wepesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

    Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote. Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko. Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hofu ya kuongezewa mke mwenza, wepesi wa kutoa talaka na kuachana bila kugawana mali inachangia wanawake waislam kuwa na adabu kuzidi wakristo?

    Nimejaribu kutafakari hili jambo ila nimeona nikilileta humu naweza kupata michango ya ziada yenye afya, Kwa maoni yangu nimeona ipo hivi, ningependa nisahishwe nilipokosea, kuongezewa nilipopunguza, n.k. Kuoa mke moja vs ruhusa ya kuongeza - kwetu wakristo unakuta mwanamke ukimuoa kiburi...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga hatuna haja ya kogopa Club African, walishawahi kupigwa nane bila na TP Mazembe

    Nashangaa watu wanapotutisha hawa Waarabu koko ni wepesi tu kama tukijipanga vizuri hawatoki.
  4. Memtata

    JamiiForums Tanzania First approach is hard lakini wanawake wepesi sana siku hizi

    Siku moja rafiki yangu aliniita tukutane grocery maeneo ya uzunguni, haikuwa weekend watu walikuwa wachache sana nikaagiza Grand Malta baridi tukakaa na jamaa tukipiga story yeye akipiga chui chui lite. Mara akaingia dada mmoja mzuri (kwa jicho la kwanza) akatusalimia na kwenda kukaa hatua...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tunapokuwa wepesi kushutumu mauaji ya Viongozi wetu nasi tujiulize tunawatendea mema tunaowaongoza au tunawatesa?

    Hakuna Raia anayependa Kuua Rais / Kiongozi wake na ukiona unaviziwa Kuuwawa au Umeuwawa jua umewakera Wananchi wako katika Kiwango cha wao kushindwa Kuvumilia / Kukuvumilia.
  6. Hizbu Sharifu

    JamiiForums Tanzania Watu Maarufu ni wepesi kuharibikiwa nyota hata kama hawajarogwa

    Ni kweli watu tunaowaona ni maarufu wanapata athari ya kuharibikiwa nyota zao hata kama hawajarogwa na hii hutokana na kila mtu anaemjua kumchukulia kwa mtazamo wake wengine watampenda na wengine watamchukia, sasa hao wanaomchukia kuna watu wengije jinsi walivyoumbwa wakimchukia mtu au...
Back
Top Bottom