Njooni msome muone wenyewe

Njooni msome muone wenyewe

Mjomba Fujo

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
2,610
Reaction score
6,770
1000753142.jpg
 
Mzigo bado unaendelea kubebeshwa kwa mwananchi. Kama ukumbi wa sherehe uliokuwa unapangishwa kwa Shilingi milioni 10 sasa utapangishwa kwa milioni 15, maana yake wamiliki wa kumbi nyingi za sherehe nao watapandisha bei ili kufidia gharama hizo. Mwisho wa siku, mwananchi ndiye atakayebeba mzigo huo kupitia gharama kubwa za huduma.
Jambo la kujiuliza ni kwamba, kuna gharama nyingine zinazotokana na vifungu vya sheria ambazo hazihusiani moja kwa moja na tozo, lakini nazo zinaongeza gharama kwa wananchi na wafanyabiashara.
Hii nchi inazidi kuwa ngumu kwa mwananchi .
 
Kukodi ukumbi ni 3,000,000
Mziki na mc ni 300,000
Chakula plate 8000×600-
Ndafu/keki 600,000
Mapambo 500,000
Kibali 30,000
Mpiga picha video 900,000
#TAFAKARI.
Oh! Very cheap. Kwa sasa sisi wa huku tutazingatia Sherehe zetu zifanyike maporini chini ya migunga -kuna hewa safi na gharama yetu itakuwa ni umeme wa generator,ndafu tunazo za kutosha kutoka hapo zizini. Hatutahitaji kibali na mapambo ni hiyo miti ya asili na video tutatumia simu zetu, mziki tutaelewana na wale wacheza ngoma ya mdundiko au wale jamaa wa bughoboghobo homa ya jiji. Kwisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom