waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Usiweke alama ya vidole zaidi ya mara moja unaposajili laini

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ametoa wito kwa wananchi kutoweka alama za vidole zaidi ya mara moja wanapokuwa wanasajili laini ili kuepuka kumsajilia mtu mwingine ambaye ana nia ovu. Aidha amesema watatoa muda maalumu kwa kila mwananchi kuhakikisha namba...
  2. JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Rais abeba jukumu la Waziri wa Ulinzi kufuatlia ongezeko la mashambulizi nchini humo

    Rais Roch Marc Christian Kaboré amechukua jukumu la Waziri wa Ulinzi kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yenye lengo la kudhibiti mashambulizi ambayo yamelikumba Taifa hilo. Makundi ambayo awali yalikuwepo Nchi jirani ya Mali yameingia Kaskazini na Mashariki mwa Burkina Faso na kufanya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu kwanini sheria ya bodi ya mkopo ina ubaguzi?

    1.Ilipoanzishwa VRF 6% mwaka 2013 ikatumiwa kwa wote hata wale waliokopa kabla ya 2013. 2. Ilipoanzishwa makato 15% mwaka 2016 ikatumika kwa wote hata wale waliokuwa wanakatwa kabla ya 2016. 3. Ilivyofutwa VRF 1st May 2021 na Rais Samia imeanza kutumika kuanzia mwezi huo huo May 2021. Huku...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje: Wawekezaji na Wafanyabiashara sasa wanarudi, foleni Wizarani ni kubwa

    Namsikiliza mama Waziri hapa anasema kuwa hali ilikuwa mbaya ila Wawekezaji wanarudi kwa kasi, foleni za Wafanyabiashara kutoka nje zimekuwa kubwa, na baadhi ya mabalozi wakiri kurahisishiwa kazi na mtindo wa Samia alioanza nao kwani kabla kujitetea kulikuwa ni kwingi mno. SOURCE TBC 1 SIKU...
  5. JamiiForums Tanzania Anachoongea Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania-Mulamula

    Huyu Waziri anaongea live now Channel Ten, yaani anachoongea sikutegemea kuongelewa na Waziri anaongea kama BAVICHA purely. Anaponda sana awamu iliyopita sijui ilikua inakwepa mataifa mengine sijui ilikua na matatizo na EU mpaka Mabunge yao yakawa yanaongeleka. Yaani full kumponda marehemu...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Siku 100 za rais Samia, Sekta ya nishati imepeleka neema kwa wananchi, Vijiji 400 vimepata Umeme

    SIKU 100 ZA RAIS SAMIA, UMEME VIJIJI 400 Na. Georgina Misama - MAELEZO Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema katika siku 100 za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Sekta ya nishati imepeleka neema kwa wananchi wa maeneno mbalimbali huku akitaja kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri wa afya wa Uingereza ajiuzulu kwa kuvunja sheria za corona

    Waziri wa afya wa Uingereza Matt Hancock amejiuzulu. Hancock amejiuzulu baada ya kuvunja sheria ya kuthibiti kuenea kwa virusi vya corona kwa kuweka umbali wa mtu mmoja hadi mwingine akiwa na msaidizi wake mkuu Gina Coladangelo anayedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi naye. Gazeti la The Sun...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu na TAMISEMI, ni sawa Wanafunzi Shule za Serikali kuambiwa waende na dissecting kit na vitabu vya tahasusi?

    1. Mwanangu amechaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano na sita (F. V & VI) mwaka huu 2021 Shule ya Sekondari Nyantakara katika tahususi (Combination) ya Chemistry, Biology & Geography (CBG) iliyoko wilaya ya Biharamulo mkoa wa Kagera. Hii ni shule ya serikali ya Tanzania. 2. Licha ya...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengelwa aangukia pua zoezi la upandishaji madaraja watumishi wa umma, vilio vyatanda kila kona

    Waziri Mchengelwa una yapi ya kuwaambia watumishi baada ya kuwaaminisha kuwa wote wanaostahili kupanda madaraja watapandishwa na watalipwa kuanzia mwezi huu na umewaacha hewani huku idadi kubwa awaoni badiliko lolote. Walio karibu na waziri nisaidieni kumfikishia hii
  10. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utumishi aanzisha mfumo wa kielekroniki unaoitwa "Sema na Waziri" kupoke malalamiko ya watumishi na wananchi

    WAZIRI wa Nchi, Ofi si ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, amesema serikali haitomvumilia mkuu wa idara katika taasisi ya umma atakayesababisha mtumishi akose stahili yake au mwananchi kukosa huduma bora. Mchengerwa amesema hayo Dodoma wakati akifungua...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu na Waziri wa TAMISEMI liangalieni hili ni tatizo

    Baadhi ya shule za private wanawasumbua wazazi dakika za mwisho mwisho Mtoto anasoma kidato cha kwanza - cha tatu anapoingia kidato cha nne akipata div two au three anaitwa mzazi anaambiwa amuhamishe mtoto sababu inasemekana shule inataka division one tu ili iweze kuongoza kwenye matokeo ya...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu kama kazi imemshinda ajiuzulu, walimu shule binafsi wanalipwa mishahara finyu na hasemi chochote

    Hata hajui unyanyasaji unaofanya na waajiri shule binafsi na she doesn't bother kujua yeye kutoa matamko tu yasiyotekelezwa. Walimu wanalipwa laki moja au mbili huko private na wanafanyishwa kazi mchana na usiku na hawaruhusiwi kabisa kuoa au kuolewa. Ukioa tu umejifukuzisha kazi. Simu...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba: Yanga SC tuachaneni na Morrison kwani Makambo anakuja

    Haya Mwenzenu huyu ( tena Waziri ) na Mfadhili wa Kujificha Mwigulu Nchemba kasema hivi nyie ni nani mumkatalie? Chanzo: TBC1 Bunge Live hivi punde tu.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, kukata hela katika muda wa maongezi ni chanzo cha mapato

    Kuna kitu ambacho sikielewi kwa hawa viongozi wetu hususani katika Muhimili wa Bunge, hawa wabunge hawalipi kodi yoyote katika posho zao na wanapokea posho nyingi tu ambazo hazina makato. Lakini cha ajabu wanapopewa jukumu la kubuni vyanzo vya mapato kwao uwa ni mtihani mkubwa sana japokuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy aagiza kuapishwa wakuu wa Wilaya kesho

    Dar es Salaam.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tamisemi, Ummy Mwalimu ameagiza wakuu wa mikoa kuwaapisha Wakuu wa Wilaya wote walioteuliwa kuanzia kesho Jumatatu Juni 21, 2021. Waziri Ummy ametoa agizo hilo leo Jumapili Juni 20, 2021 muda mchache baada ya kumaliza ziara yake yake ya kukagua ujenzi...
  16. JamiiForums Tanzania Sikubaliani na suala la Mbunge kuteuliwa kuwa Waziri

    Ilitakiwa iwe hivi. Uwaziri uwe ni kazi ya utumishi, mtanzania mwenye elimu ya juu inayoendana na hiyo wizara, mwenye uzoefu na mwenye sifa za kuongoza wizara hiyo atume maombi kuomba kazi ya uwaziri. Kwani mbunge kuwa waziri unamfanya kuwa na vyeo viwili hiyo ni poor allocation of employment...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu ninaomba ufafanuzi wako kidogo juu ya Makato ya Vocha

    DKT MWIGULU, WAZIRI WA FEDHA NINAOMBA UFAFANUZI KIDOGO JUU YA MAKATO YA VOCHA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kwanza Mhe Waziri nikupongeze kwa hotuba YAKO nzuri ya Bajeti. Mimi si mchumi, lakini niliisikiliza na nimeisoma nimeona ni bajeti ambayo inagusa maisha halisi ya Mwananchi. Ni bajeti...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri (Mwanayanga) Innocent Bashungwa toa kauli ya mwisho ya Serikali je, Dar es Salaam "Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ipo au haipo?

    Katika ile Barua ya Kusimamisha Mchezo (Mechi) ilisema Serikali yako na kupitia Wizara yako ya Michezo ndiyo mliisimamisha. Siku zinakaribia na kuna Timu inasema haitocheza hadi ipewe sababu ya maana ya Kusimamisha ile ya awali. Tafadhali Waziri Bashungwa jitokeze hadharani, toa sababu ya...
  19. JamiiForums Tanzania Siku ya nne sasa hakuna maji hapa Sinza-Palestina. DAWASCO ipo?

    Salamu Maeneo tajwa hapo juu tulishasahau adha ya kukatika kwa maji. Ila sasa tupo siku ya nne maji hayatoki na hata hakuna taarifa kwanini hali imekuwa hivyo. Wiki mbili zilizopita yalikatika kwa siku mbili japo ilitangazwa maana ni almost Mji mzima haukuwa na maji. DAWASCO mpo wapi? Waziri...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hiyo Kodi itakayotozwa pindi nitakapokuwa naingiza vocha ni tofauti na hii ambayo anakatwa mtoa huduma (VAT)?

    Mh waziri ukweli ni kwamba Mh Zungu anakudanganya utarudisha huo uwaziri kwa mama siku zinahesabika. Hivi wewe Mwingulu na PhD yako ni wa kuokota mawazo ya kijinga ya Zungu? Uzalendo haupimwi kwa kulipa tozo za kuumizana, Mh waziri ivi hiyo Kodi itakayo tozwa pindi nitakapokuwa naingiza vocha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…