Kwanini waziri Mkuu anajichanganya kwenye speech zake?

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
395
Reaction score
1,398
Ukifuatilia majibu ya waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mwigulu Nchemba pindi anapojenga hoja mara nyingi huwa anajichanganya hali inayosababisha watu kuwa na maswali mengi kichwani

Unadhani huwa ni nini kinapelekea Mh. Mwigulu kukutwa na hali hiyo?
 
Hapa dogo umeingia kwenye disco lisilokuhusu! Kama umeshindwa kuandika nyuzi za minyanduano basi bora ukakaa kimya kijana.
 
Ana tatizo la kutosoma hotuba anazoandaliwa na timu yake

Hilo tatizo hata namba moja analo, kuacha speech anazoandaliwa na kutoa hotuba zake kichwani

Mwisho wa siku anawaambia wadau wa Maendeleo "Who are you"
 
Ukifuatilia majibu ya waziri Mkuu wa Tanzania mh. Mwigulu Nchemba pindi anapojenga hoja mara nyingi huwa anajichanganya hali inayosababisha watu kuwa na maswali mengi kichwani

Unadhani huwa ni nini kinapelekea mh.mwigulu kukutwa na hali hiyo ??
ni vizuri kutoa na mifano ya kauli zake.wengine tupo chaka.
 
Ukifuatilia majibu ya waziri Mkuu wa Tanzania mh. Mwigulu Nchemba pindi anapojenga hoja mara nyingi huwa anajichanganya hali inayosababisha watu kuwa na maswali mengi kichwani

Unadhani huwa ni nini kinapelekea mh.mwigulu kukutwa na hali hiyo ??
TRAT and TRAB
 
Anakiriba tumbo kilichojaa gas, ni kawaida kwa mtu mwenye kitambi muda wote kumkuta amelewa, maana mavitu kitambini yakikaa sana na kuchacha huwa yanaleta ulevi wa kipekee hivi.
 
Ukifuatilia majibu ya waziri Mkuu wa Tanzania mh. Mwigulu Nchemba pindi anapojenga hoja mara nyingi huwa anajichanganya hali inayosababisha watu kuwa na maswali mengi kichwani

Unadhani huwa ni nini kinapelekea mh.mwigulu kukutwa na hali hiyo ??
Ungeweka hata mifano miwili mitatu hivi...
 
Ukifuatilia majibu ya waziri Mkuu wa Tanzania mh. Mwigulu Nchemba pindi anapojenga hoja mara nyingi huwa anajichanganya hali inayosababisha watu kuwa na maswali mengi kichwani

Unadhani huwa ni nini kinapelekea mh.mwigulu kukutwa na hali hiyo ??
kiburi kimemjaa mtani wangu!
 
Back
Top Bottom