waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ndugulile afungua mkutano wa 41 wa Sourthern Africa Telecom Association(SATA) wa nchi za SADC

    Waziri wa Mawasiliano Teknolojia na habari Dkt. Faustine Ndugulile amefungua Mkutano wa 41 wa mashirika na makampuni ya mawasiliano katika nchi za Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC) unaojulikana kama Sourthern Africa Telecom Association (SATA) ambapo nchi ya Tanzania kupitia Shirika la...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ahoji kwanini pesa zinakwama Wizara ya Fedha. Amtaka Waziri kujiandaa akisema "Siku ya Wizara yake nitakamata shilingi mwenyewe"

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai leo amehoji kwanini Fedha zinakwama Wizara ya Fedha akimtaka Waziri kujiandaa akisema, "Siku ya Wizara yake nitakamata Shilingi mimi mwenyewe" Ndugai ametoa kauli hiyo Bungeni Dodoma wakati Bunge likijadili Hotuba ya Wizara ya Nchi - Ofisi ya Makamu wa...
  3. msovero

    JamiiForums Tanzania Ajira 6,000 za walimu zagubikwa na utapeli. Waziri Ummy amuagiza Katibu Mkuu kufanya uchunguzi

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema kuna Watu wamejitokeza mitaani ambao wanawadanganya Walimu ambao hawajaajiriwa kuwa wanatakiwa kutoa Tsh. Milioni moja ili wapate ajira kwa haraka kwani nafasi hizo hazitatangazwa na Serikali bali zitatolewa kisirisiri. Waziri Ummy ameyasema hayo mapema...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ninamjibu Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu kuhusu kuwapongeza viongozi wa Tanga kwa kutogombana

    Bila kuwachosha wanajukwaa nitaandika kwa kifupi sana. Juzi waziri wa Tamisemi na mbunge wa Tanga alikuepo jimboni kwake. Kupitia mitandao ya kijamii nimeona eti akiwapongeza viongozi Tanga kwasababu hawagombani. Naomba nimwambie hawagombani kwasababu lao ni moja (kuinyonya Tanga). Unadhani mtu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania WAZIRI wa KILIMO Zanzibar hili Lako, enhee Wadudu wanfurutu ada matunda hayaliki

    Kama Wazenji hapa wapo au humu wamo napenda wanifikishie Raisi wa Zanzibar Dr. Husein Bin Ali Bin Husein el Mwinyi ya kuwa sasa ni aibu kwa matunda ya Zanzibar, ulitafunalo lina ndudu aka funza. Hili sio la Raisi ni la Wizara ya Kilimo na waziri husika wa Zanzibar hapa Tanganyika sijawahi kula...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Zamani Wa Ulinzi Wa Burundi Meja Jenerali Cyrille Ndayirukiye Amefariki Leo Akitumikia Kifungo Cha Maisha Jela

    Meja Jenerali Cyrille Ndayirukiye alihukumiwa kifungo cha maisha jela Januari 2016 kwa kuhusika jaribio la kuipindua Serikali ya Mwendazake Piere Nkurunziza. Jaribio hilo lililoshindwa lilifanyika Mei 16,2015 wakati Mwendazake Piere Nkrunziza akihudhuria Kikao cha Wakuu wa Jumuiya ya Afrika...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy amtaka DED wa Bumbuli kujitathmini kama bado anazo sifa za kuendelea na majukumu yake!

    Waziri wa Tamisemi amemtaka mkurugenzi wa Bumbuli kujitsthmini yeye mwenyewe kama bado anafaa kuendelea na majukumu yake. Waziri Ummy amesema Bumbuli inaongoza kwa ubadhirifu wa fedha za umma na kamwe hatamvumilia mkurugenzi huyo na amemtaka achukue maamuzi magumu kabla rungu la Rais Samia...
  8. msovero

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy acha kuwasakama wakurugenzi wako. Hata wewe unafanya kazi kwa mazoea

    Mheshimiwa Rais alisema mawaziri wakileta vitu ambavyo havieleweki tuwakosoe. Kwa misingi hiyo naomba nitumie jukwaa hili kumkosoa waziri ummy mwalimu. Jana kwenye press conference na waandishi wa habari waziri ummy alionyesha masikitiko makubwa juu ya watendaji kufanya kazi kwa mazoea. Ummy...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Waziri mwenye mamlaka chunguza Idara ya Kazi mkoa wa Arusha

    Wasalam! Mkoa wa Arusha naweza sema kumekuwa na malalamiko mengi sana juu ya ukiukwaji wa sheria za kazi hasa kwa makampuni binafsi. Naomba nisiyataje hapa ila nishauri tuu kuwa ipo haja ya kupitia malalamiko ambayo ni mengi mno yamefikishwa idara ya kazi mkoa wa Arusha lakini bahati mbaya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Mwita Waitara atolewe kwenye Unaibu Waziri

    Ifike mahali wanaoteua wateue watu makini wakulisaidia Taifa si kuteua tu almradi. Binadamu Wana tabia zinazoonyesha kwa macho ya nyama na azifichiki. Tabia ya ulevi uliopitiliza haijifichi na mtu wa aina hii nivigumu kumpa watu awaongoze. Alichofanya Waitara Bungeni leo chakushindwa kutaja...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso ameigiza kuwasimamisha watendaji wa wizara yake walioko Morogoro

    Kwa uchunguzi wangu nimestukia maamuzi haya kwa sababu kama ni ubadhirifu ulianza zamani wakati Aweso akiwa Naibu waziri, kwa nini hakuona tangu zamani? Umbea wangu hatimaye umeangukia pazuri. Waziri Aweso anaigiza na huenda alikuwa ni sehemu ya ufisadi huu. Hii ni kutokana na urafiki wake wa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anavamia lini ATCL?

    Mabibi na mabwana tumesikia Waziri Mkuu kuvamia UDART leo tena kazukia SGR. Vipi kwenye madege yetu? Tupeane habari wakuu. Je, anao mpango wa kutimba chighafla ghafla hapo ATCL pia? Bila shaka yale mabilioni alivyosema CAG yatakuwa yanamfikirisha naye pia. Mrejesho tokea ATCL utatupa picha ya...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Treni ya SGR kuanza majaribio Julai 2021

    Hayo yamesemwa leo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania alipotembelea stesheni ya kisasa iliyojengwa eneo la Gerezani jijini Dar es salaam. Waziri mkuu Kassim Majaliwa aliupongeza uongozi wa shirika la reli nchini TRC kwa kusimamia huo mradi huo unaotekelezwa na kampuni ya Yapi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Mabasi mabovu ya mwendokasi ni bora Serikali iyauze kuliko kuyaacha yakiozea pale yard

    Waziri mkuu mh Majaliwa ameshauri mabasi mabovu ya mwendokasi ni bora yauzwe kuliko kuyaacha yakioza pale yard Waziri mkuu amesema hayo baada ya kushuhudia mabasi takriban 50 yakiwa yamelala kabisa kwa ubovu na yakizidi kuchakaa. Chanzo: ITV habari Ramadhan Kareem!
  15. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali wapikwe na Taasisi ya Uongozi - Waziri Mchengerwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa azitaka wizara, idara na taasisi za serikali kuhakikisha zinapitisha viongozi wake katika mafunzo yanayoandaliwa na kutolewa na Taasisi ya UONGOZI. Waziri Mchengerwa aliyasema hayo wakati wa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia Bunge liko chini ya Rais wa JMT, Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais na mikutano ya Bunge inaahirishwa na Waziri Mkuu

    Haya mambo ya mihimili ni lugha za kisiasa tu lakini kiuhalisia Rais wa JMT yuko juu ya Bunge na Mahakama. Ndio maana Mtendaji mkuu wa Bunge ni mteule wa Rais na anafanya kazi kwa karibu " zaidi " na Waziri Mkuu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Rais ana uwezo wa kulivunja Bunge. Watendaji...
  17. Kasomi

    JamiiForums Tanzania MOROGORO: Waziri Aweso awasimamisha kazi watumishi sita

    MOROGORO :- Waziri Aweso awasimamisha kazi watumishi sita Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewasimamisha kazi watumishi sita akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA), Tamimu Katakwemba pamoja na Afisa Maji Bonde la Wami-Ruvu, Simon Ngonyani kwa tuhuma...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini Dotto Biteko ulisubiri ifike tarehe 17 Machi, 2021 ndiyo uiseme hii Kauli yako iliyojaa 'Unafiki' mwingi? Tumewachokeni sasa!!

    " Sekta ya Madini nchini haitakiwi iwe au iwekewe Sheria Kali kwa Wadau wake kwani itawakimbiza na hatutopata Faida yoyote kama Serikali na itatuchelewesha kama nchi. Tuongozwe na Busara pamoja na Hekima na siyo Ukali wa Kupitiliza " Nimemsikia akizungumza haya Leo Asubuhi katika Kipindi cha...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenista: Tusipoondoa udumavu tutakuwa na watoto wasiofanya vizuri darasani

    Waziri wa Nchi (Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Walemavu) Jenista Mhagama amesema kuna Mikoa inafanya vizuri katika Uzalishaji wa Chakula lakini kiwango cha Utapiamlo na Udumavu bado kipo juu Akiwa Bungeni Dodoma amesema, "Mkoa wa Iringa hali bado sio nzuri, kiwango cha Kitaifa ni 40% lakini...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Miradi yote ya awamu iliyopita itatekelezwa

    Baada ya hoja kadhaa wiki hii kuibuka za kumuacha Rais Samia Suluhu aidha Kuandika kitabu chake au aendelee na kilichopo, waziri mkuu wakati akihitimisha hoja yake ya bajeti, amesema serikali ya awamu ya sita itaendelea kukamilisha ahadi zikizotolewa wakati wa kampeni zilizopo kwenye ilani ya...
Back
Top Bottom