wazo

  1. A-Z: Wazo langu la biashara lililokamilika kwa kila kitu linalohitaji Mtaji

    Bila ya kupoteza muda ningependa kuchukua nafasi huu kwenda moja kwa moja kwenye mada husika. Ninakwenda kufunguka na kueleza kila kitu hatua kwa hatua juu ya wazo hili lilipotokea na kwanini muda huu ni muafaka kulitekeleza Bila kificho nitaeleza kila kitu kinachohitajika na namna wazo hili...
  2. Komaa na wazo lako usibabaike na mawazo ya wengine, utafika tu

    Nataka kushare nanyi experience moja katika utafutaji. Kuna kipindi nilipoteza muda sana kwa kuhama hama. Nilikuwa na marafiki zangu kadhaa watafutaji, na Mungu kawabariki yani mtu kupata milion 7 kwa miki au 50 kwa mwezi kwao ni kawaida. Sasa nikawa ninaona kile ninachofanya mimi kama...
  3. J

    Je, zuio la mikutano ya upinzani kwa miaka 5 ni faida au hasara kwa waliotoa wazo hilo?

    Bashiru na polepole hawana tena uwezo wa kuiokoa ccm isife. Chama kimegawanyika vipande vipande kwa sababu ya watu hawa wawili. Hawakuwahi kuwa wana CCM kabisa, wamekuja wameleta aidia za kizamani kabisa wakidhani Watanzania wako stone age. Hawa wapo chamani kwa maslahi yao tu ya kupata pesa...
  4. Wimbi kubwa la vijana wasomi 20's kujitoa uhai, nini maoni yako?

    NI wiki iliyopita kuna kijana alijinyonga ma jana naskia mwingine tayari, Mwaka jana kuna aliyejitupa ghorofa ya supermarket. Hao wote walikuwa wasomi wenye miaka ya ishirini na kitu wakidai wana stress. Hili wimbi pengine linaweza kuwa kubwa sana tusipojiangalia. Mchango wako ni wa muhimu
  5. Wazo la biashara ya mazao na mifugo

    Wazo la biashara ya MAZAO na MIFUGO Niende moja kwa moja katika mada, nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu masuala ya mazao na mifugo na katika hayo nimepata taarifa muhimu sana na nikaona nisiwe mchoyo niweze kushiriki nanyi kwa pamoja tuinue hali zetu za kiuchumi. Ukiangalia katika mwaka...
  6. Wazo huru: Hii ndio sababu ya CHADEMA kuchangisha michango ya mfuko wa Kampeni (nyuma ya panzia)

    Kwanza naomba nitangulize kuomba radhi wale wote ambao nitawakwaza kwa wazo langu hili, Ila naomba tu ileleweke kuwa nimetumia tu haki yangu ya kikatiba kutoa maoni. Kwa kifupi sana ni kwamba kilichopo nyuma ya hii changia changia inayo endeshwa na CHADEMA kutunisha mfuko wa kampeni ina kitu...
  7. Wazo la Biashara ya Kuuza zawadi

    Dunia inabadilika kila siku,binadamu amekua kiumbe hatari zaidi ingawa wenye upendo wapo na wabaya pia wapo. Ulimwengu huu ni wa usawa na haki hivyo kila mmoja wetu anahaki ya kupata sawa sawa na wengine kulingana na nafasi alio nayo. imekua rahisi kuonesha upendo kwa uwapendao kwa kuwatumia...
  8. GE2020 CHADEMA yawawekea pingamizi ACT-Wazalendo Kata ya Wazo na Kunduchi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewawekea pingamizi wagombea udiwani wa ACT katika kata ya Wazo na Kunduchi. Pia, huko Jimbo la ISIMANI, mgombea Ubunge wa CHADEMA Patrick Olesosopi kamuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa ACT-Wazalendo ndugu Haonga kuwa hajui kusoma na kuandika...
  9. Njia rahisi ya kupata wazo bora la biashara, imenisaidia sana

    IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima. HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA 1. TUMIA UJUZI ULIO NAO Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa...
  10. Rais Magufuli chonde chonde muite Stephen Masele akupe wazo lake

    Nilisoma kwenye mitandao Stephen Masele amekubaliana na kampuni ya Disneyland kuja kuwekeza Simiyu nilishangaa sana. Labda ilikuwa uzushi .. Uwekezaji wa dollars zaidi ya bilioni 10 uishie Kwa mbunge.. Lakini vyovyote vile idea ya kuwaleta Disneyland kuwekeza ni golden idea ...kama kweli...
  11. Aliyetoa wazo la kusajili YouTube Channels pia aangalie namna ya kusajili akaunti za facebook,kuna video zinarushwa tena laivu,wapinzani wamejaa huko

    Naona teknolojia inataka kuipiga kumbo sheria yetu iliyokuwa inadhibiti traditional media-magazeti-tv-redio. Hizi ilikuwa rahisi, unapiga pini tu wote kimya. Lakini sasa teknolojia inataka kuleta mchezo wa paka na panya,tunakaba huku, teknolojia inaleta hiki,unakaba hiki, inaleta hiki, ila...
  12. Wazo la project fulani

    Closed 13/08/2020
  13. Akili si ya kuhifadhi wazo, bali ya kubuni wazo

    TAFAKURI …. AKILI SI YA KUHIFADHI WAZO, BALI YA KUBUNI WAZO. Unatoka kazini ukiwa na mambo mengi kichwani . Ghafla unakumbuka unatakiwa kupitia kitu muhimu nyumbani . lakini unasema nikifika tu nyumbani nitamtuma mtoto akanunue . Lakini unapofika nyumbani unakumbana na vitu vingine tena vingi...
  14. Wazo: Eneo la Makaburi ya Viongozi na Mashujaa ya Kitaifa Haliko Tayari Dodoma?

    Watanzania wenzangu poleni kwa msiba wa Mzee Mkapa. Tunapoendelea kuijenga Dodoma Kama Makao Makuu, ule mpango wa kuwa na eneo la Makaburi ya viongozi na Mashujaa wa Kitaifa ulifikia wapi? Sidhani Kama mfumo wa kuwazika Viongozi/Mashujaa kila mtu kijijini ni endelevu kwani watasahaulika na...
  15. Wazo langu! Ingependeza kama zoezi la Sensa lingeambatana na upimwaji wa Virusi vya Corona

    Ningekuwa mwanasiasa au nipo kwenye kiwango cha kusikilizwa na Serikali bila kupingwa kwa asilimia kubwa, basi ningeishauri Serikali kila kipindi cha Sensa kuwe na taratibu za upimaji COVID-19 na maradhi mengine makubwa ya kuambukiza.
  16. Tuligeuze wazo la mchina la kusambaza Bonanza nchi nzima kuwa fursa kwenye biashara

    Kwenu great thinkers, hapa Naitaji michango ya mawazo yenu namna ambavyo tunaweza kulitumia wazo la mchina katika shughuri zetu. Mchina ametumia fursa ya kuwasambazia Bonanza wahitaji halafu yeye anakuja kuchukua faida, frem ulipie wewe, umeme ulipie na mlinzi juu yako, Sasa huoni Kama...
  17. Mkakati wa kuvutia watalii wa Dkt. Kigwangalla - "Relevance" yake na wazo mbadala

    Ndugu wana JamiiForum, Leo waziri wa maliasli na Utalii, Mh Dkt Kigwangala, ameshirikisha umma kupitia anuani yake ya twitter mkakati wa kuvutia watalii kutoka nchi za kiafrika (a strategy for regional tourism). Kwa kifupi, mkakati huu umelenga kuzifikia na kuzivutia nchi zenye mapato makubwa...
  18. R

    Wazo Huru: CCM na Serikali yako mnakwama wapi?

    Asalam aleykum wapendwa wana siasa na wajenzi wa uchumi wa nchi yetu Tanzania. Hongereni kwa Waislam tunaoendelea na ibada yetu ya mwezi mtukufu wa Ramadhani huku tukikabiliwa na janga kubwa la Mlipuko wa Covid-19. In sha allah mwenyezi Mungu atatufanyie wepesi katika hili. Hoja yangu ni fupi...
  19. Wazo la Makonda siyo baya ila lianze na Serikali kuonesha mfano

    Wazo la RC wa Dar kuwasihi wenye nyumba kupunguza kodi hasa wakati huu wa janga la Korona siyo baya kutokana na hali mbaya ya uchumi kwa wengi kwa kuwa biashara nyingi zimesimama au kufa, ofisi na taasisi nyingi zinashindwa kulipa wafanyakazi wao. Kwa sasa wenye uhakika wa kipato ni watumishi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…