wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kumtambulisha Nusrat Hanje kama mwakilishi wa BAVICHA huko Nyamagana ni uongo wa wazi na ni kumdanganya Rais Samia

    Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kumtambulisha Nusrat Hanje kama kiongozi wa Bavicha, na kwamba ule ndio uwakilishi wa vijana wa Chadema kwenye Mkutano wa Rais na Vijana huko Nyamagana Mwanza ni kumpiga changa la macho Mh Rais .BAVICHA haikuhudhuria mkutano huo na wala haikutuma mwakilishi...
  2. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa mradi wa barabara nane Kimara-Kibaha umekwama kwa sababu serikali haina pesa ya kumlipa mkandarasi?!

    Ukweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM. Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi! Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
  3. JamiiForums Tanzania BARUA YA WAZI KWA Mr. Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer

    Ni muda mrefu sana huyu jamaa nimekuwa namfatilia huyu jamaa..Anaandika vitu vingi some are logical na mengine are not logical...Hapa simlaumu maana kila mtu ana uhuru wa kuandika anachojisikia as long as havunji sheria za JF. Tatizo kubwa la huyu ndugu yetu ni kuamini kila anachokifahamu yeye...
  4. JamiiForums Tanzania Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020

    Salaam Wakuu, Hapa chini ni Muhtasari wa ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mwaka wa Fedha 2019/2020 === Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC; Mhe. Grace Tendega (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya LAAC; Mhe. Daniel Sillo (Mb), Mwenyekiti...
  5. JamiiForums Tanzania Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  6. JamiiForums Tanzania Kukwama kwa miradi mikubwa ya NHC kunaumiza, kunaliza kunasikitisha sana. Ni wazi Nehemia Mchechu alikuwa bora? kwanini Lukuvi na Jenista bado wapo?

    Wasalaam Ni wazi kila Mtanzania anajua kabisa hali iliyokuwa nayo shirika la nyumba la Taifa kabla ya ujio wa awamu ya tano ya Hayati John Magufuli... ni wazi kila mmoja wetu atakubaliana nami kuwa shirika lilikuwa limechangamka na lilikuwa na muelekeo mzuri sana na watanzania walikuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha dhidi ya Mtumishi wa TRA anayekula rushwa wazi

    Wanabodi salaam Hii ni barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha wakilalamika bwana mmoja, huyu jamaa bado yupo enzi zile za pontio plato za kutishia watu ili ajipatie fedha, anakufanyia upepelezi feki ili iwe rahisi kukufanya utoe fedha Taarifa za uhakika huyu bwana ana ukwasi mkubwa na...
  8. JamiiForums Tanzania "Emotion Intelligence" ya Watanzania wengi ipo chini sana na sababu kuu zipo wazi kabisa

    1. Siasa ni ugonjwa na ukikomaa unakuwa kilema kisicho tibika wala kugusika. Mfano mzuri uvimbi uote nyuma ya kisogo halafu uunganike na "nerve system" hata uende wapi "operation yake ni ngumu sana maana kuna matatu hapo wakikufanyia upasuaji unaweza kupona, kupata kichaa au kufa kabisa. 2...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo la kupokea mamluki alilizalisha Mbowe mwaka 2015. Huyu mwenyekiti hafai

    Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli. Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema...
  10. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai haya uliyosema kuhusu Wabunge wa CHADEMA waliofukuzwa mbona mwaka 2017 hukuyasema wabunge wa CUF walipotimuliwa?

    Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate uthibitisho kuwa hao akina Mdee walifukuzwa unataka uthibitisho kuwa natural justice ilizingatiwa. Hivi...
  11. JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia aweka wazi takwimu za uporokaji wa ukuaji wa uchumi wazi, 6.9% to 4.7%, lakini sababu ni nyingi.

    Mama Samia kaingia na staili nzuri ya kuweka mambo wazi na si kuficha ficha kama ilivyokuwa kawaida ya mtangulizi wake. From word go mwaka 2016, uchumi wa Tanzania ulianza kutikiswa kwa matumizi mabaya ya maguvu ya kisheria ya serikali. Takwimu sa UONGO zilianza kutolewa na ikawa chini ya...
  12. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa wazi kwa wakurugenzi wa miji, manispaa na majiji yetu

  13. JamiiForums Tanzania Bungeni: Jesca Kishoa ahoji kwanini mikataba haiwekwi wazi

    Mbunge Jesca David Kishoa amehoji kwanini Mikataba haiwekwi wazi akisema kufanya hivyo kuna faida mbalimbali ikiwemo kujenga uaminifu kati ya Wananchi na Serikali. Amesema hayo Bungeni Dodoma na kuongeza kuwa, Serikali inapaswa kuweka akilini kwamba Rasilimali za Tanzania ni za Wananchi na...
  14. JamiiForums Tanzania Ibara ya 1 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania insema wazi kuwa Tanzania ni dola iliyo huru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi mbili

    Watanzania wengi wanachanganya mambo na kujikuta wakikengeuka na kupotoka. Ibara ya 1 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kuwa Tanzania ni dola iliyohuru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi mbili. Ibara ya 33 (1) imeweka wazi kabisa mkuu wa hii dola na mkuu wa majeshi ni rais wa JMT. Ibara...
  15. JamiiForums Tanzania Kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum wakiongozwa na Halima Mdee: Mambo yako wazi ila wahusika wako kimya

    Mwanzo mwanzoni niweke wazi, kama ilivyo kawaida yangu, kuwa mimi si mwanachama wala mshabiki wa chama chochote cha kisiasa hapa nchini au nje ya nchi hii. Nikiongozwa na uzalendo na utanzania wangu, huwa naunga mkono hoja zozote za kuujenga utaifa wetu na kuleta maendeleo ya Tanzania yetu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mh. Rais Samia

    Mh. Rais ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hongera sana kwa kazi nzuri ya kulijenga taifa. Ninaandika hapa maana ulikiri kwamba unapitia mitandao ya kijamii.Pia kwakua umejipambanua kwamba ni mpenda haki na hutaki makusanyo ya uonevu na mabavu. Wananchi wa Tanga mjini...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Rais Samia kulihutubia Bunge: Barua ya Wazi kwa Spika wa Bunge Job Ndugai

    Mheshimiwa Spika, Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Natambua leo ni siku ambayo rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan analihutubia Bunge la nchi yetu. Na mimi kama mwananchi nimelazimika kukuandikia barua hii ili kwayo uweze kutafakari, pengine itakusaidia wewe katika...
  18. JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano iliua UDART, hili tuliseme wazi si kumung'unya maneno

    Uache siasa za changa la macho, Serikali ya JPM ndiyo imeua utendaji wa UDART. Barabara za UDART kweli ni mali ya serikali lakini mradi wa mabasi mwendo kasi ulikuwa toka mwanzo ni mradi binafsi (private investment) uliowekezwa na mtanzania, Nd Kisenha. Serikali ilifanya kila njia kumnyima...
  19. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu hali ya haki jinai nchini

    Tito Magoti SUMMARY: Ni kuhusu vilio vya haki dhidi ya mfumo wa haki jinai nchini. Mheshimiwa Rais, licha ya uwepo wa misingi ya kitaasisi na kisheria katika uwanda wa haki jinai, bado kuna changamoto zinazotia doa suala la utoaji haki nchini. Barua hii inabainisha masuala machache ambayo kama...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bandari ya Bagamoyo: Hoja kuu kwa sasa iwe ni mkataba kuwekwa wazi na si kuanza au kutokuanza utekelezaji wake

    Watanzania kama tuko makini na tunajifunza kutokana na makosa, hoja yetu kuu kuhusu huu mradi kwa sasa inapaswa kuwa ni mkataba husika kuwekwa wazi kwa umma ili kwanza watanzania wajue kilichomo ndani ya mkataba husika kabla ya chochote kufanyika( kuendelea) kuhusu mradi huu. Uzoefiu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…