waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo: Soka la Tanzania haliwezi kuendelea kama hatupingi rushwa

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe.Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania haiwezi kupiga hatua kwenye sekta ya michezo, iwapo itashindikana kuboresha miundombinu ya michezo, ujenzi wa viwanja vya kisasa, ujenzi wa academy pamoja na ujenzi wa vituo muhimu vya michezo. "Rais wetu wa Awamu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ilikuaje Kangi Lugola akawa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi?

    Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipata kumteua Kangi Lugola Ninja luwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Jana nikawa mtandaoni YouTube nikasachi jina la Kangi Lugola, video zilizokuja nyingi ni kukata viuno au kuongea ujinga huku alitambulika kama Waziri. Je, vigezo gani hayati alivitumia...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Mchango wa sekta ya Madini umekua hadi kufikia asilimia 7.3 ya Pato la Taifa, katika kipindi cha Mwaka Mmoja wa Rais Samia

    HOTUBA YA WAZIRI WA MADINI MHE. DKT. DOTO BITEKO (MB) AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA MAADHIMISHO YA MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA AWAMU YA SITA MADARAKANI TAREHE 10 MACHI, 2022 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WIZARA YA MADINI, DODOMA Bw. Adolf Nadunguru, Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Sweden akataa wito wa upinzani wa kutaka Sweden ijiunge NATO, asema hilo litaleta machafuko na kuharibu amani

    Waziri Mkuu wa Sweden Magdalena Andersson amekataa wito wa upinzani wa kuitaka Sweden kufikiria jambo la kujiunga NATO. Waziri Mkuu huyo amesema kufanya maombi ya kujiunga NATO kwa sasa kutaleta taharuki zaidi ktk eneo la Europe na kuhatarisha amani zaidi. Sweden kwa mara ya mwisho ilikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ludewa: Kiongozi wa CHADEMA apiga magoti kuishukuru CCM kwa kutekeleza ilani yake. Hii ni baada ya mto Ruhuhu kukamilika

    Diwani wa kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe kupitia CHADEMA Atanas Haule, amejitokeza katika ziara ya Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya na kuipongeza serikali kutekeleza Ilani ya CCM kwa kukamilisha ujenzi wa daraja la mto Ruhuhu.
  6. JamiiForums Tanzania Waziri: Mazungumzo ya ndani yanaendelea Tanzania kurejea Mahakama ya Afrika

    Wadau kutoka Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kwa pamoja wametembelea Wizara ya Katiba na Sheria na kukutana na Waziri George Simbaachawene ambaye ameteuliwa kushika nafasi hiyo akichukua nafasi ya Prof. Palamagamba Kabudi. Msafara huo wa THRDC uliongozwa na Mwenyekiti...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu kuhusiana na mkutano wa waziri Wang Yi na waandishi wa habari

    Nilifuatilia mkutano wa waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi na waandishi wa habari uliochukua takriban dakika 70, na jambo muhimu kwangu ni yeye kuzungumza kuhusu ushirikiano wa China na Afrika. Muhimu zaidi ni yeye kujibu madai kuwa China inaweka mitego ya madeni barani Afrika. Wang Yi...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro: Wamasai waishio Ngorongoro siyo wenyeji halisi wa Ngorongoro

    Wakati wa mahojiano na DW Waziri ndumbaro amekaririwa akisema Wamasai washio Ngorongoro siyo wenyeji halisi wa ngorongoro. Imeibua mjadala mingi baada ya wananchi wasomi kutoka jamii ya kimasai kumwomba rais kutengua waziri wa mali ya asili kwa kauli yake kwamba Wamasai kwao ni sudan na siyo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania "Mnatuchukuliaje? Watumwa wenu?" Waziri mkuu wa Pakistan awachana EU kwa kuishinikiza Pakistan kuilaani Russia

    Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amewacha viongozi wa Umoja wa Ulaya kufuatia viongozi hao kuikosoa Pakistan juu ya msimamo wake wa kukalia kimya vita ya Russia nchini Ukraine. Pakistan imekuwa ktkshinikizo la kutakiwa kuilaani Russia kwa operesheni hiyo ya kijeshi nchini Ukraine ikizingatiwa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa Waziri Bashungwa na Rais; Ajira za Tamisemi zimejaa Urasimu na viashiria vya rushwa

    Ajira za Serikali ya awamu ya sita chini ya TAMISEMi zimejaa urasimu wa kutisha, ninapowaambia hapa kuna watu wa kada za uwalimu na Afya wanaendelea kuripoti kwenye vituo vya kazi kimya kimya bila ajira kutangazwa kwa , huu ni ufisadi na mianya ya rushwa bora niongee tu ijulikane. Mimi nina...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel akutana na Putin kumaliza mgogoro Ukraine, Marekani yabariki

    Waziri Mkuu wa Israel, Naftali Bennett amekutana kwenye mazungumzo ya saa tatu na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika Jiji la Moscow, Urusi katika harakati za kutatua mzozo wa Urusi na Ukraine, mazungumzo hayo yamepewa baraka na Utawala wa Marekani. Mazungumzo hayo ya kidiplomasia yamesimamiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Msumbiji: Rais Felipe Nyusi amfukuza kazi Waziri Mkuu, ateua mwingine

    Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amemteua Adriano Afonso Maleiane kuwa Waziri Mkuu mpya wa taifa hilo ikiwa ni muda mfupi baada ya kumfukuza kazi aliyekuwa akishika nafasi hiyo, Carlos Agostinho do Rosário. Maamuzi hayo ya uteuzi yameenda pamoja na uteuzi mpya wa mawaziri kadhaa akiwemo Waziri wa...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri aonya watendaji RUWASA kuchafuana wakisaka madaraka, ataka watoe huduma bora kwa wananchi

    Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi amewaonya watendaji wa Mamlaka ya Maji Vijini (RUWASA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, akiwataka kuacha mara moja tabia ya kuchafuana kwa lengo la kusaka madaraka. Amewataka wafanye kazi kwa pamoja kuhakikisha miradi ya...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri wa Maji iende mbali zaidi kwani miji mingi tunauziwa Maji kwa bei kubwa

    Maji ni uhai wa vitu vyote vinavyopumua Dunia, nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri kwa kushugulikia tatizo hili ambalo limekuwa sugu hasa kwa wauza Maji ya ku pump kutumia pump za dezel au uneme. Imekuwa kawaida kwa wasambazaji wa huduma hii kujiongezea kiwango Cha pesa pasipo washirikisha...
  15. JamiiForums Tanzania Memba wa Umoja wa Mataifa waondoka ukumbini, wasusia hotuba ya Waziri wa Urusi

    Zaidi ya wajumbe 140 wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, leo Machi Mosi, 2022 walitoka nje ya ukumbi baada ya kukataa kusikiliza hotuba ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Lavrov. Waziri huyo alikuwa akishiriki mkutano huo kwa njia ya video kutokana na mipaka ya ndege...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Bulgaria akiri kuwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wamekufa vitani

    Pamoja na jitihada kubwa za makusudi zinazofanywa na Ukraine, NATO na US kudogesha idadi ya wanajeshi wa Ukraine waliouawa na majeshi ya Russia nchini Ukraine, Waziri Mkuu wa Bulgaria kaamua kusema ukweli kuwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wameuawa mpaka sasa. Ufafanuzi huo wa idadi ya vifo...
  17. JamiiForums Tanzania Bulgaria: Waziri wa Ulinzi hatarini kufutwa kazi kwa kusita kusema kinachoendelea Ukraine ni vita

    Waziri Mkuu, Kiril Petkov amesema atamfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Stefan Yanev baada ya Kiongozi huyo kusita kuelezea uvamizi wa Urusi dhidi ya #Ukraine kama vita akisisitiza "Waziri wangu wa Ulinzi hawezi kutumia neno operesheni badala ya vita". Imeelezwa, Serikali ya Mseto itafanya mkutano...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Australia aonya waAustralia wasijaribu kwenda pigana na majeshi ya Russia nchini Ukraine

    Waziri Mkuu wa Australia kawaonya raia wa nchi yake wasijaribu kusafiri kisirisiri kwenda kupewa silaha na rais wa Ukraine ili kupigana na majeshi ya Russia. Onyo hilo la Waziri Mkuu limejiri baada ya rais wa Ukraine kuomba msaada wa raia wa nchi nyingine waende Ukraine wakasaidie kupambana...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu auponda mpango wa kutumia viberenge kupanda Mlima Kilimanjaro

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wadau wanaopendekeza matumizi ya viberenge katika kupanda Mlima Kilimanjaro kutathimini kwa kina mpango huo ambapo ameonyesha kutoridhia mikakati hiyo. "Nasikia mnataka kuweka kiberenge cha kupanda Mlima Kilimanjaro, mnataka kuua mlima? Mkiweka...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Bashe ni Waziri mzuri na mchapakazi

    Ni lazima tupongeze pale ambapo mtu anafanya vizuri. Hussein Bashe ameleta muonekano mpya wa kilimo, ubunifu na uwekezaji. Bashe akipewa muda kilimo cha Tanzania kitaenda mbali sana. Tatizo ni kwamba sehemu nyingine hakuna ubunifu wa kutosha. Huyu anajitahidi sana hasa ukizingatia ni kijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…