabu kuzidi wakristo?

    Nimejaribu kutafakari hili jambo ila nimeona nikilileta humu naweza kupata michango ya ziada yenye afya, Kwa maoni yangu nimeona ipo hivi, ningependa nisahishwe nilipokosea, kuongezewa nilipopunguza, n.k. Kuoa mke moja vs ruhusa ya kuongeza - kwetu wakristo unakuta mwanamke ukimuoa kiburi...
  20. Wana Yanga hatuna haja ya kogopa Club African, walishawahi kupigwa nane bila na TP Mazembe

    Nashangaa watu wanapotutisha hawa Waarabu koko ni wepesi tu kama tukijipanga vizuri hawatoki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…