wazo

  1. RMK Freelancers Agency

    Njia nyingine mbadala ya kupata wazo la Biashara(Business Idea)

    Kama unatafuta business idea, angalia kwanza ni biashara gani wageni (foreign investors) wanaanzisha nchini, Kwanini nasema hivi? Kwa sababu ÷ • Mara nyingi hawa wageni kutoka nje hutumia 6–12 months kufanya market research kabla ya kufungua biashara. Kwa kuangalia tu wanachofanya, unapata...
  2. Scared

    Nina million 1 nifanye mishe Gani mpaka mwezi wa 6 iwe imefik1 5m wakuu naombeni mnisaidie wazo

    Naombeni mnisaidie wazo la biashara yeyote Nina million 1 nataka mpaka mwezi wa 6 iwe imefika 5m ndio Lengo langu Kuna kitu nataka nifanyie
  3. stakehigh

    Mungu alitoa wapi wazo la kumuumba Binadamu? Haya ndo majibu

    Mm ni mkristo kidini lakini kiasi flan navutiwa sana na dini za wahindi, Nimesoma vitabu kadhaa vya dini za kihindi japo vipo vingi huezi maliza vyote, lakini hivi ndo baadhi THE VEDAS, GURU SAHIB. katika dini ya wahindi vitabu vipo vingi ukijumlisha na Miungu yao pia ipo Mingi, kwa mfano kuna...
  4. figganigga

    Nina Wazo: Watanzania tuujenge Mnara wa kuwakumbuka Wapigania haki wa 29 Oktoba 2025

    Ninataka kuona Mnara kuwakumbuka Wapigania haki wa 29 Oktoba 2025. Watu wengi wamekufa wengi wamepotezwa. Majina yao yatakuwa hadharani. Nimemuandikia Barua Waziri wa Vijana ila bado hajajibu Barua. Nimemuomba hela zinazotengwa kwaajili ya kuwawezesha Vijana, kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027...
  5. P

    Wazo; TRA marathon,jukwaa rafiki la kuwakutanisha tra na walipa kodi!!!

    Someni wazo mtoe maoni yenu!! Maendeleo ya taifa lolote hujengwa juu ya mshikamano na ushirikiano kati ya Serikali na wananchi wake. Ushirikiano huu hujidhihirisha kupitia ushiriki wa wananchi katika kulinda amani, kushiriki katika shughuli za maendeleo, pamoja na kutekeleza wajibu wao wa...
  6. dosho12

    Multiverse/parralel universe au wazo la many world interprentation wenye quantum mechanics je ni wazo tu kisanyasi au lina uhalisia ndani yake

    Multiverse ni wazo la kisayansi linalosema kuwa kuna uwezakano wa kuwa na ulimwengu au dunia nyingi na miongoni mwao huenda zikawa sawa na dunia yetu kumaanisha kuwa na version ya watu wa dunia na kanuni sawa na za dunia, ‎ ‎Wazo hili sio geni bali limeanza zamani watu kama Atomist [mwana...
  7. R

    WAZO LA LEO: Who Commits Genocide

    Genocide is committed by those who give orders and subordinates that obey these orders. Muwe na siku njema.
  8. kagoshima

    Nawaza kwa sauti kubwa juu ya huyo aliotoa wazo huko kwenye vikao vyao la kuteka na kuua watanganyika

    -Kuna kisa nimesikia titok vijana watatu walikamatwa mchana kweupe tarehe 4 December huko Tarime na wote kukutwa wameuawa baada ya kupotea kwa siku kadhaa wakiwa wamevunjwa shingo. What is this all about? Yote haya kwa ajili ya kulinda CCM isitoke madarakani kweli? Imagine mmoja wa hao vijana...
  9. Masalu Jacob

    Je, kuna kijana yoyote mwenye wazo la biashara ambalo ni jipya la kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja

    Habari Tanzania ! Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo. Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja kwenye hilo wazo lako. Mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam...
  10. R

    Wazo: Imeundwa kuifuta Chadema

    Muda utaongea............., Spacetime kama alivyosema Albert Einstein
  11. The dumb Professor

    Ni wazo tu

    Kwanini tusianzishe utamaduni kila anapofariki kiongozi mkubwa CCM weekend hiyo inakuwa spesho kwa ajili ya kusikitika kifo chake. Bar zote na sehemu za Starehe wanakuwa na theme ya kusikitikia kifo hicho kwenye weekend hiyo?
  12. N

    Ni biashara gani naweza fanya kwa mtaji wa laki 3?

    Wakuu, ni biashara gani mtu anaweza kuanzisha ndani ya miezi 6 hadi mwaka, akiwa na kipato cha Shilingi laki 3 kwa mwezi, ambayo akijitahidi ina uwezekano wa 95% ya kufanikisha au kuboresha maisha yake?
  13. Mzee Mwanakijiji

    PostGE2025 Wazo Fyatu: Wamezoea Siasa za Kulipana, Hawaamini Kukataliwa!

    Na. M. M. Mwanakijiji Ni wazi kuwa kuna kitu kinawasumbua watawala wetu walioshindwa. Hawaamini kuwa wanakataliwa na maelfu kama siyo mamilioni ya Watanzania na kukataliwa huku hakuwaingii kichwani. Baada ya mauaji makubwa kutokea kati ya Oktoba 29 na Novemba 4 watawala wetu hawa wamebakia...
  14. Kalaga Baho Nongwa

    Nakupa wazo la biashara bongo, ukishindwa kulitekeleza liboreshe hapahapa walitekeleze wengine

    Kwema wakuu Unajua watanzania wengi tunakosa maen3o ya kuinjoi, na bqadh ya michezo mingi inayoweza kutufurahisha ni ile ambqxo wengi wetu wqtazamani sio washiriki. Kumekuwa na haja ya watu wazima nao kupata s3hem ya kurelax na ku'fun' Haja hii ya uwepo wa hizi shughul unaniweka karibu na...
  15. M

    PostGE2025 Aliyetoa wazo la kuua watu tarehe 29 Oktoba kauharibia sana utawala huu

    Inawezekana kwa 2001 kule visiwani hili wazo lilifanya kazi kwa sababu mbalimbali na sababu kuu ni kutokuwa na maendeleo makubwa ya teknolojia kwa wakati huo. Inasemwa kwamba visiwani kulikuwa na mauaji ya kutisha na kikatili mno. Wasimuliaji wanadai hata waliokuwa wakikimbilia nchi jirani wengi...
  16. Mzee Mwanakijiji

    PostGE2025 Wazo la Leo: Kwa Mwoga huenda Kicheko kwa Shujaa Kilio -Nimewaelewa Wahenga

    Nilikuwa sijawahi kuutafakari sana huu msemo. Sikuelewa kwanini kwa waoga wacheke na mashujaa walie. Sasa nimeelewa. Wapo wanaochekeana na kupongezana..wanapigiana saluti na kugongeana "high five". Tunawaona wanacheka lakini nyuso zao zimejaa hofu..hoja zao zimejaa vitisho...kauli zao ni za...
  17. Mzee Mwanakijiji

    Wazo Fyatu: Jaribio la Kumkinga Samia Linaendelea - Tutarudi Tulikotoka?

    Na. M. M. Mwanakijiji Tanzania tuliyoijua kabla ya Oktoba 29, 2025 haipo tena, haiwezi kuwepo tena, na hata tukiitaka kwa machozi hatuwezi kuipata tena. Tanzania iliyojivunia “umoja na mshikamano” na “amani na utulivu” imetoweka kama ukungu wa alfajiri na kama umande wa asubuhi imeyeyuka. Siyo...
  18. Mad Max

    Aliyeleta wazo la kodi ya “HIV Response Levy” unapoagiza gari, apate Pangusa kidudu kikatike!

    Kuongeza Laki 1 kwenye kila gari kuchangia ishu za Ukimwi naona kabisa ni kuongezeana mizigo isio na ulazima kwa Watanzania. Kuongeza Elfu 50 kwa EV na Laki 1 kwa magari ya kawaida na 200 kwa cc2500 kwenda juu ni unyonyaji. Kua na gari Tanzania ni anasa.
  19. Mzee Mwanakijiji

    Wazo Fyatu: Tundu Lissu Asijitete - Ameshakubali hatima yake mikononi mwa watawala!

    Na. M. M. Mwanakijiji Mashtaka ya tuhuma za Uhaini dhidi ya Tundu Antipas Lissu hadi yalipofikia sasa hivi yanatuelekeza kuwa mashahidi wa viti vya mbele vya mashtaka ya Tundu Lissu dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Japo kesi hii imeletwa na watawala katika jitihada za kumnyamazisha...
  20. mkokamoto

    Swali: Kabla ya kuwalalamikia watanzania kuwa waoga wa kudai haki zao; Je, ni kweli wanajua wanahitaji hizo haki?

    Habarini ndugu zangu wana JF, jana nikiwa naburudika bar ukazuka mjadala wa walevi kuhusu no reforms no election Kinachosikitisha asilimia kubwa ya wadau waliochangia hoja wanadai hizo reforms hazina msaada wowote kwa raia wa kawaida zaidi zaidi ni janja janja ya Tundu Lissu kujipatia urais...
Back
Top Bottom