Wewe kama ni mmiliki wa Channel ya YouTube au mmiliki wa Website na unapata pesa kwa njia ya Google Adsense basi jua sasa hivi TRA wanakata Kodi mpaka huko YouTube na kwenye Websites kwa pesa unayokusanya kupitia Google AdSense. Hivyo uwezi kutoa pesa mpaka uwe na TIN namba pia, tofauti na...
Programming tafsiri rahisi ni kutengeneza programu ,kwamba baada ya kufanya programming ndio inapatikana programu ya kompyuta, undani wa kujua programming ni kufahamu sayansi ya kompyuta.
LAI : Maelezo haya ni ya kiswahili lakini kwa neno ambalo hauja lielewa kabla ya kuendelea chukua muda...
Kama hana ofisi, hujui anapoishi basi huyo ni tapeli wa mjini. Wapo wakenya, watanzania na wa Nigeria.
Wanatumia namba za nje ya nchi, wanatumia namba zisizo na usajili wa majina yao ila wako hapa nchini. Akikusajilia anamiliki acount ya usajili na hapo ndio pagumu anakuwa mmiliki. Hakupi...
Good day waheshimiwa! Mimi ni designer mzuri sana, naweza chora idea yako vizuri kabisa kwa maelezo machache tu kutoka kwako. Ila leo niko hapa kwa huduma ya UI design kwa wale watu wenye mawazo mazuri ya faida, kama unahitaji mtu wa kukuchorea idea yako uone itakavyokuwa ikiwa utaiunda nipo...
Wataalam wa tech naomba elimu yenu kuhusu maeneo hayo Apps na Websites.
Ukitaka kutengeneza apps unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani fupi?
Hivyo hivyo kwa website unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani?
Gharama za mafunzo zinaweza gharimu kiasi gani cha pesa na muda unaweza kuchukua...
Nina kifurushi cha Tigo kwenye simu. Pia hutumia hicho kwenye kompyuta.
Ajabu siwezi kufungua internet kwa kifurushi cha tigo. Ila youtube na instagram zinafanya kazi vizuri kabisa.
Nikitaka kuingia kwenye websites kama hivi JF lazima nitumie kifurushi cha voda. Shida nini?
Kwa anaehitaji huduma ya kutengenezewa website na softwares nyinginezo sikiwemo za kuratibu shughuli zote za biashara yako nk. Karibu tuzungumze kazi inafanyika katika viwango vya juu sana kwa gharama nafuu sanaa karibu
0783385667
Indonesia imezizuia Yahoo, kampuni ya malipo ya Paypal na tovuti kadhaa za michezo ya mtandaoni kwa kushindwa kufuata sheria za leseni.
Sheria zilizotolewa mwishoni mwa Novemba 2020, zinazipa mamlaka nguvu kubwa ya kulazimisha mifumo kufichua data ya watumiaji fulani, na kuondoa maudhui...
Wataalamu wetu wengi wa hizi website na blogs rangi za screen zao ni black and white.
Labda niulize kama ni sheria au lazima kutumia hii rangi ya black and white.Maana kila site unayoiona ni black and white. Kama ni sheria basi tuwekewe kifungu tuone.
Pili rangi hiyo ni majanga sana macho...
Je, biashara yako IPO Mtandaoni?
Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo.
Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
aina
akili
biashara
company
fahamu
fursa
gharama
gharama nafuu
jinsi ya
kuanzisha
kuhusu
kutengeneza
kutumia
mfumo
miaka
microfinance
mtandao
nafuu
pamoja
pesa
saccos
server
shule
tovuti
usimamizi
website content optimization
website design
websites
yako
zaidi ya
Habari za wakti huu;
Kwa jina naitwa Libera Niko Arusha ni binti wa miaka 22.Ninafanya biashara ya kuuza website na bidhaa nyingine za kidigitali.Mwanzoni nilikuwa nafanya shughuli ndogo ndogo lakini nikapata mwalimu akanifundisha jinsi ya kutengenza website kwa kutumia wordpress.Kwa sasa...
Zipo website tatu;
Kila moja inauzwa shilingi 155,000 ziko hosted kwenye wordpress cms.Unapata na emails za tano.
Website ni za utalii na zina umri wa zaidi ya miaka 3.
Ukinunua website hizi utapata punguzo la 20% na iwapo wamiliki wa website hizi watataka kuzigomboa basi watakuongezea 20%...
Salaam Wakuu!
Ni mda kidogo sija post katika Jukwaa hili.
Nimeombwa na mtu hapa nimuangalizie matokeo yake ya Form Four.
Nimeshangazwa kuona karne hii ya ishirini na moja, katika serikali ambayo ina promote na ku adopt ICT katika business operations zake, kuona kuna services zinakwama kuwa...
Ikiwa unaweza au unamfahamu yeyote mwenye yjuzi wakutengeneza website sna android apps zenye ubora na viwango vya juu, tuna kazi za haraka.
Taasisi ya Kijamii ya Kiislaam iitwayo Abraar ipo mbioni kuanzishwa na inahitaji websites na apps. Taasisi itakuwa na vitengo visivyopungua 5 au zaidi...
Wadau habari za majukumu ya kila siku? samahani napenda sana kusoma online hasa kwenye website mbalimbali lakini sasa nataka nianze kusoma course zinazotolewa na free websites kwa ajili ya kujinoa zaidi na kuongeza maarifa kichwani ili kuweza kupambana na mazingira ya kuajiajiri.
Napenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.