wema

Wema Bank Plc, commonly known as Wema Bank, is a Nigerian commercial bank. It is licensed by the Central Bank of Nigeria; the regulator of the nation's banking sector. As of 2019, Wema bank operates the largest digital banking system in Nigeria, ALAT By Wema, which is fully in use in all of the nation's thirty seven states and territory. Wema Bank is the fastest growing commercial bank in Nigeria.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Usikute Wema na Whozu walinunua mtoto kwa mkataba wa mzazi kutojihusisha na chochote kuhusu mtoto.

    Nitakuwa wa mwisho kuamini hapa duniani kama huyu Olie ni mtoto wa Wema na Whozu . Ninadhani kuna uwezekano mkubwa huyu mtoto amenunuliwa kwa pesa ndefu sana huku siri ikibaki baina ya wazazi, medical personnels na wazazi wa kambo yani Wema na Whozu. Huenda kuna kiapo cha maandishi cha...
  2. JamiiForums Tanzania Anachofanyiwa coy mzungu na comedian aliowapa nafasi kwenye platform yake ni ishara ya tenda wema nenda zako

    Wengi wetu tunamfahamu Coy Mzungu, CEO wa Cheka Tuu. Tukirudi nyuma kwenye historia ya stand-up comedy Tanzania, record zinaonyesha kuwa marehemu MC Pilipili alikuwa miongoni mwa waanzilishi muhimu wa stand-up comedy nchini. Lakini ni Coy ambaye alikuja kuipa industry hii nguvu mpya kupitia...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Huyu ni Wema Sepetu?

    Watu wanabadilika sana huwezi amini kama huyu ndo wema sepetu.
  4. JamiiForums Tanzania Wema Sepetu ampa onyo kali Juma Lokole kuhusu Mume wake.

    Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amempa onyo kali Juma Lokole akitaka aache kumzungumzia vibaya baba mtoto wake, Whozu, akidai tabia hiyo imeanza muda mrefu. "Heshima ni kitu cha bure sana kwenye maisha ya kila binadamu. Kuna jambo linanikwaza sana, na nimekuwa nikiliona mara kwa mara kwako Juma...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Sinza Mapambano tunaoishi karibu na Mama Wema Sepetu tunasumbuliwa na kelele za muziki nyakati za usiku

    Habari wana jamvi, Sisi wakazi wa Sinza Mapambano, wanaoishi jirani na nyumbani kwa mama mzazi wa Wema Sepetu, tunapitia changamoto kubwa kutokana na kelele za muziki unaopigwa usiku kucha katika sherehe inayofanyika eneo hilo. Kwa mujibu wa taarifa tulizonazo, Wema Sepetu amefanya sherehe ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa wema Gani ulio nao mpaka ukatae kutumia uchawi

    Mijitu mingine hovyo kabisa "utalisikia Mimi siamini katika uchawi". Wakati huohuo linachuki dhidi ya wenzake, lisengenyaji, kahaba lakiume/ lakike, tapeli , jizi , linafiki na lioga likubwa. Ndio manaa binafsi sinaga huruma na ngozi nyeusi wenzangu, hususani wabongo , yaani ukijaa kwenye mfumo...
  7. JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu atatoa milioni 5 kumuona mtoto wa wema kwanini mimi nae mhonga alfu 20 mwajuma wa mikorochini naonekana boya?

    Na mwajuma mwenyewe ana makebo furushi, ebu acheni nyieee.
  8. JamiiForums Tanzania Tarehe 23 July 2026 Kuna Wapuuzi watalipa Tsh. Million 5 kumuona mtoto wa Wema Sepetu!

    Kwamba tar 23, ndio 40 ya dogo. Sasa maza kageuza mtaji kwa kuchaji laki 1, 3, 5 na Mil 5 kumuona bwana mdogo. Watu mna hela za mchezo.
  9. JamiiForums Tanzania Kubababake! Ujerumani hatuna matani hata kidogo! Lazima tuwafunge

    Ujerumani hatuna matani hata kidogo! Lazima tuwafunge hawa wapuuzi hata kama dakika zinebaki chache. Tumewaachia kidogo tu wameshaleta mazoea! Huruma wala si malezi.
  10. JamiiForums Tanzania Nawashangaa sana wale wanaosheherekea vikwazo! Si watu wema kwa taifa letu ni wa kupigwa mawe!

    Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili. Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa...
  11. JamiiForums Tanzania Usikate Tamaa: Jifunze Kutoka kwa Wema Sepetu

    Yapo Mengi sana ,Nimejifunza kwa Muda mfupi sana , Wakati nikiendelea kuona majibizano ya wafuasi wa wema sepetu na Anti -wema sepetu, So sitaki kujiingiza huko katika Majibizano hayo , Ila Mimi natoa funzo muhimu sana katika Jamii , Mara Nyingi Watu wengi huacha ndoto zao kwa sababu ya...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Wema Sepeta acha usanii: IVF ni nini?

    IVF (In Vitro Fertilization) ni njia ya kitabibu ya kusaidia kupata mtoto kwa kurutubisha yai na mbegu za kiume nje ya mwili wa mwanamke, katika maabara, kisha kiinitete (embryo) kinachopatikana hupandikizwa kwenye mfuko wa uzazi.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Je, wasifiwe WATAALAMU wa IVF , Muhimbili au Msanii Whozu, Wema kupata mtoto!

    Kumekuwa na Inshu Moja critical ambayo inatrend Sana, Msanii wema amefanikiwa kupata mtoto Kwa mara ya Kwanza hongera kwake na Kwa mume wake. Wema Sepetu amekuwa na shida kubwa ya kupata ujauzito Kwa Njia ya kawaida, na mara zote alizojaribu ilishindikana, mimba zinatoka prematurely, hata Kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar ni watu wema sana, Uislamu wao umewafanya wawe hivyo

    1. Kuna watu wanapoteza mamilioni ya fedha ,zinaokotwa na kutangaziwa wenyewe na kukabidhiwa 2. Wakati wa Ramadhani, wanakula nje, wakipita wengine wanakarabishwa. Wakiristo wengi wanakula-Ushahidi wa hili nenda msikiti shurba kidongo chekundu mwezi wa ramadhani 3. Wakiristo wengi hasa J2...
  15. JamiiForums Tanzania Fadhira za kuwatendea wema wazazi wawili

    Assalam alaykum. Tujikumbushe fadhira za kuwatendea wema wazazi wetu Katika Uislamu, baada ya haki ya Mwenyezi Mungu ﷻ, hakuna haki kubwa kuliko haki ya wazazi wawili. Kuwatendea wema wazazi ni sababu ya kupata radhi za Allah, kuongezewa baraka, na kufunguliwa milango ya kheri duniani na...
  16. JamiiForums Tanzania Upendo, wema na uhusiano kwenye jamii

    Habari zenu, Wengine shikamoon. Si ujanja,wala usistaduu, kwenye kuishi na watu,bali unyenyekevu kama tunavyofundishwa kwenye nyumba za ibada unaweza kutuweka katika mazingira bora na kuwa na jamii makini. Kwamfano nimechunguzaaa nimegundua wachamungu wengi Wana heshima kwenye jamii kuliko...
  17. JamiiForums Tanzania Sio watalii wote ni wema wengine ni wahalifu

    Sio watu wote wanaokuja kutalii katika nchi zetu za Afrika ni watalii wengine ni wahalifu kutoka katika nchi zao , wanakimbia msara waliofanya walikotoka . Sehemu kama Zanzibar wanafika watu wa kila aina Majambazi, Drug dealers, makahaba . Tatizo letu watu weusi tunawaamini sana wazungu kwa urahisi
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wema wa rais Samia usiooonekana

    Rais Samia mwema sana , alimtembelea Nairobi, alikutana naye Ubelgiji wakati wasaidizi wa ikulu walimwambia ampotezeee akagoma, mwishoni Lisu akamtenda ubaya kwa kumtukana balaa 2. Rais samia aliamua kuwaruhusu warudi na aliwaliapa malipo yote ya Lisu na wapapmbe wote wa chadema laini cha ajabu...
  19. JamiiForums Tanzania Ujasiri: Maliyamungu wa Uganda, Ukimya wa watu wema huruhusu upumbavu kukua

    Nimekutana na bandiko moja la hadithi ya Idd Amin na ujasiri wa Maliyamungu(Maliyamungu) nikamkumbuka shujaa Humphrey Polepole na ushujaa wa kanisa Katoliki. Andiko limeandikwa kwa kiingereza nikatafsiri kwa kiswahili kwa msaada wa Chatgp. Soma hapo chini :- Wanasema hofu huwafanya hata...
  20. JamiiForums Tanzania Wema ni hakiba

    Miaka mingi iliyopita, huyu mzee alifanya maamuzi ya kiume kinoma. Alimchukua binti mdogo aliyekuwa anahitaji hifadhi na kumpokea kama mwanaye wa kumzaa. Kipindi hicho binti akiwa mdogo, mzee alikuwa anambeba mgongoni na mikononi. Alimbeba kwenda kwa madaktari wakati anaumwa Alimbeba asubuhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…