waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya Hayati Magufuli ni Hussen Bashe

    Awamu ya tatu na ya nne tulikuwa na wazir mwenye misimamo mikali kabisa alieitwa John Pombe Joseph Maghufuli, Kwa sasa tuna wazir wa namna hyo hyo anaitwa Hussen Bashe ..... Bashe ni mzalendo , Bashe ni mpambanaji , very young and highly exposed , anayevaa uhusika , mwenye misimamo isiyoyumba...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba aache hasira! kujibu maswali ya wabunge ni wajibu sio fadhila

    WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AACHE HASIRA! KUJIBU MASWALI YA WABUNGE NI WAJIBU SIO FADHILA! 1) Ohooo...!! Nadhani hiyo statement ya Dkt. Mwigulu Nchemba ("Daktari wa Uchumi" na Waziri wa Fedha) kuhusu "Honorary Degrees" mbona haijakaa vizuri, hasa ukizingatia hata Rais Samia Suluhu Hassan juzi tu...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Bashe: Bei za vyakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi 2023

    BEI ZA CHAKULA KUSHUKA MACHI - SERIKALI Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, asema bei za chakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi mwaka huu, huku akitangaza mpango wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwasaidia wakulima waongeze tija kwenye uzalishaji wa chakula nchini
  4. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kibaha Vijijini kubomolewa nyumba zao, Mbunge asema anapeleka mashtaka kwa Waziri Mkuu

    Baadhi ya Wananchi wa Matuga, Kibaha Vijijini Mkoani Pwani wamelalamika uamuzi wa kubomolewa kwa nyumba zao pasipokuwa na taarifa huku wakidai kutokuwa na tamko rasmi la taarifa kutoka kwenye mamlaka. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wamedai zoezi hilo limefanyika Februari 5, 2023 na kutarajiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ombi: Tunamuomba Rais Mwinyi amuwajibishe waziri wake kabla ya wananchi kumuwajibisha

    Kitendo alichokifanya waziri wako wa kilimo, umwagiliaji, maliasili na mifugo mh Shamata Shaame Khamis sio cha kiungwana na kiutu. Kile ni kitendo cha kinyama ambacho hakutakiwa kumfanyia mtanzania mwenzetu au binadamu mwenzetu kwa sababu yoyote ile. Mtu kaingiza chakula mnafanyia unyama ule...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, Waziri Nchemba ni 'Hirizi' ya Awamu ya Rais Samia na kwamba ikitupwa Serikali haitoongoza vyema Tanzania?

    Labda Siku atakayomjibu hovyo Boss wake ambayo naiona haiko mbali ndipo ataondolewa katika Wizara aliyoko ili Watanzania tupumzike na Dharau zake, Kiburi chake na Ushamba wake.
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni, IGP Wambura na Ukimya juu ya mauaji ya kikatili yanayoendelea nchini

    Wakuu Salam. Mauaji ya kikatili yanayoendelea nchini hasa mikoa ya Mwanza, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, ona sasa Mtwara yanastua, yanakera, ni hali ya kutisha, hujui lini na wewe utafikiwa. Imefika mahali jamii inauliza hivi nchi hii sheria hakuna? hata tamko la mkuu wa jeshi la polisi kwa eneo...
  8. JamiiForums Tanzania Kwako Waziri wa Ardhi Tanzania

    Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Nakuandikia hili,ikiwa ni kiulizo&taarifa kuwa; Je,umeshindwa kutatua changamoto ya uporaji Ardhi inayofanywa na mamlaka za Ardhi zilizo chini yako nchini? Mfano; Ichunguze Idara ya Ardhi Manispaa ya Morogoro, Kuna uhuni mwingi unaendelea...
  9. JamiiForums Tanzania Wizaria ya Elimu na NECTA, Ni muda sasa mtumie weledi wenu vizuri kwenye Elimu yetu

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania....na kazi iendelee. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au hoja yangu kuhusu Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA) Kwa miaka mingi, nchi yetu imekuwa ikipitia mnyukano mkubwa katika swala la Elimu asa katika...
  10. JamiiForums Tanzania Cameroon: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi ahukumiwa miaka 30 jela, mkewe pia jela miaka 10

    Mahakama imemhukumu Edgar Alain Mebe Ngo'o kwa kosa la ubadhirifu takribani Dola Milioni 40 (Tsh. Bilioni 93) katika mkataba wa kununua vifaa vya kijeshi kutoka Brazil. Mkewe, Bernadette, pia amekutwa na makosa ya aina hiyo na kuhukumiwa miaka 10 jela, wote wamekana makosa na kuahidi kukata...
  11. JamiiForums Tanzania Suala la wateuliwa CWT: Jenista Mhagama, Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu kashindwa kazi

    Suala la wateuliwa kutoka CWT kukataa uteuzi kwa baadhi yao kwa kweli ni fedheha kwa serikali ya rais Samia. Waziri husika hakufanya kazi yake. Tunavyofahamu uteuzi wowote serikalini, hasa kwa ngazi ya juu ni lazima utanguliwe na vetting. Vetting hii inafanywa na vyombo tofauti ikiwemo TISS...
  12. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali yazuia Mazao ya Ndizi kutoka nje, ndizi za Veronica Mwanjala kuharibiwa ili kuzuia Magonjwa

    Hii ni mojawapo mfanyabiashara wa bara anyang'anywa tenga 30 za ndizi na faini ya shilingi 50,000 kwa kosa la kuingiza ndizi Zanzibar USSR ==== Alichoandika Askofu Mwamakula katika Ukurasa wake wa Facebook MJANE WA DAR ES SALAAM ANYANG'ANYWA TENGA 30 ZA NDIZI ZANZIBAR KWA AMRI YA WAZIRI WA...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Waziri Mpina alisema akiruhusu uvuvi haramu atalaaniwa na kizazi kijacho

    Mar 6, 2019 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amefika katika Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi kusikiliza kero za wavuvi huku akisisitiza kuwa ikiwa ataruhusu uvuvi haramu uendelee kizazi kijacho kitamlaani
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yupo Waziri au Mawaziri wanataka kulipeleka Taifa kwenye mfumuko wa bei

    Wana jicho latatu someni mnielewe.... Iko hivi kila Mali inayo toka nje ya Taifa unahitaji ukwasi wa pesa ya kigeni mmenipata hapo wanazengo? Sasa hawa Mawaziri au waziri wana push agenda ya free trade while sisi kama Taifa hatuna Mali yaku export zaidi ya chakula na madini sijuwi kama...
  15. JamiiForums Tanzania Majukumu ya Waziri wa Kilimo ni yapi?

    Imetokea kasumba mbovu ambayo mwisho wa siku ninaiita cheap politics na divide and rule..., Waziri amekuwa akijinasibu mtetezi wa wakulima kwamba hawapangii Bei na kuonyesha kana kwamba walaji ni wanyonyaji ambao wanataka kunyonya jasho la mkulima. Lakini ukiangalia kwa marefu na mapana hawa...
  16. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya uteuzi iwe makini na uteuzi wa Mawaziri wa maeneo haya

    Wasalaam JF, Nitoe rai na angalizo kwa maslahi mapana ya usalama, ulinzi yazingatiwe, vizazi na vizazi vya hao watu na iwe Mvua, iwe jua, iwe mbalamwezi iwe Giza totoro, kuchunguza muhimu sana, sina wivu na mtu bali kwa maslahi ya taifa, utaifa na uzalendo. Sio kila mtu ni wa kumpeleka wizara...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji fuatilia bili za DAWASA, wanawaibia watu na kuwafanya wananchi wamchukie Rais

    Kwako ndugu Waziri mwenye dhamana ya mambo ya maji. Iko hivi: Bili ambazo watu wa DAWASA wanawatumia wananchi siyo bili za kweli, haziakisi matumizi halisi ya maji ya wateja. Ni bili za kupikwa. Haiwezekani bili yako kwa miezi ya nyuma iwe ni shilingi X halafu ghafla bin vuup bili inaamza kuja...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Bashe ndiyo namna ya kuwa waziri nyakati hizi

    Mawaziri wengine Bashe ndiye amewapa viwango vya juu ya jinsi ya kuwa waziri kwa miaka hii. Msishangae Ikulu inamtumia Bashe sana kuongea na waandishi wa habari. Mawaziri wengine jifunzeni kutoka kwa Bashe. Niseme tu wa pili ni waziri wa Afya na Mwigulu lakini kwa ndugu yangu Mwigulu hana...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu wekeni matokeo kwa majina ya form four

    Ili tuone unaupiga mwingi ebu weka matokeo kwa Majina ndo tuamini upo serious na Kazi yako. Watoto huku uswahilini wanataja taja tu namba za uongo wakati wamepata zero na mbaya wanadanganya wazazi wao.
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: 30% ya watu Nchini Wana ugumba, Serikali inafikiria kupunguza gharama upandikizaji mimba

    Waziri Ummy Mwalimu amesema tatizo la ugumba bado ni kubwa nchini, " mpaka sasa hakuna takwimu rasmi za kitaifa ila utafiti mdogo ambao unaonesha 30% ya watu wana tatizo la ugumba, Duniani inakadiriwa kuwa kila mahusiano ya wenza wanne, mmoja kati yao anakua na tatizo la kupata watoto." Aidha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…