A need for Container Orchestration in government-traffic-intensive-websites: NECTA results case study

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,745
2,338
Salaam Wakuu!

Ni mda kidogo sija post katika Jukwaa hili.
Nimeombwa na mtu hapa nimuangalizie matokeo yake ya Form Four.

Nimeshangazwa kuona karne hii ya ishirini na moja, katika serikali ambayo ina promote na ku adopt ICT katika business operations zake, kuona kuna services zinakwama kuwa accessed kwa sababu ya traffic kubwa.

Miaka ya nyuma bila shaka hapakuepo na solutions kwa matatizo kama haya, lakini leo hii solutions zimekua nyingi sana tena kwa tatizo kama hili.

Kuna mdau hapa JF anaitwa NullPointer aliwai tengeneza a temporal solution kwa matokeo ya NACTE.

Ila mimi ningependa kuomba Government institutions sana sana zile zinazo tumia ict Kutoa huduma zao, kutumia Teknolojia ya Docker containerization pamoja na Docker Swarm na Kubernetes katika Container ochestration kuleta load balancing ya traffic na ku ensure services zinazokua na high traffic zinakua accessible kiurahisi.

Hili limekua tatizo kwa huduma nyingi za serikali mfano kuna tovuti ya serikali ya professional bodies registration ilikua affected na traffic ya users around 600,

nafikiri watu wa IT katika serikali wawe na will wawe na temporal servers za ku spin containers in case of high traffic katika baadhi ya services za serikali.

Nawaomba wa embrace Teknolojia kisawa sawa.

Yangu ndo hayo, poleni kwa kutumia kiswanglish.

Asanteni sana
 
Duh! users 600 server ina fail? Ma IT professions wa serikali wanatuangusha... misuli yote hyo ma pcm full kusolve matango wanashindwa kudeal na traffic ya users 600?
 
Back
Top Bottom