wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukumbana na Kero gani katika Huduma za Afya?

    Habari, Afya ni miongoni mwa huduma muhimu na msingi katika katika Jamii yoyote. Katika kupata Huduma za Afya kuna michakato na mambo mengi katikati yake. Je, umeshawahi kukutana na kero gani katika kupata Huduma za Afya Kishingo akusaidie kuisemea?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi ndiye kiongozi pekee aliyewahi kuongoza Tanzania nzima, sio upande mmoja kwa Koti la Muungano

    Katika dunia hii kuna watu wamebarikiwa sana. Na mamlaka hutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu akiamua kukupa mamlaka, kipaji, riziki anakupa tu kwa kupenda yeye mwenyewe bila kujali wewe una nini. Mzee Mwinyi hakuwa msomi sana kwa viwango vya kisasa (kuwa na digrii), lakini ni dhahiri kwa...
  3. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Madereva kutumia mwanga mkali (Full Beam) katika mazingira yasiyo sahihi barabarani ni hatari kwa wengine

    Kweli, matumizi ya taa za gari ni muhimu sana kwa usalama barabarani. Kutumia mwanga mkali (full light) katika mazingira ya foleni au msongamano wa magari kunaweza kuwa hatari kwa sababu ya athari ya kumulika moja kwa moja kwa madereva wengine. Hii inaweza kusababisha kutopata mwelekeo mzuri wa...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Harmonize ku-sign wasanii wengine wawili kwenye lebo yake

    Msanii Harmonize ameamua ku-sign wasanii wengine wawili kwenye lebo yake ya Konde Gang baada ya kutemana na wasanii Killy, Cheed, Country boy na Anjella ambao walijitoa kwenye lebo yake ya Konde Gang. Ameandika msanii Harmonize kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, "Nimekaa hapa...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Utafutaji wa pesa hapa duniani kuna wengine ni kama gereza na wengine happy day

    ule msemo toka kwenye biblia Maneno ya Paulo “Asiyefanya kazi, asile” (3:10).ulilenga watu fulani humu duniani kwakeli yani kuna wengine kuanzia January mpaka December yeye ni kutafuta mkate wa kila siku. utafutaji hapa duniani wengine kwao ni gereza watabaki kuwa watumwa wa pesa mpaka kifo...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Lilivyo Kundi D kwa sasa katika CAFCL ndiyo hao hao Wawili wa Juu watakaofuzu na Wengine watafuzu tu Kushinda Tano Tano za Rushwa Ligi yao ya Nyumbani

    Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita /...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Lissu amuombe radhi Biteko; Matamshi wanayotoa wapinzani hayapaswi kuumiza watu wengine

    Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukataa kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dotto Biteko aliyekuwa jijini Mbeya kikazi, Februari 20, 2023 "Mimi ni mshabiki wa vyama...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Je, kuna watu ambao wako systematically prone kwa tabu na mateso na ni vigumu mikosi yao kuondolewa kirahisi kama wengine?

    Hakuna mwanadamu asie kuwa na changamoto. Asilimia kubwa ya watu duniani tunapitia matatizo makubwa mbali mbali ila kuna wale watu ambao utafikiri furaha hata robo sio ridhiki kwao. Unaweza mkuta mmama, mwenye hurka ya kuishi vyema na watu lakini anapitia mateso kutoka kwa mme wake, wifi zake...
  9. Madumbikaya

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mama Lowassa ni mwalimu wangu miaka 41 iliyopita

    Tundu Lissu ameyasema hayo alipotembelea familia ya Lowassa kuhani msiba kuwa amefika kumpa pole mwalimu wake aliyemfundisha darasani miaka arobaini na moja iliyopita. Tundu Lissu amesisitiza ukimtoa Mwalimu Nyerere kwa ushawishi anayefuata ni Edward Lowassa kwa ushawishi, hivyo Taifa...
  10. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Kukumbatia na kuenzi dhana ya utawala wa kifalme kumepitwa na wakati, Waingereza na wengine wamerogwa na nani?

    Kuna huu Uongozi wa Kifalme, Inasemekana hata Afrika zilikuwepo Tawala lukuki zilizokuwa na nguvu za Himaya za Kifalme na kwingineko Ulimwenguni pia. Kwa Afrika, Tawala za Kifalme ingawa unaaminika kuwa zilikuwa nzuri zikiishi kwa Utulivu na amani zilikuja kuvurugwa na kutokomezwa na...
  11. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Tabora United ndio hii iliyocheza na Yanga mpira wa nguvu na akili nyingi pale Dodoma ama ni wengine hawa?

    Tabora united ya Leo ni Nini kimewapata? Ni wenyewe Hawa waliocheza na yanga pale Dodoma kwa kukamia kweli kweli kiasi Cha kwamba tukawapa 5 kuwa watafanya vizuri sana msimu huu lakini nilichokiona Leo pale Aly hassani mwingi stadium ni kichekesho Cha kufungia mwaka! Wamefungwa magoli mepesi...
  12. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Madaktari na maofisa wengine wa kiserikali mnawanyanyapaa sana wananchi

    Idadi klubwa ya wananchi ni dhofu hali na pangu pakavu hivi hizi kauli za madktari kuwalingania wananchi kuwa wapime afya zao kila wiki wanakuwa wakifikiri kuhusu pato la kila mmoja?wapo viongozi wengine wa kiserikali wanatumia kauli za kuwaaambia vijana wajiajiri ila wao ndiyo kwanza wapo...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yaua maafisa wengine wa Iran Syria

    Imekua desturi sasa, viongozi na maafisa wa Iran wanawindwa Syria kote kote na kila wakiuawa, Iran inasema italipiza kisasi. ======== Two people were killed and several wounded on Monday in what Iranian and Syrian media said was an Israeli attack on the outskirts...
  14. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Kuna Uhalali au ulazima kwa kampuni za simu kutoa namba za simu za mtumba (zilizotumika na watu wengine walio hai au kufa)?

    Wasalaam wana JF Nilikua nachangia kwenye uzi mmoja uliokua unajadili ulazima wa kuhifadhi number za simu za marehemu, nikawaza kwa maandishi, JE KUNA SABABU GANI YA KAMPUNI ZA SIMU KUTOA NAMBA ZA SIMU ZA MTUMBA? Kwangu mimi, kumiliki number ya simu ya mtumba (iliyotumiwa na mtu mwingine aliye...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu mnashindwa kuelewa kuwa kwa wengine JF ni kama Familia yao

    Kwema Wakuu! Wapo Watu Wanazodoa baadhi ya wanaJF wakija kutoa malalamiko yao huku JF licha ya kuwa hatujuani. Wengine wakieleza mpaka mambo ya siri ya maisha yao. Wapo wanaoleta mambo ya kifamilia, wengine kazi, wengine kuwasema wazazi au ndugu zao. Wengine ishu za kazi. Elewa kuwa kuna Watu...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ina maana ambao hadi leo hatujaumwa macho kama wengine tuna kinga imara?

    1. Waliobarikiwa zaidi na Mungu? 2. CD4 zao ziko Imara sana? 3. Hawajalaanika kwa Dhambi? 4. Wenye Kinga Kali mno? 5. Wenye Nyota zenye Kung'aa daima? 6. Wasio na Roho Mbaya na Wivu? 7. Wasiopenda kupiga Chabo? Asante sana Baba Mwenyezi Mungu.
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Samia tangu arithi Urais 2020's, Jerry Silaa Pekee ndio mtendaji, Wengine wapeni jina!

    Jerry Slaa pamoja na mapungufu yake kisiasa hasa kulaumiwa kwa ubovu wa Barabara za Kivule na Gongo la Mboto kitu ambacho kinahitaji bajeti kubwa na inatoka kwenye wizara na ni nje ya uwezo wake, amejifumua uozo na urasimu uliopo kwa makamishan wa ARdhi Pale Wizarani Dar es salaam na Kibaha...
  18. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo Dodoma asimamishwa uongozi. Alitoa kauli kuyapinga maandamano ya CHADEMA

    Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mambo katika mjadala wa kitaifa unaoendelea kuhusu Miswada ya Sheria ya Tume ya Uchaguzi, Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. Ikumbukwe kuwa msimamo wa ACT Wazalendo ambao unatokana na azimio...
  19. Championship

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanampinga Mwamposa wakati nabii wao alikabwa mapangoni na wengine wanaabudu sanamu la bikira mwenye watoto watano

    Kweli duniani hamna jipya. Ukisoma komenti za watu unabakia kustaajabu sana. Watu wamelewa dini. Wanamponda Mwamposa huku wao wanaamini kwa nabii aliyekabwa na pepo akiwa mapangoni akilazimishwa asome ilihali hakuwa anajua kusoma. Wakaeneza imani yao kwa ncha ya upanga na mpaka sasa ukitaka...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel itawamaliza Mateka wake kwa kushambulia Gaza wamewaua mateka wengine wawili kwa mabomu

    Wanakumbi. Taarifa za hivi punde kutoka kwa Hamas zinadai kuwa mateka wawili kati ya watatu walioonyeshwa kwenye video yao ya awali wamekufa kutokana na mashambulizi ya Israel huko Gaza. Wanajeshi wa Israel kutoka kitengo cha 36 baada ya kuondolewa Ukanda wa Gaza wameshangilia sana wengine...
Back
Top Bottom