Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Moja ya sifa za mtu mchawi ni pamoja na hiki ninachokieleza hapa.
Kazi kuangalia nani kaja kwenye msiba nani hajaja.
Nani Kala nani hajala
Nani anafanya nini.
Kufiwa hujafiwa wewe unapeleka mambo yako ya kichawi kwenye misiba ya watu.
Subiri ukifiwa ndio...
Huu umekuwa kama ulemavu sasa.
Kwa kazi yangu ya kukutana na Jamii moja Kwa moja nimekuwa mtu wa kajichanganye kwa watu wa rika zote, jinsia zote, levels zote, maskini, Hali ya Kati na matajiri, pia nimeweza kukutana na socialites, influencers, famous na cerebrilities.
Mada zao ni kula bata...
Ukifuatilia vizuri watu wenye taabu fulani maishani ndio hutumia sana pombe ili wasahau uchungu walio nao moyoni ili wajiliwaze.
Uzuri ni kwamba biblia imetufunulia yote katika:
Mithali 31:
6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.
7 Anywe...
hakika mazoezi ni muhimu kwa afya mma hata madaktar wanatushauri lakini kuna mengi yanazungumzwa juu ya wake za watu na matrainer, tazama video kisha tuambie maoni yako...
Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu wachache vikiwekewa vikwaza mbalimbali vya kimkati kama vile tozo maalumu za kuingia CBD (congestion...
Watu wengi huamini mtu mwenye vyeti vingi vya shule ndiye mwenye akili,lakini mimi naamini akili ni zaidi ya kumiliki vyeti vya shule.
Mgogoro wa Simba ni mfano mzuri kuonesha watanzania wengi,hususan walio kwenye media na wanaojitokeza sana kuzungumza,hawana akili kabisa.
Sijasikia mtu hata...
Kwa miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la watumishi wanaokaimu nafasi za wakuu wa idara na vitengo mbalimbali katika halmashauri. Hali hii inazua maswali kuhusu utaratibu wa uteuzi na upatikanaji wa watumishi wenye sifa za kushika nafasi hizo.
Je, ni kweli katika wizara na taasisi...
Matamko ya viongozi ambao wanaonesha wazi wazi sasa yanaonekana ghana na nageria kuwa hawataki imani imani nyingine zaidi ya wanao wasimamia wenye imani zao.
Hii imekaaje maana dunia inapoelekea tunaenda sio ukabira ni udini hata hapa tanzania kashaonesha kuwa anafanya.
Chalamila anasema, ili kupunguza msongamano wa magari mjini, mabasi yaishie Magufuli stand, halafu wawe na shuttle za kupeleka watu mjini. Hivi mnamwelewa huyu bwana? Basi moja la abiria 45 likifika Magufuli stand litahitaji kwa wastani shuttle mbili ili kufikisha watu mjini. Sasa basi moja kwa...
Habari Jf.
Katika mchakato wa kuchimba kisima sustainable kuna hatua ya kwanza ya vipimo, underground water survey, ambapo kifaa maalum kinachotumika hutoa report, katika report hiyo utakutana na graph yenye muonekano wa rangi tofauti tofauti kama picha niliyoweka hapa,
Sasa umuhimu wa...
Hakuna watu nawacheka kimoyomoyo kama washkaji wenye watoto wakike tupu.
Mimi mkewangu alipo jifungua mtoto wangu wapili ambae ni binti nililia sana niliwaza akija kukua itakuwaje yani nilikosa majibu nikawaza je wenye watoto wakike tupu wanajisikiaje ukizingatia mtoto wakike nidhaifu sikuzote...
Afrika bana.... yaani uchague ufe kwa Ebola au kuuawa na magaidi wa uislamu....."Ukiinama mchale, ukiinuka mchale"...kuzaliwa Afrika ni laana kuanzia mwanzo...
======================
Rebels affiliated with the Islamic State attacked a village in Congo near the border with Uganda early...
Tanzania ina uchumi wenye umbo la herufi K, kitaalam inaitwa "K shaped economy". Huu uchumi unakuwa na pande mbili kama herufi K, upande wa juu unakuwa na pesa nyingi, ukuaji mkubwa, matrilioni ya hela halafu upande wa chini unakuwa na umasikini hali ngumu na dhiki.
Ripoti zilizopo ni za...
Comrade!ikitokea hatma imekudondokea na hatmae ukawa mkuu wa kiti kikubwa katika nchi hii!Hili nalo lipatie ufumbuzi kama ninavyoandika sasa!
Kumbuka nchi yetu Haina tatizo la ajira Bali sera mbovu za ajira ndio zimetufikisha tulipo,unawezaje kumuajiri mtumishi ajira ya maisha !?wakati Kuna...
Habari wakuu, ninatarajia kufungua kiwanda kidogo cha utengenezaji wa vyakula vya mifugo hivyo nipo kwenye utafiti wa kuwatqmbua suppliers wa ingredients mbalimbali za kuchanganya kutengeneza cha Mifugo.
Moja ya ingredient ninayotaka kujua naweza kuipata ni Fishmeal au tuseme dagaa omena wenye...
Makebo makubwa yamekuwa njia ya utajiri siku hizi kwa hawa dada zetu.
Makebo makubwa yanawapatia urahisi wa maisha na access ya vitu vya kifahari ingawa ana umri mdogo, kisomo kidogo na hata kama ametoka familia duni.
Nimeziona picha zilizotumwa mtandaoni zikiwaonyesha viongozi wa vyama vya siasa waliokua wakimsikiliza Samia, ama kwa hakika ni aibu na hawatii matumaini kwa Tanzania ijayo. Yani ule ukumbi ulipwaya, ni kama ombaomba walikua ukumbini wanamsikiliza Samia. Mwingine sijui kapigwa stroke kapona...
Serikali kupitia Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) inatekeleza mradi wa Kongani la Viwanda vya Korosho wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 300 katika eneo la Maranje, Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara, unaolenga kuongeza ubanguaji wa korosho ndani ya nchi ifikapo Mwaka 2030.
Hata...
Anonymous
Thread
mamlaka
mamlaka za serikali
mradi
serikali
thamani
viwanda
wenye
zaidi ya