wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi wa Vyuo Vikuu vya Kitanzania hawawezi kufanya mjadala kama huu wa watoto wa shule

    Nimeangalia kwa makini sana huu mjadala na kama mtu niliyewahi kufundisha chuo nimeshangazwa sana na uwezo wa hawa wanafunzi wa Kiafrika. Kipindi wanafanya huu mjadala walikuwa ni wenye umri mdogo sana, lakini uwezo wao wa kujenga na kujibu hoja, kuzungumza lugha ngeni kwa ufasaha, ujasiri...
  2. JamiiForums Tanzania Sababu za wananchi kukosa matumaini ya mabadiliko kwenye utendaji wa haki chini ya Rais Samia

    I) POSITIVES Tangu ameingia madarakani, tumeona mabadiliko kidogo sana yenye mwelekeo chanya. Nimetumia expression ya "kidogo sana" kwa vile si mambo yaliyohitaji kutumia effort kubwa sana kuyatekeleza bali yanahitaji self-restraint pamoja na busara ya kawaida tu ya kiuongozi. 1. Kutotumia...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara ya Peanut butter ila Hela Sema Wengi Wanachemka kwa kucopy na kupaste

    SIAGI YA KARANGA (Groundnut butter/Peanut butter🔥🔥 1kg ya Karanga hutoa 900g ya (siagi) butter. Katika masoko ya ndani, 1kg ya butter ni tsh 6500_7500/= Gharama za uzalishaji Karanga: tsh 2000 -2500 Tuch. Max. Tsh 2500 Vifungashio , lebo na lakiri: 1000 per 1 kg Umeme: 100 per 1kg...
  4. JamiiForums Tanzania Ndugu Watanzania, sio walio magerezani wanaachiwa, bali bajeti ya 2021/2022 inakwenda kuondoa watu wengi gereza la kiuchumi

    Magereza yanafunguliwa, magereza ya jeshi la magereza tunaona kwa macho. Je, ndio huyu au tusubiri mwingine, naye akajibu, vipofu wanaona na viziwi wanasikia! Jela kubwa kabisa kuliko zote,jela ya kiuchumi,jela iliyoifunga nchi nzima nayo inakwenda kuvunjwa makufuli yake. Mwendazake alijiapiza...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi tumejikatia tamaa, tunaishi kwa kutegemea mikeka itiki

    Habari wadau! Kiukweli zama zimebadilika sana, kwa sasa Watanzania wengi tunaishi kwa kutegenea mikeka. Wanaume majumbani kwetu ndio usiseme, wife ukiona anakuzonga zonga unamwambia kuna mchongo huo naufukuzia ukitiki tu mambo yatakuwa poa kumbe mtu mzima una mkeka wako wa siri unangoja Odds...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini maskini wengi wanaamini kuwa utulivu na unyenyekevu ni sifa kuu ya Kiongozi?

    Tanzania Ni moja ya nchi maskini Duniani. Si umasikini wa kipato tu Bali upo umasikini wa maarifa unaopelekea kuhusianisha utulivu na unyekekevu Kama sifa za Kiongozi. Ninachotaka kujua, sifa hizi mbili zimewakuwa possessed na akaleta ma badiliko kwenye jamii? Ni kweli kwamba nchi inahitaji...
  7. JamiiForums Tanzania FAIDA ZA EAC: Tanzania tunapokea wafanyakazi & wanafunzi wengi zaidi kutoka nchi wanachama kuliko nchi nyingine

    Niko napitia gazeti la The East African hapa ukurasa wa tatu wanasema Tanzania tunaomgoza kwa kuwakaribisha watu wa nchi wanachama kuja nchini mwetu KUISHI na KUFANYA KAZI. Kwa ufupi ni kwamba Tanzania tunaongoza kutoa vibali vya kazi na makazi katika EAC. Kenya wanafuatia wa tatu ni Burundi...
  8. JamiiForums Tanzania Je, kutongozwa na wanaume wengi ofisini inamaanisha kuwa mwanamke ni mrembo sana au ni easy target?

    .
  9. JamiiForums Tanzania Vijana wengi CCM ni wanafki,wenye tamaa na wasio na Uzalendo

    Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo. Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
  10. JamiiForums Tanzania Vijana wengi CCM ni wanafiki, wenye tamaa na wasio na Uzalendo

    Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo. Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Vijana tunapopewa nafasi tuzitumie kutengeneza fursa nyingi kwa wengi zaidi. Hili la Sabaya ni kosa, tusahihishe

    Wasalaam, Viongozi wetu wakuu wanapoteua vijana ambao pengine hawana uzoefu wala ujuzi mkubwa sio kwamba tunastahili sana ila ni kwa sababu tunatengenezwa mazingira ya kuaminiwa kwa nafasi za juu na pengine siku moja vijana ndio washike hatamu ya uongozi wa Taifa hili. Kinachoendelea sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Tasnia ya habari imejaa wafanyakazi wasio na weledi

    Hello Wakuu, Leo katika pita pita zangu Nimepita katika Page ya Kituo kimoja cha Radio huko mtwara. Nimekutana na hii Habari iliyoandikwa na kupostiwa kwenye page yao kama nilivyo ambatabisha picha hapo chini. Kwa kweli Uandishi wa aina hii ni Aibu kwa tasnia ya Habari.
  13. JamiiForums Tanzania Wengi wasingekubali kuja, na sasa hawatakubali kurudi

    WENGI WASINGEKUBALI KUJA, NA SASA HAWATAKUBALI KURUDI Na, Robert Heriel Wengi pengine tusingekubali kuja, hata hivyo hatuna namna tumeshakuja lakini ni hakika hatutakubali Kurudi Kama tukiambiwa turudi tena. Sisemi nakufuru, wala simpi lawama yeyote isipokuwa naongea iliyoamini kabisa, wengi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Askari huyu wa Usalama Barabarani anayeongoza magari kwa mbwembwe anafurahisha wengi

    Kuna huyu trafiki anaeongoza magari kwa mbwembwe(huku anachezacheza) anaonekana kuvutia na kufurahisha watu wengi. Sijui ndio kuipenda kazi yake au laa, ila anachofanya ni kuwafanya watu wengine wanaomuona kupenda kazi zao hata kama wanazifanya katika mazingira magumu kwani anaonesha kuipenda...
  15. JamiiForums Tanzania Nembo ya CHADEMA digital yawavutia wengi

    Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO . Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ungepitia Ripoti ya CAG, wapo wengi mule wa kusimamishwa na wengi kupisha Uchunguzi

    Kassim Majaliwa , Fedha zilizochotwa hazina kwa ajili ya posho ikihisiwa hazikufuata taratibu ni ndogo sana. Ukitaka kusimamisha watumishi wengi Tafadhali rejea ripoti ya CAG , hapo tutakupigia makofi ya kutosha. Hizo ni pesa za mboga tu mkuu.
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya anatetewa na Wananchi wasiokuwa na mihemko wala Visasi vya Siasa Uchwara za Jimbo la Hai. Acheni haki itendeke

    SABAYA ANASEMEWA NA WANANCHI WASIOKUWA NA MIHEMKO WALA VISASI VYA SIASA UCHWARA ZA JIMBO LA HAI Kwanza nianze kwa ku- declare interest Mimi sijawahi kumwona ana kwa ana Dc Ole Sabaya bali nimeanza kumfatilia vema kipindi ametatua tatizo la utapeli lililowapata zaidi ya wanafunzi 500 wa Chuo cha...
  18. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu yangu Kuu kwanini nimerudi Kuiabudu Mizimu na Kuwachoka Wahubiri wengi wa Kiroho na Matapeli waliopo sasa Tanzania

    Hakuna ambaye kila ' akihubiri ' anakusisitiza Ushike neno na uamini katika Mungu Baba bali wanatulazimisha tuwaamini wao tena 100% utadhani ndiyo Wameniumba GENTAMYCINE wakati kumbe aliyeniumba ni Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo. Sasa kama tu 100% ya Wahubiri wa Kiroho ambao ni ' Matapeli '...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu alikuwa anapata watu wengi kwenye mikutano yake ya kampeni hasa mikoani?

    Hili swali unaweza kulidharau lakini ni la msingi sana hasa kwa sisi wana CCM kindakindaki. Ni nini hasa kiliwavuta watu kwenye mikutano ya Tundu Lisu? Je, ni huruma sababu alipigwa risasi nyingi? Je, ni uwezo wake wa kutoa uongozi? Je, ni mapenzi ya wananchi kwa Chadema? Au ni watanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Nakubaliana na hoja ya Spika: Serikali iajiri walimu wengi wa kiume kuliko wanawake

    Juzi spika aligusia kidogo suala la ajira kwa walimu na kuishauri serikali kutoa kipaumbele cha ajira kwa walimu wengi wa kiume kuliko wanawake. Hoja ya spika ina mashiko kwa sababu nature 'asili' ya wanawake wengi hupenda raha na sio wavumilivu wa mazingira magumu. Kwakuwa uhitaji wa walimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…