wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Muhimbili kuanza kutibu Wanaume wenye matiti

    HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) - Mlongazila, imesema huduma ya kupunguza uzito na upasuaji rekebishi zinazotarajiwa kufanyika hospitalini huko, zitahusisha pia wanaume wenye maumbile kama matiti. Mkuu wa Idara ya Upasuaji MNH-Mloganzila, Dk. Eric Muhumba, alibainisha hayo na kueleza kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Watu wanne wenye uwezo wa kuikabili Chadema hadi ikaomba poo,ni Makonda,Nchimbi,Happi na Sabaya.

    Vyuma vyote vilivyotengenezwa na Shujaa Magufuli vinarudi ulingoni kuongoza jahazi kuelekea Uchaguzi mkuu wa 2025,tuanze na the right hand man at the right time and place,jiwe walilolikataa waashi litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni,Safari imeanza. Hatimae yametimia,upele umepata...
  3. JamiiForums Tanzania Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

    Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania. 1. Wachaga 2. Wakurya 3. Wanyakyusa 4. Wahaya 5. Wapare 6. Wasukuma 7. Wameru 8. Wajaluo Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
  4. JamiiForums Tanzania Hivi CCM imeishiwa watu wenye akili na hekima mpaka kuendelea kumkumbatia mtu kama Makonda?

    Kuna vitu vinachekesha lakini vingine vinatia kinyaa na kufedhehesha mnoo kwenye siasa za Tanzania. Hivi kwa karne hii yenye kuhitaji wanasiasa wenye akili timamu, upeo na hekima, bado CCM iko usingizini kiasi cha kwenda kuokota watu wale wale wa ajabu ajabu mfano wa Paulo Makonda? Hivi CCM...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenye tija

    Ukipata bahati ya nafasi ya kufanya kazi au biashara katika umri mdogo (kuaznia 18 hadi 27)usidharau kazania sana kujua io kazi zaidi katika umri huo. Kuna utofauti wa mtu aliyeanza kazi kwenye age io na yule aliyeanza above io age. ndo mana baadhi ya wenye mali huanza kuwalithisha mipango na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inaweza kutangazwa wageni, diaspora na wananchi wakaiomba?

    Nimetafakari kuhusu nafasi za kitaaluma kama Gavana wa Benki kuu, nini madhara zikiruhusiwa kuombwa na mtu yeyote mwenye sifa? Teua tengua zimekuwa nyingi jambo linaloashiria kuna shida ya wale wanaopatikana. Sisi tumekuwa hodari wa kukuza watu wasiotumika wanaondoka kwenda kujitafutia huko...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tutambuane: Wenye ujasiri au sababu za kuikabili CCM

    Hii ni orodha fupi ya wenye ujasili wa kumkabili CCM. Kama hauko humo kuwa tayari kujiunga na CCM. Hao ni wenzako hujijui tu: 1. Wanaompinga Israel na udhwalimu wake Gaza. 2. Wanaowaunga mkono wapalestina dhidi ya uvamizi wa Israel. 3. Wanaotambua kuwa vita vya wapalestina ni vya ukombozi. 4...
  8. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Magaidi wa ADF wenye mlengo wa Islamic State (IS) wachinja watalii Uganda

    Hii yote kisa dini, watu wana imani za kiajabu sana................ A Ugandan national and two foreign tourists were killed in an attack by suspected Islamist rebels from the Allied Democratic Forces (ADF) in a national park, the police said on Tuesday. "We have registered a cowardly terrorist...
  9. JamiiForums Tanzania Hawa ndio wasanii wa Tanzania wenye hali nzuri za kiuchumi baada ya maisha ya muziki. Nani kasahaulika?

    wasanii wenye Hali nzuri nje ya Sanaa ta mziki, Kwa Sasa hawajishughulishi sana na mziki kama kazi zao kuu, ni wastaafu Si jambo la kuficha kwamba ni wasanii wachache huwa wana hali nzuri za kiuchumi baada ya maisha ya muziki Orodha ya hawa wasanii hatuwezi kusema kwamba ni matajiri wa kutisha...
  10. JamiiForums Tanzania Kumuita mtu aliyeudakia tu uongozi Mama wa Taifa ni kutudharau Watanzania wenye akili kubwa

    Halafu mnavyozidi Kumchoresha bila kujua ni hapa mnapomfananisha Kimafanikio na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere huku mkijua hana hata Miaka Minne (4) Uongozini wakati aliyeitwa Baba wa Taifa alikaa Miaka 23 Uongozini na Kuutengenezea Heshima Kubwa Kimataifa Tanzania yetu hii. Mama wa Taifa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO ndiyo wenye nguvu za giza

    Kwa muktadha wa mabadiliko ya hali ya hewa nakubaliana na wadau wanaosema TANESCO ndiyo taasisi yenye nguvu za giza kuliko taasisi nyingine zote. Nguvu za giza zimeondoka na mawaziri wengi, wakurugenzi na makatibu wakuu. Zinaendelea kuondoka na wengi kupitia miradi chechefu. Tunapopambana na...
  12. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mloganzila yaanzisha huduma ya kurekebisha 'shape' ya mwili

    Swali: Je, Serikali imeridhia Kuruhusu kuanza kutoa Huduma kama hizi zinazoharibu Maadili ya Nchi na dini? Aisee Kwa Sasa kuja kupata binti natural itakuwa ni Mtihani. -- Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa...
  13. JamiiForums Tanzania Wakristo wanatakiwa kuombea amani Mashariki ya Kati

    NAFASI YA MKRISTO KATIKA VITA YA ISRAELI NA PALESTINA. Shalom. Juzi Palestina kupitia wanamgambo wa Hamas wameanzisha mashambulizi juu ya Israel, na inasemekana ni mashambulizi makubwa kuwahi kushambulia na kufanikiwa kuwaua Waisraeli zaidi ya 300 na wengine zaidi 100 kujeruhiwa, idadi hiyo...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kudate watu wenye majina yanaofanana

    Naamini katika pita pita zako imewahi kukutokea umepata me/ke mwenye jina la kufanana na ex wako huko mwanzo..huwa unachukuliaje hilo suala? Kuna jamaa angu mmoja amekutana amedate na ke wenye majina ya Fatma,Eva, Pendo na Neema.. Wewe kwa upande wako umekutana na akina nani?
  15. JamiiForums Tanzania Watu wenye kauli hizi uwaepuke, zinaambukiza

    1: Mimi au sisi ni masikini Mtu anayekiri umasikini ataishia kuwa masikini tu na ukimuendekeza atakuambukiza. 2: Maisha ni magumu Haisaidii kitu kukiri ugumu wa maisha. Tumia Muda mwingi kutafuta suluhisho. Ukizungukwa na watu wa namna hii kila kitu na wewe utakiona ni kigumu. 3: Haiwezekan i...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye akili ndogo

    Habari wanajamvi, Kutokana na utafiti wangu wa hapa na pale kuhusiana na wanawake nimekuja kugundua asilimia kubwa ya wanawake ambao uwezo wao ni mdogo wa kufikiri(especially hawa wa uswahilini ila sio wote) wanakua na kidharau fulani ivi cha kijinga kwa mfano unaeza mfuata ukamsalimia demu...
  17. JamiiForums Tanzania Wenye 'Mabosi' wana Yanga SC Maofisini mwenu kwa leo nawapeni hili ANGALIZO muhimu na mlizingatie

    1. Hakikisheni mmewahi / mnawahi Kazini Kwenu na ikibidi fanyeni hata zile Kazi ambazo unajua siyo zako 2. Kiwango chako cha Nidhamu Kazini leo kiwe ni cha maradufu 3. Hata kama huwa una Utani nae ila leo usimtanie na jifanye hujui lolote lile 4. Jifanye leo huchangamki ili Kumzuga aone upo...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli wenye kusikitisha

    Wanawake wamefanya kila kitu ili kuvutia macho ya wanaume... Wengine kwa waume zao, wengine kwa kila mtu. Makeup, kuchonga mwili, nguo fupi na tumbo wazi, kifua nje nje, urembo na cosmetics, kujitongozesha na kujipendekeza. KISHA NINI? Jicho la mwanaume bado linatafuta zaidi! Na linatizama...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali wekeni ruzuku kwenye Mafuta, hizi bei kwa sasa hazivumiliki tena

    Sawa bei zimepanda soko la Dunia na mambo kama hayo ila ni muda wa kuweka ruzuku. Bora kuvuruga Mpango wa miradi 2 au 1 Tupate pesa ya ruzuku kuliko kuua uchumi mzima Kwa kuachia bei ziendelee kuwa Juu kiasi hiki. Yaani Lita Moja kufikia elfu 4-6 Mikoani huko Vijijini haikubaliki.Mwaka.juzi...
  20. JamiiForums Tanzania Jamii inayopenda kuchukua Sheria mkononi ni jamii maskini na yenye watu wenye roho mbaya

    Ukifika mtaa au mji wowote wadadisi jinsi wanavyowafanya wezi wadogo wadogo wa kuku, nguo, au vitu vingine. Ukiona wenyeji wako wanaanza kujisifu kuwa wao huua wezi hiyo jamii imejaa wajinga na wapumbavu na ina watu wenye roho mbaya a.k.a wachawi. Hakuna maendeleo kwa watu kama hao, kuwekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…