wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Biashara ya bodaboda imeua ndoto za vijana wengi

    Habari! Hapa naomba tuelewane kuwa sizungumzii pesa bali nazungumzia ndoto za vijana katika kuliinua taifa na familia zao. Pamoja na kazi ya bodaboda kuwapatia kipato vijana na baadhi ya wazee ambao wanaifanya hiyo biashara lakini imechochea uchumi wa China na India kwa kiasi kikubwa. Hapa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kudos Azam FC, leo mmeumiza wengi. Kuna timu inaweza kuambulia nafasi ya tatu

    Nimeona leo mjadala umekuwa mkubwa juu ya refa kuongeza dk nyingi kwenye mechi ya Azam na coast union. Nafikiri mwamuzi alikuwa sahihi kwa 100% sababu hizi timu za mikoani zimekuwa na katabia kakijinga sana kupoteza muda pindi wanapokuwa wanaongoza au wanapoona matokeo yako upande wao bila...
  3. JamiiForums Tanzania Gari lililotumiwa na watu wengi halifai kwa matumizi

    Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwa matumizi, maana kila utakapopita nalo, basi ni lazima tuu utakutana na watu wanaojitapa kulijua vizuri kwa sababu walipata kulitumia. Wapo watakaoelezea namna walivyokuwa wakiliburuza kwa mwendokasi, wengine wakijinasifu kwa mitindo...
  4. JamiiForums Tanzania Tunawahitaji akina Bashiru wengi katika nchi hii ili tuweze kuendelea

    Si kila kitu cha kusifia, kwani kuupiga mwingi ndio matokeo mazuri, au ndio kupata ushindi? Hata kwenye Football, unaweza uupigwe mwingi alafu ufungwe tu, yani unaupigwa mwingi alafu hupati matokeo! Wanaopiga kauli yake ni wasaka tonge tu, Kama ni mbunge wakonanakosoa bila maelezo sahihi ya Dr...
  5. JamiiForums Tanzania Wengi humu tulipingwa kuhusu madhila haya

    Sasa leo wameanza kukiri waenyewe tena wazi wazi kabisa, mwanzoni tuliambiwa sijui wanajiteka wenyewe mara walikua mafisadi. -- “Wakati wa serikali ya awamu ya tano,tulilalamika hata Bungeni nilizungumza,watu walikuwa wanatoka huko Ikulu wanasema ni maelekezo ya Rais,unakamatwa unanyang'anywa...
  6. JamiiForums Tanzania Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wanapopiga picha wanapenda kuonyesha makalio na sio sura zao?

    Wanawake wa kisasa wanapojirecodi video au kupiga picha wanapenda Sana kuonyesha makalio yao na sio kitu kingine Mfano mwanamke umeolewa ila unajirecord unaonyesha tako lako na unasambaza video au picha kwenye mitandao ya kijamii hii ina maana gani?
  8. JamiiForums Tanzania Supakasi ni internet isiyo na kikomo na iliyosambaa zaidi, Vifurushi 115K wengi hatuviwezi. Nashauri kuwe na vifurushi vya elfu 60 ikipendeza elfu 50

    Hadi sasa sina shaka kwamba kwenye uwanja wa unlimited internet, hawa supakasi chini ya Vodacom ndio wana uwezo wa kufikia wateja wengi kila mkoa kuliko hata fibre ambazo sana sana zipo mjini kati kwenye majiji machache. Kimbembe kipo kwenye bei hapo, sina shaka kwa matajiri na wanaotumia...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wengi wa Serikali wana hali duni kiuchumi?

    Habari za kazi wanajamvi, Kiuhalisia swala la watumishi kuwa na madeni kila kona ni jambo la kawaida sanaaa, na hili linanipa maswali mengi sana bila majibu kwasababu watumishi wa vyeo vya juu na kwa uchache wanahali nzuri ya kiuchumi ila wengi hawana haki nzuri Tatizo liko wapi? Na nini...
  10. JamiiForums Tanzania Mungu anaweza kuua watu wengi ili tu amtetee mtu wake

    Habari! Mbele za Mungu sisi wanadamu ni kama majani na upepo tu. Yes ametuumba na anatulinda ila kuna wakati anatutazama kwa namna nyingine. Yaani anatusort kulingana na agano lake na mtu husika, au anatusort kulingana na maisha na mienendo yetu. Kama humchi Mungu , Mungu anaweza kukutumia...
  11. JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa umeme na maji kunaua watu wengi kuliko kutekwa

    Kukosekana kwa maji kunasababisha mlipuko wa magonjwa ya kipindupindu typhoid na magonjwa ya kuhara tumbo maana maji machafu husababisha magonjwa ya kuambukiza na magonjwa haya huua watu wengi sana. Kukatika katika umeme kunaua biashara nyingi za watu, watu wana madeni wana Familia wanategemea...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi siku hizi hujifanya ni usalama wa taifa, askari au wanajeshi?

    Habari za leo wanajamvi! Natumaini wote ni wazima wa afya na tunaendelea vyema kusukuma gurudumu la maendeleo ya taifa letu ingawa ni kwa kasi ya kobe lakini si haba, tukishirikiana na serikali yetu tukufu. Kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni kama wewe/nyinyi ni...
  13. JamiiForums Tanzania Kufanana na watu wengi hii imekaaje?

    Hello JF Nimejikuta nalazimika kuleta uzi sasa maana hii imeanza kunishangaza. Tangu nakuwa ni kawaida kukutana na watu then wananiambia nimefanana na either ndugu yao fulani au jamaa zao. Imefika hatua now nimekuwa wengine mpaka hunipiga picha. Wakawaonyeshe wahusika. Ikafika muda nikawa...
  14. JamiiForums Tanzania Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya

    Kocha wa makipa simba mbaroni kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroine. Sambamba na boss wa Cambiaso ================ Kocha huyo, Mwalami Sultan ni kati ya watuhumiwa 9 akiwemo Mmiliki wa Kambiaso Sports Academy, Alhaj Kambi Zubeir Seif wanadaiwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya...
  15. JamiiForums Tanzania Vijue vituo vya Televisheni vya kimataifa vinavyoongoza kwa watazamaji wengi duniani

    1. CNN (US) 2. BBC (UK) 3. DW (GERMANY) 4. ALJAZEERA (QATAR) 5. RT (RUSSIA) 6. SKY NEWS (UK) 7. VOA (USA)
  16. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

    Aise hali sio poa kabisa. Sijui sasa hivi huko vyuoni wanawafundisha nini hawa watoto. Ipo hivi juzi juzi hapo kulikua kunaitajika new staff. Pendekezo lilikuza hawa staff wapya wawe graduate wapya (Walio maliza mwaka huu) au mwaka jana lengo lilikua kuwapata fresh from school ile wawe trained...
  17. JamiiForums Tanzania Wengi wenye vitambi walipata utapiamlo utotoni

    Habarini wakuu sana. Ipo namna hivyo. Watu ambao hawakupata lishe ya kutosha utotoni huwa wanapoteza uwezo wa kuchakata msosi. Yaani mwili wake unavyotumia chakula ni tofauti na mtu ambaye alipata lishe ya kutosha. Sasa mtu huyu akipata pesa au uhakika wa msosi ukubwani, anajikuta anakula...
  18. JamiiForums Tanzania Chama changu CCM mkitaka tusiwe wapinzani groom Vijana wengi ila kwa sasa macho yenu yaweke kwa Vijana hawa

    Chama changu cha Mapinduzi Tukitaka kuendelea kuongoza nchi tubadili mbinu Hakikisha hatuweki mtu anayetumia nguvu kubwa kijibrand badala ya kazi kumbrand, kuna Vijana ambao kwakweli tuwe wakweli wanapiga kazi na wanakubali wanapokosea, wako humble Kwa wananchi , na ni wasafi Narudia ni wasafi...
  19. JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Tanzania vinazalisha zaidi wahuni kuliko hata wasomi

    Tafsiri nyepesi ya chuo kikuu ni sehemu inayotoa elimu huru. mwanafunzi anakuwa huru katika masomo yake na usimamizi wake binafsi. Yaani hapa mwanafunzi anaenda kusoma pasi na usimamizi mkubwa kutoka kwa walimu wake. Lakini kwa nchi yetu hii elimu ya vyuo vikuu naona kama haipo sawa na...
  20. JamiiForums Tanzania Vitu gani 'vidogo lakini vikubwa sana' unavyovijua lakini watu wengi hawavijui? Share kwa kifupi sana....!

    Kila mtu ana vitu vyake fulani hivi anavyovijua lakini watu wengi hawavijui. Inaweza kuonekana kama vidogo lakini ni vikubwa mno kwa tafakuri ya kina. Au pengine watu wanajua lakini hawaipi kipaumbele stahiki. Hebu share nasi kwa kifupi sana! Naanza mimi: - Serikali halisi ni familia. Hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…