wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tupo Wenyewe Ulimwenguni?

    Katika kupiga hesabu zangu na kuziangalia nyota, kuwaza na kuwazua nimefikia hitimisho kuna uwezekano mkubwa tupo wenyewe huku ulimwenguni. Dalili zote zinanionyesha uhai uliopo duniani, ni wakipekee na unaweza usipatikane popote pale ulimwenguni. Kuna sababu nyingi zinazofanya niamini hivo...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu naona lengo la TEC ni kunawa mikono kwamba tulionya kabla na tumeonya baada Kwa wazi Kwa Siri damu iwe juu vichwa vyenu wenyewe

    Kwanza wameonyesha UNYENYEKEVU kama WATUMISHI wa Mungu Kwa watawala kuwatafuta Ili kuwaambia ukweli Tangu zamani kazi ya makuhuni na MANABII ilikuwa ni kuonya watawala walipokuwa wanakosea njia Baada ya kuonya kazi Yao inaishia pale wanasubiri maamuzi ya watawala. Baada ya hapo wanaotegemea...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Polisi na zimamoto wanaposema walifanikiwa kuzima moto wakati moto huo umeteketeza kabisa nyumba au gari, wana maana gani? Si moto ungezimika wenyewe?

    Jana tena katika ajali ya basi na Aphard huko Moshi, msemaji wa Polisi anasema vikosi vya polisi na Zimamoto walifanikiwa kuzima moto. Nashindwa kujua hayo mafanikio wanayoyataja ikiwa hali ya basi lililoungua ni kama hapa chini. Kauli hizo ni sawa na zile nyingine kauli potoshaji za Polisi...
  4. JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania umejichuja wenyewe na kubaki na viongozi na wanachama waropokaji, watukanaji na waporomosha matusi tu, hoja sio utamaduni wao tena

    Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
  5. JamiiForums Tanzania Jamiiforum mnapuuza ila na wenyewe mpo kwenye list.

    Mimi sipo nchini ila mnapo futa ila tambueni mpo kwenye list. Na hawa mnao wapa nafasi kwenye jukwaa ndio waliopo kwenye list. Tupo mbali ila list ya watu ni nyingi nyie bisheni ila mwisho wa siku hata unayefuta hupo kwenye list.
  6. S

    JamiiForums Tanzania US General: Hatuna silaha kuilinda Israel bora tujilinde wenyewe

    Generali wa marekani Alexus Grynkewich amesema kwasasa hana silaha za kuilinda Israel hivyo ni bora silaha zilizopo ziisadie kwenye ardhi ya marekani badala ya kuilinda Israel.
  7. JamiiForums Tanzania MAISHA YANGU YA SOCCER VS NEEMA YA MUNGU

    Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer. 👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo wangu (Upande wa baba na mama) hakuna historia inayoonesha kwamba aliwahi kuwepo mcheza soccer...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Polisi na Jeshi, ikitokea la kutokea, wanaowatuma hawatakufa mtakufa nyinyi, wananchi, ndugu zenu, watoto wenu, wetu

    ANGALIZO: I am not advocating for this, NO, NO, NO. ILA NATOA TAHADHALI. Sasa hivi kwa vile mna bunduki , mabomu na madege, na upande mwingine hauna bunduki wala chochote, hamuwezi kuona hatari za kinachoendelea nchini. Pale ambapo pande zote zikiwa na bunduki na vifaa kama nyinyi, mkaanza...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Je kiitendo cha Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wajipambanie wenyewe katiba mpya wakati yeye ndiye alipaswa kuweka mchakato huo ni U-Yuda?

    Nafikiri kitendo cha Makamu wa rais Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wapambanie katiba mpya wakati yeye ndiye aliyepo kwenye nafasi ya kuwezesha mchakato huo lakini hata hivyo hajafanya hayo ni saliti mkubwa kwa Watanzania.
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba ugumu wa maisha Kwa kiasi kikubwa tunasababisha wenyewe. Fungu la majani ya maboga Tsh300!

    Nipo hapa wife anachambua majani ya maboga Kwa ajiri ya mrenda (nimemuamru aniandalie Leo) Nimemuuliza vipi wanauzaje ka fungu kama haka? Naye kanijibu Tsh300/= nimehesabu majani yapo 8-10 TU Kwa kila fungu. Nikarudisha kumbukumbu Hadi mwaka 2016 nilikuwa naishia Kwa sister. Dada alikuwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaita T3 [titi, tumbo, t*ko] yani mdada yoyote akishakuwa na combination hii ilionyooka basi maisha yake ya hapa duniani anachukuliwa kama malkia

    Wadada wote JF wenye T3 sema oyeee❤️ Yani unakuta mrembo hayo maaanabeli yake hapo kifuani yapo round, manene ya wastani alafu yana point mbele, tumbo ndio hilo lipo flat, side stomach yake haina nyama bali imetoa njia kuruhusu hips zitoe shangwe alafu unakuta makebo ndio usiseme, yapo curvy...
  12. JamiiForums Tanzania Mchepuko hautaki tuwekeze unachojua wenyewe ni kutumiwa hela na kula tu

    Ni manzi yangu ya kitambo ila ndio hivyo tena hana malengo yoyote yeye anajua kutumiwa na kula tu. Nilimwambia awe na biashara nimuwezeshe afanye biashara ajipatie hela ndogo ndogo za kutumia cha ajabu anasema sio kazi yake kutafuta pesa. Nia yangu ilikuwa nimuwezeshe awe na biashara ya...
  13. JamiiForums Tanzania Ufedhuli wa uzushi; sasa wanapingana wenyewe kwa wenyewe

    Anayejiita she he Mwaipopo anatoa tuhuma nzito kwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA kamanda John Heche kapewa pesa tasilimu na mfanyabiashara kada wa ccm kiasi cha dola laki 2 kamaTsh 520,000,000 hivi Kajitokeza Nilesh kakana na kutoa tuhuma kwamba kuna watu walimuomba hela akagoma kuwapa hivyo...
  14. JamiiForums Tanzania Ebu tujitengezee wenyewe miaka 30 ya bongoflava ya JF. Tujikumbushie mangoma, mastori na moments

    My fond memory ya huu muziki huu ni pale baba mdogo wangu alipo leta albamu ya sugu nyumbani, ilikuwa na picha ya sugu amefungwa pingu mikononi kashikilia mic na shampeni, humo kulikuwa na ngoma ambayo niliipenda sana inaitwa niko mikononi mwa polisi Baadae nikaja kupata albamu hard blasters...
  15. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa akili zao wanazijua wao wenyewe!

    Akili zingine huwa zinastaajabisha sana eti waje kushika madaraka ya nchi!? #Biashara ya vyama vya siasa inalipa sana ona afya zao na mali walizonazo,fananisha na wale wazungusha mikono wa piiipoo pawaaa....(Kuna wajanja na wajinga miongoni MWAO)
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TLS na vyama vya siasa na hata CCM wenyewe, ni kwenda mahakamani kupinga katazo la waziri la mikutano ya hadhara, jambo la kikatiba

    Serikali ya Raisi Samia imefika mahali inafikiri kwamba inaweza kuamua jambo lote lile kufanyika hapa nchini, hata kama kufanya hivyo ni kupingana na katiba ya nchi. Serikali hii imefanya maamuzi mengi ya kukiuka katiba, kufikia hata kiwango cha kuua raia wasio na silaha kwa sababu tu...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake hawanaga akili wenyewe wanapoteza watu wenye malengo nao kwa upumbafu wao

    Ipo hivi wakati nipo chuo nilikutana na binti mmoja mzuri tu wakati nipo mwaka wa pili yeye yupo wa kwanza tumedumu katika mahusiano hatimaye mpaka mimi nimemaliza chuo nikamuacha yeye anaendelea kusoma. pia wakati bado anasoma mimi nipo mtaani nikapigiwa pande nikapata kazi serikalini wakati...
  18. JamiiForums Tanzania Ally Hapi: Tufanye maridhiano sisi wenyewe ndani bila kutegemea watu wa nje

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ally Hapi amewataka Watanzania na Vyama vya Siasa Nchini kufanya maridhiano kwa kutumia mifumo ya ndani badala ya kusubiri Mataifa ya nje kuingilia masuala ya Nchi. Akizungumza leo Juni 19, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mnamtumia huyo mwenye id ya "anonymous" kuelezea changamoto zenu si mueleze wenyewe tuwape miongozo nini cha kufanya

    Ukileta changamoto yako wewe mwenyewe humu jukwaani watu watakuhoji lakini pia watakushauri nini cha kufanya kuliko hilo roboti lenu mnalolituma Kujeni wenyewe au mnaogopa kuanzisha account jf?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa Afrika ya kusini dhidi ya waafrika wenzao utawatafuna wenyewe kombe la dunia!

    Waangalie hapa walivyosheheni kwa silaha za jadi: pinde, mapanga, fimbo, marungu wakiwa tayari kuwashambulia waafrika wenzao walioko Afrika ya kusini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…