wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siku ya Afya ya Akili Duniani: Serikali yasema Watanzania Milioni 7 wana matatizo yanayohusiana na Afya ya Akili

    Wakati Dunia ikiadhimisha Siku ya Afya ya Akili kesho Jumapili Oktoba 10,2021, imeelezwa kuwa Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milioni saba wenye matatizo yanayohusiana na afya ya akili. Hata hivyo, sababu mbalimbali zimetajwa kusababisha matatizo ya afya ya akili huku Jiji la Dar es Salaam...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wenye uzoefu mikopo ya Azania bank kwa wanachama wa NSSF

    Wakuu nawasalimu. Naomba kama Kuna mtu ana uelewa na Hili anisaidie. Azania bank wanatoa mikopo kwa wanachama wa NSSF. Kama mtu aliachishwa kazi kipindi cha janga la Corona kwa sababu kampuni iliamua kupunguza wafanyakazi na hakutoa mafao yake NSSF na ameamua kutokuajiriwa tena anaweza kupata...
  3. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tanzania itakombolewa na wenye Moyo

    Siyo siri kuwa hii nchi ni ngumu sana. Uwekezaji uliopo dhidi ya haki na usawa ni mkubwa sana. Kwa makusudi demokrasia na uhuru wa watu vimeminywa vilivyo ili kufanikisha hayo. Hali hii haitaondoka yenyewe bila ya makabiliano. Ni muhimu kufahamu watesi wetu hujipanga upya kwa kila hatua...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa wenye supermarkets, maduka, matumizi binafsi ya watoto home nina supply hii biskuti 😋

    Ni biskuti nzuri toka katika kampuni ya bakemate inayoitwa Kreme-E! Imetengenezwa na kuwa Imported from India. Taste yake ni ya pekee ikiwa katika flavors mbili tofauti: 1.Chocolate 2.Orange Ina ujazo na ladha nzuri zaidi compared na ambazo ziko madukani kama Royal, Cremelo na zinginezo, 82g...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake huwa wanavutiwa sana na wanaume wenye haya majina?

    1.Jeff 2.Matt 3.calvin 4.Alvin 5.Sydney 6.cliff 7.James or Jimmy 8.Brian 9.Dan 10.Erick
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanajeshi wenye Vyeo vya chini ( hasa Vijana) wanapenda sana Kuigana katika Mambo yafuatayo?

    Mmoja akinunua Gari aina ya IST basi Wote watanunua, kwa sasa wameshaacha Kununua IST wamehamia katika Gari aina ya Rumio ( Rumion ) Mmoja wao akinunua tu T-shirt au Jeans fulani basi ndani tu ya Siku 3 zijazo utaona Wwnzake wengi nao wananunua na kuanza Kufanana na Kuboa Mitaani na Machoni...
  7. JamiiForums Tanzania Malalamiko kwa rais Samia: Serikali inawanyima ajira wenye Digrii na kuwapendelea Fom 4 na Stashahada

    Habari wadau! Kuna malalamiko yameibuka siku za karibuni kwamba serikali inawabania wahitimu wa vyuo wanagawa ajira kwa form 4 na Diploma watu wenye digrii wanatoswa, sababu kibao zimeelezwa moja wapo ni kuogopa gharama za kulipa mishahara ya wenye digrii. Naomba rais wa JMT swala ili...
  8. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Arusha machinga wawapiga wenye maduka

    Hapo vip!! Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand. Na ugomvi ulianza baada ya mfanya biashara yule kuwambia waondoe mabanda mbele ya duka lake kwasababu anashindwa kufanya biashara. Hao machinga walimvamia jamaa kama...
  9. S

    JamiiForums Tanzania TRA fanyeni kazi yenu kwa ufanisi! Watu hawaombi risiti na wenye maduka hawatoi risiti kikamilifu!

    Juma mosi nilienda kariakoo kununua bidhaa kwenye duka linalomirikiwa na mtu mwenye asili ya kichina mara baada ya kufika muuzaji akamiambia yafatayo ▪︎Kitu unachotaka kununua ni cha laki na hamsini ila bila risiti laki na thelathini elfu ▪︎Na ukitaka bila risiti kabisa ni laki na ishirini...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Makabila yanayoongoza kwa watu wengi wenye kipato kidogo na kikubwa nchini

    Makabila yenye idadi kubwa ya watu wenye mpunga mwingi 1. Chagaz 2.Kingaz 3. Zaramoz Makabila yaliyofulia zaidi 1.Gogoz 2. Kondez 3. Nyirambaz n Iraqis Huu ni ukweli na Wala haihusiani na kuwa mbaguz Mimi ni mhehe Kama kigogo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie mnaoshangilia Mpira wa Fujo, Kukamiwa, Kuumizwa na Ahadi za Viongozi wenye Uyanga wanazofanyiwa Simba SC mna Akili timamu?

    1. Mbona hawa Viongozi Wanafiki na wenye Uyanga 100% akina Ally Hapi ( Mkuu wa Mkoa wa Mara ) na Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde Biashara United FC na Dodoma Jiji FC zikicheza na Timu zingine huwa hawatoi Ahadi zao kama Vilabu hivi vikicheza na Simba SC? 2. Sikatai kutoa Motisha ila...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa BAVICHA na CHADEMA; Someni Historia ya Nchi hii, mnajidhalilisha kwa wenye akili

    Habarini Bavicha na Chadema kwa Ujumla Leo napenda kuwashauri jambo la kuwasaidia kutokana na trend yenu ya kuanzisha vi thread humu kuongelea kesi ya Mbowe na kuleta nadharia zenu kuhusu watu waliokuwa Wanajeshi ambao wamedhibitiwa na vyombo vya ulinzi na Usalama Napenda kuwashauri hivi...
  13. JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa wenye mamlaka

    Ili kwajengea vijana na taiga kwa ujumla msingi wa kujitegeme na kujiajiri. Yafuatayo ni maoni yangu kwenu mnaoweza kusema iwe na ikawa. 1. Somo la Stadi za Kazi; lifanyiwe marejeo na kutengenezewa mtaala mpya na maalumu. Mafunzo yaambatane na vitendo. Kuwe na msisitizo wa somo hili kuanzia...
  14. JamiiForums Tanzania Wazazi wenye watoto waliohitimu vyuo tusemezane kidogo

    Habari, natumaini uko salama na Leo nataka niongee na wazazi ambao Wana watoto ambao wamemaliza chuo na wako nyumbani bado hawajapata kitu maalumu cha kuwaingizia kipato. Uzi unaanza..wazazi wengi ambao wana watoto waliomaliza chuo sasa hivi wengi wao ni wazazi ambao walikua wanaamini sana...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali inaendelea kufanya ubaguzi kwenye ajira. Kama una div 1&2 au bachelor degree jua upo kwenye risk ya kutoajiriwa

    Serikali mara kwa mara imekuwa ikiwahimiza wanafunzi kusoma kwa bidii na kufaulu lakini jambo la kusikitisha unapofika wakati wa ajira serikali hiyo hiyo inawabagua tena. Tumeona kwenye ajira za polisi wanaotakiwa ni wale ambao hawakufanya vizuri kwenye mitihani ya kidato cha nne. Yaani...
  16. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Guinea conacry yametufundisha kwamba wenye nchi ni wanajeshi

    Nimetafakari Sana mapinduzi mengi duniani na hasa haya ya hivi karibuni ya Guinea conacry kumbe kimsingi kabisa wenye nchi ni wanajeshi na sio hawa wanasiasa wanaotusumbua kwa vimidomo vyao. Dombouya alipompindua rais wake aisee rais alikuwa mpole Sana alikaa kwenye Kochi kwa utulivu Kama...
  17. JamiiForums Tanzania Mtandao pekee wenye huduma nzuri zaidi za malipo kwa wafanyabiashara na wauzaji Tanzania.

    Sokokuu online ni mtandao unaouza vitu online kwa mfumo mpya na wa tofauti kabisa. Na mfumo huo upo ivo ili kumrahisishia mteja namna ya kununua vitu mtandaoni. Kwanza Sokokuu online inakupa uhuru. Wa kuweka bidhaa zako mwenyewe na kupanga bei ndani ya Dashboard yetu. Hii inakuhakikishia kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Wana CCM tunahujumu juhudi za Rais Samia. Tuacheni Unafiki sisi wenye Tunaikwamisha Serikali

    CCM ina wanachama zaidi ya Mil 8. Chanjo zimeletwa kwa watu Mil 1. Mwenyekiti wa Chama kasema watu wakachanje naye akaenda chanja kama mfano. Mpaka leo chanjo si zaidi ya 400,000. Hii ni Hujuma. Tena hujuma ya wazi kabisa. Kwa wanawachama wetu zaidi ya Mil 8 nchi nzima tungekuwa tunagombania...
  19. JamiiForums Tanzania Ugeni wenye Faida

    Naitwa best , nipo Dar ni ni mgeni kwenye jamii forum na fursa nazozitoa kushirikisha vijana mawzo wenzangu kwenye jarida langu liitwalo online magazine tanzania Dhumini la jarida Hilo ni kumsikikiza mawazo tofauti tofauti ya vijana wenye vipaji hili kuhamasisha jamii juu ya malezo ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya wenye nyumba ndogo kuwa na msongamano wa watu?

    Wakuu kuna uhusiano gani, kati ya wenye nyumba ndogo kuwa na msongamano wa watu, na wenye nyumba kubwa kuwa na msongamano mdogo wa watu? Unakuta nyumba kubwa ipo kwenye ekari moja, lakini wanaoishi humo ndani unaweza kukuta ni baba, mama, na mtoto mmoja; kwa upande mwingine, unakuta nyumba ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…