waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TEF yamtaka Waziri Nape kuyafungulia Magazeti ya Mawio, Mseto na Tanzania Daima

    KARIBU WAZIRI NAPE, ASANTE DK. KIJAJI Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limepokea kwa matumaini uteuzi wa Mhe. Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. TEF pia linamshukuru na kumpongeza kwa kuteuliwa katika Wizara nyingine, aliyekuwa Waziri wa Habari...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama pambana na malimbikizo na haki za wastaafu usije kosa baraka hapo Utumishi

    Katika vitu vinaumiza ni mtu kudai malimbikizo yake ya kazi aliyoitolea jasho halafu Fomu zinajazwa hapo wizarani unazikuta zinazagaa mpaka zinapigwa mateke kwa kukosa utaratibu mzuri Ukiingia chumba cha Approvers ni aibu mafomu yametupwa kila mahali na kupelekea kupoteza haki za watu Kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Hii sio Wizara ya Elimu tu, bali Elimu Sayansi na Teknolojia kwa mapana yake

    Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amewataka Wafanyakazi wote kufanya kazi kwa ujasiri bila Uoga, Kwa utii Uaminifu na Uadilifu, Wasifanye kazi kwa nidhamu ya Uoga. Ameyasema hayo leo 10 Jan 2022 Jijini dodoma alipofika Ofisini kwake baada ya kuapishwa ma Rais Samia...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri na Naibu Waziri wa Ardhi naomba muangalie uhaba wa wenyeviti mabaraza ya Ardhi

    Kwa sehemu kubwa Wilaya nyingi hapa nchini zina Mabaraza ya Ardhi yanayoshughulikia migogoro ya ardhi. Hivi karibuni yameundwa mabaraza mapya ya Ardhi kwa lengo la kukidhi mahitaji kwa wilaya kadhaa. Lakini tatizo linalojitokeza ni uhaba wa wenyeviti katika mabaraza mapya yaliyoundwa na hata...
  5. JamiiForums Tanzania Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali

    Salaam Wakuu, Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri. Rais Samia kasema watu Wasimpake matope...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusema leo siku ya 40 ya mwaka mpya anamaanisha nini?

    Natanguliza ombi la msamaha kama ilitokea nimemsikia vibaya Mhe. Waziri mkuu wakati akitoa salamu za serikali wakati wa uapisho wa viongozi, ikulu Dodoma leo. Mhe. Waziri Mkuu amesema leo ni siku ya 40 ya mwaka mpya wakati leo ni siku ya 10 tu. Je, Waziri Mkuu alikuwa ana maana gani? Je...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze 2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji 3. Jafo Mbunge wa Kisarawe 4. Kipanga Mbunge wa Mafia 5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo, anza na Bei ya Mbolea

    Refer to the heading above Waziri wa kilimo ndugu Husein Bashe, wakulima tunalia na bei ya mbolea. UREA mwaka jana bei ilikuwa Tsh 50,000/- kwa kilo 50 sasa ni 110,000/- DAP ni 120,000/- Kuna uwezekano mkubwa kushuka kwa uzalishaji wa mazao hasa huku nyanda za juu kusini maana ardhi hii bila...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mawazari tunao wengi, ila Mh Lukuvu ni zaidi ya waziri, kuna mtu anaogopa kufunikwa....

    1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa! 2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa mwongozo wa wananchi wenyewe kuwakataa wazembe na kuwakingia kifua wote wachapakazi na wapenda maendeleo...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi ndiye Waziri mkuu wa JMT mtarajiwa. Ni suala la muda tu.

    Kwa kuzingatia ibara ya 51(2) juu ya uteuzi wa nafasi ya waziri mkuu ambacho kinasema: "Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzi anayetokana na chama cha siasa chenye...
  11. JamiiForums Tanzania Nini kimemkuta Waziri Mchengerwa?

    Mada tayari, karibuni kwa mjadala...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu

    Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam. ====== Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo...
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna Waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote kwani anajitahidi sana

    Hakuna waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote anajitahidi sana. No doubt for this. She's working hard. Maamuzi aliyochukua kuhusu uhamisho wawatumishi ni sahihi kabisa. No doubt for this. Uzi umeishia hapa. Ova
  14. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi na ahadi za kutatua kero za wananchi

    Waziri wa Ardhi na Makazi William Lukuvi ni fundi sana wa kujitokeza kwenye vyombo vya habari na kutoa ahadi keme kem za jinsi Wizara yake itakavyotatua kero za wananchi. Lakini ukichunguza sana ahadi zake ni maneno tu na hazitekelezi. Mara nyingi hujitokeza wakati kama hivi sasa ambapo Rais...
  15. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu ana sifa na anastahili kuwa Waziri Mkuu!

    Mchapa kazi, ana ushawishi mkubwa ndani ya CCM na nje ya CCM, amekuwa akifanyia kazi kwa haraka na ufanisi mkubwa pale malalamiko yanapotokea kwenye wizara anazozisimamia, mtu wa kujituma nani mfuatiliaji yanayofanyika kwenye wizara yake kwa ukaribu zaidi(hana u-mangi meza!), Sio mtu wa...
  16. V

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Muheshimiwa SSH mteue Prof. Madam Geraldine Arbogast Rashel wa GPSA kuwa waziri wa Viwanda na Biashara.

    Muheshimiwa SSH na raisi wangu najua upo kwenye majukumu mazito ya kujenga taifa. Hata hivyo kutokana na watendaji toka taasisi za Elimu ya juu kutanguliza nadharia kwenye utendaji mfano maandiko na machapisho badala ya kuboresha mifumo na kutumia rasilimali na nguvu wanazozikuta kwenye sehemu...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mpya Ajaye...??

    Siamini kama yatakuwa mabadiliko ya bandika bandua. Baada ya kifo cha Rais Magufuli Rais Samia HAKUTAKIWA kurithi Baraza la Mawaziri. Baadhi tuliweka msimamo huu sahihi wa Kikatiba wakati ule. Sasa labda hatimaye ukweli umeonekana. Rais anaweza kumrudia Majaliwa kwa kumpendekeza kwa Bunge kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tulikaa kikao na Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kujadili mkopo. Iko wapi nafasi ya Baraza la Mawaziri?

    Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji! Kauli hiyo imenitia mashaka. Nimejiuliza iko wapi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa China afanya ziara ya mwanzo wa mwaka barani Afrika

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi anafanya ziara yake ya kwanza ya kidiplomasia barani Afrika mwaka huu, ziara ambayo imekuwa ni desturi kwa waziri wa mambo ya nje wa China kwa miaka 32. Ziara hii inafanyika ikiwa ni sehemu za mpango wa muda mrefu wa China wa kuimarisha uhusiano wa...
  20. JamiiForums Tanzania Jeshi la Sudan laonywa kuteua Waziri Mkuu bila kushirikisha wadau wa kiraia

    Marekani na Umoja wa Ulaya wameuonya utawala wa kijeshi nchini Sudan, kutofanya uamuzi wa upande mmoja juu ya uteuzi wa waziri mkuu mpya baada ya kiongozi wa kiraia Abdallah Hamdok kujiuzulu, katikati ya maandamano ya kuupinga utawala huo wa kijeshi Katika taarifa ya pamoja Marekani, Uingereza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…