Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Kama hana ofisi, hujui anapoishi basi huyo ni tapeli wa mjini. Wapo wakenya, watanzania na wa Nigeria.
Wanatumia namba za nje ya nchi, wanatumia namba zisizo na usajili wa majina yao ila wako hapa nchini. Akikusajilia anamiliki acount ya usajili na hapo ndio pagumu anakuwa mmiliki. Hakupi
Ukisikia tangazo kuwa anatengeneza website kwa Tsh 120,000; 150,000; 200,000; 250,000 ndio gia zao. Anakuomba advance ya 100,000 au 150,000 ili asajili domain name na alipie hosting ukimpa tu baada ya hapo umekwisha. Aidha atasajili kweli kwa dola 4 bas anatoweka au anakaribia kumaliza anaomba umpe pesa zote ukimpa basi atabaki ana miliki kila kitu chako akuburuze.
Huu ni utapeli umeibuka mjini kwa kasi. Yupo radhi apromote tangazo lake instagram na twitter ila anajua atapata zaidi ya hapo.
Laini za simu wanazotumia hazina identity zao. Ukiona tangazo mpe salamu comment neno MWIZI ataelewa.
Wezi wa mjini wameibuka ukimsikia mlime block. MEDIAPIX, DATAZONE TECHNOLOGY... wakisema hawajawahi kuwa wezi nitawapa ushahidi wa namna wanavyoibia wateja wao.
Be careful.